History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

tuelimishane uwepo wa mungu bila ya kuingiza dini wala vitabu vyake,ili wasioamini kwenye qur-an au uisalm wapate kuamini,kwa taarifa yako mtume muhammad(s.a.w) aliyeleta qur an ambayo ndo imeeleza hiyo dhana ya dunia kuwa duara na chanzo cha kila kitu ni maji aliuwa hajui kusoma wala kuandika alichokuwa anafanya akishushiwa aya through malaika jibril(gabriel) alimwambia swahaba(follower) wake aiandike ili maandiko yasiweze kupotea so kama alikuwa hajui kusoma wala kuandika how come aweze kujua hao maphilosopher wa zamani kwamba ndo walikuja na idea hizo?? Lets get back to the topic,
Mkuu Mndengereko ni vigumu kuelimishana uwepo wa Mungu pasipo kuingiza dini na vitabu vyake, wewe mwenyewe umeingiza dini na vitabu, umesema Mtume Muhammad(Salaleh Aleih wa Salaama) Alikuwa hajui kusoma wala kuandika hivyo asingeweza kujua habari za wanafalsafa, hii haijanishawishi. Kwani hata kama alikuwa hajui kusoma, kusikia napo alikuwa hasikii!??

Vipi kama alikuwa anasimuliwa na yeye anakuja kuvunga kwamba ameshushiwa na Jibril?.
 
Muulize huyu aliye andika hapa. NINI ALIKUWA ANASEMA KWENYE RED WORDS?

USIKIMBIA BANA

Nishakujibu.

Siulizi mungu wangu kwa sababu sina mungu, sikubali kuwapo kwa mungu.

Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
 
Nishakujibu.

Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
Wapi umejibu?

Huwa hawalazimishi majibu bana.

Mimi nataka unipe maana ya words in red. Hapa hakielweki kitu mpaka ujibu.
 
Nishakujibu.

Siulizi mungu wangu kwa sababu sina mungu, sikubali kuwapo kwa mungu.

Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu
 
First of, kusema "mungu hayupo" involves commenting on a negative, which cannot be proven. So I am not into that.

I am more like "hakuna ushahidi kwamba mungu yupo".

Ukikubali kitu kwa sababu maandiko yamesema tu, utakubali kuwa mtumwa.

Maana maandiko pia yamesema watumwa kuweni watii kwa mabwana wenu, na mzitii serikali zenu.

In addition, ukikubali kitu kwa sababu tu maandiko yamesema, vipi kama maandiko yamesema vitu viwili tofauti? Utakubali kipi na kuacha kipi wakati kuna andiko lingine limesema maneno yote ya mungu yanafaa?

Ukiweza ku prove kama giza lipo wakati kuna mwanga ama mwanga kama kuna giza the I can prove to you kama Mungu yupo ama hayupo..... Uungu na uumbaji hauwezi ku co-exist because each is contained in another....

We unaweza bisha sasa kwasababu your brain perceive contrast... God and creation are not construed so your brain cannot gather facts about kwani facts zina kuwa proven kama kuna contrast....

Huwezi kusema huyu ni mnene kama hakuna mwembamba na huwezi kusema yupo kama hakuna hayupo.... Nionyeshe facts za hayupo hizo ndizo zitanipa uthibitisho wa kuondoa dhana 'yupo'.

Kwa maana nyingine uwepo wako ni uthibitisho kuwa Mungu yupo prove to me kwamba we hupo ndani ya huyo Mungu na Mungu hayupo ndani mwako the same as it is kwa giza na mwanga
 
Mkuu Mndengereko ni vigumu kuelimishana uwepo wa Mungu pasipo kuingiza dini na vitabu vyake, wewe mwenyewe umeingiza dini na vitabu, umesema Mtume Muhammad(Salaleh Aleih wa Salaama) Alikuwa hajui kusoma wala kuandika hivyo asingeweza kujua habari za wanafalsafa, hii haijanishawishi. Kwani hata kama alikuwa hajui kusoma, kