Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Hujajibu swali.
Hufahamu maana ya jibu. Wewe baba yako alishikiwa bunduki na Mungu ili amle URODA MAMA YAKO? AU TAMAA YA NGONO ILIMUONGOZA BABA YAKO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali.
Mkuu Mndengereko ni vigumu kuelimishana uwepo wa Mungu pasipo kuingiza dini na vitabu vyake, wewe mwenyewe umeingiza dini na vitabu, umesema Mtume Muhammad(Salaleh Aleih wa Salaama) Alikuwa hajui kusoma wala kuandika hivyo asingeweza kujua habari za wanafalsafa, hii haijanishawishi. Kwani hata kama alikuwa hajui kusoma, kusikia napo alikuwa hasikii!??tuelimishane uwepo wa mungu bila ya kuingiza dini wala vitabu vyake,ili wasioamini kwenye qur-an au uisalm wapate kuamini,kwa taarifa yako mtume muhammad(s.a.w) aliyeleta qur an ambayo ndo imeeleza hiyo dhana ya dunia kuwa duara na chanzo cha kila kitu ni maji aliuwa hajui kusoma wala kuandika alichokuwa anafanya akishushiwa aya through malaika jibril(gabriel) alimwambia swahaba(follower) wake aiandike ili maandiko yasiweze kupotea so kama alikuwa hajui kusoma wala kuandika how come aweze kujua hao maphilosopher wa zamani kwamba ndo walikuja na idea hizo?? Lets get back to the topic,
Muulize huyu aliye andika hapa. NINI ALIKUWA ANASEMA KWENYE RED WORDS?
USIKIMBIA BANA
Seriously?
Nishakujibu.
Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
Wapi umejibu?
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.Nishakujibu.
Siulizi mungu wangu kwa sababu sina mungu, sikubali kuwapo kwa mungu.
Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
First of, kusema "mungu hayupo" involves commenting on a negative, which cannot be proven. So I am not into that.
I am more like "hakuna ushahidi kwamba mungu yupo".
Ukikubali kitu kwa sababu maandiko yamesema tu, utakubali kuwa mtumwa.
Maana maandiko pia yamesema watumwa kuweni watii kwa mabwana wenu, na mzitii serikali zenu.
In addition, ukikubali kitu kwa sababu tu maandiko yamesema, vipi kama maandiko yamesema vitu viwili tofauti? Utakubali kipi na kuacha kipi wakati kuna andiko lingine limesema maneno yote ya mungu yanafaa?
Mkuu Mndengereko ni vigumu kuelimishana uwepo wa Mungu pasipo kuingiza dini na vitabu vyake, wewe mwenyewe umeingiza dini na vitabu, umesema Mtume Muhammad(Salaleh Aleih wa Salaama) Alikuwa hajui kusoma wala kuandika hivyo asingeweza kujua habari za wanafalsafa, hii haijanishawishi. Kwani hata kama alikuwa hajui kusoma, kusikia napo alikuwa hasikii!??
Vipi kama alikuwa anasimuliwa na yeye anakuja kuvunga kwamba ameshushiwa na Jibril?.
Nishakujibu.
Siulizi mungu wangu kwa sababu sina mungu, sikubali kuwapo kwa mungu.
Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
Hujajibu swali.
Swali ni, kwa nini mungu alipokuwa anauumba ulimwengu, kabla ya kuwepo binadamu au shetani, kwa nini aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaeezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Ukisema natural disasters zinatokea kwa sababu tunamuudhi mungu, nitakuuliza, je mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hatuwezi kumuudhi na hivyo hauna natural disasters?
Hujalijibu hili swali.
Ukisoma huu mtiririko wa majibishano ya hoja kwenye hii thread haishangazi kuona kwa nini sehemu nyingi za ibada katika nchi zilizoendelea ( Nchi za Magharibi) zinageuzwa kuwa migawaha na vilabu huku wananchi wanaoishi nchi za 'dunia ya tatu' wakigeuza majengo ya shule kuwa sehemu za ibada.
Tunaishi kwa misingi ya imani na hiyo imani imetufunga kuutafuta ukweli ndani ya evidence kwa sababu kufanya hivyo katika macho ya imani utakuwa 'unakufuru' (kumkosea Mungu).
Imani zimetujenga katika misingi ya kutokuuliza na hata ukiuliza sana, unaishia kubezwa na kutukanwa kama njia ya kukunyamazisha katika hoja yako. ndiyo yale yale ya 'You're either with us, or against us'.
Mtu kama hajui dawa yake ni kumwelimisha na katika kumwelimisha, lazima ulete vidhibiti vya kudhibitika kwa kile unachomwelimisha.
Imani zetu za dini kuhusu uwepo wa Mungu zimetufunga ili tuzitoke nje ya maandiko na kuanza kuyatingisha kuona kana yanajitoshereza katika ukweli. haishangazi Mtu akiulizwa uwepo wa Mungu anachofanya ni kukupa vifungu vya Biblia au Quran kama ndiyo jibu.
Socrates alishawahi kusema, The more you know, the more you realize you know nothing.
Kama huna hoja ni bora kukaa tu kimya, namna hii unawaaibisha watetezi wa uwepo wa Mungu, kama kuamini uwepo wa Mungu ndio kuwa na maneno kama hayo, ni bora asiyeamini uwepo wa Mungu, sijawahi kusoma post ya Kiranga , akishambulia mtu au kuandika matusi.
cc Mourinho.
Ng'wamapalala;
Matatizo makubwa jamii zetu ni watu wengi kushindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri na kushindwa kutambua.
uwezo wa akili za binadamu kufanya ubunifu.
Vilevile pamoja na kuwa ubongo au akili za binadamu zinaweza kufanya mambo makubwa bado unaweza kudanganywa na kuamini vitu visivyo na ukweli kwa muda mrefu. Kwa mfano niliangalia mazishi ya Kim Jong Il and yale ya Kim Il-Sung, waliokuwa viongozi wa Korea ya kaskazini. Sikuelewa kwanini walifanywa kama Miungu na watu kuamini.
Mbona wewe unamtetea tu lakini humsaidii au mpaka akwambia ''jamani nafwa huku just a hand'' wengi wenu hamjui hata kitu mnachokiamini ndo tabu nyie mnafikiri lifestyles zote za wazungu ni za kufuata tuu.Alafu huko unakoniagizia nikaombe permission me ndo kiranja huko kawawulize.tena wakiiona hii post watakushangaa.
Hujajibu swali.
Msata sijawahi kanyaga to my knowlegde, unataka kuniozesha dada yako huko au vipi?
Nilikuwa namjibu Mndengereko maana keshatoka katika ile dhana ya MUNGU fulani ni bora kuliko miungu mingine na haja-Prove ni wapi kakutana naye au kututhibitishiaSijaona proof ya kuwapo mungu hapa.
Nilikuwa namjibu Mndengereko maana keshatoka katika ile dhana ya MUNGU fulani ni bora kuliko miungu mingine na haja-Prove ni wapi kakutana naye au kututhibitishia
SWALI Kiranga ambalo lipo nje ya mada ya hii ya watoto waliyoileta
Tuseme hakuna MIUNGU yeyote kabisa ya kiDINI wala hii ya kikabila aliyoielezea hasason
MY TAKE
- Dunia itakalika kweli? vurugu zote za Mataifa makubwa, majambazi, wabakaji WATATULIA AU KUJITOKEZA?
- kutokana na uelewa wetu wa kufikia kikomo honi ndio maana kuna AMANI kwa kuogopa kutenda mabaya kwa sababu hatujui ya mbele (hapo ndipo nilipomuunga mkono Mndengereko)
- toka zamani hofu ya mababu zetu ni kwamba kuna mtu awezaye kuGenerate Operate & Destroy [GOD]
- Ndio maana huku kwetu Ilangali pori la Tembo wengi ni kupishana nao na tunaishi kwa amani kwani henda kila mwaka kutambika kwenye Bonde lao (sawa na wanaoenda kuhiji Kilimanjaro)
bila hofu ya MIUNGU pasingekalika awe MUNGU asiye na DINI au mungu wa Baniani (ng'o..
sijakuelewa,Nilikuwa namjibu Mndengereko maana keshatoka katika ile dhana ya MUNGU fulani ni bora kuliko miungu mingine na haja-Prove ni wapi kakutana naye au kututhibitishia
SWALI Kiranga ambalo lipo nje ya mada ya hii ya watoto waliyoileta
Tuseme hakuna MIUNGU yeyote kabisa ya kiDINI wala hii ya kikabila aliyoielezea hasason
MY TAKE
- Dunia itakalika kweli? vurugu zote za Mataifa makubwa, majambazi, wabakaji WATATULIA AU KUJITOKEZA?
- kutokana na uelewa wetu wa kufikia kikomo honi ndio maana kuna AMANI kwa kuogopa kutenda mabaya kwa sababu hatujui ya mbele (hapo ndipo nilipomuunga mkono Mndengereko)
- toka zamani hofu ya mababu zetu ni kwamba kuna mtu awezaye kuGenerate Operate & Destroy [GOD]
- Ndio maana huku kwetu Ilangali pori la Tembo wengi ni kupishana nao na tunaishi kwa amani kwani henda kila mwaka kutambika kwenye Bonde lao (sawa na wanaoenda kuhiji Kilimanjaro)
bila hofu ya MIUNGU pasingekalika awe MUNGU asiye na DINI au mungu wa Baniani (ng'o..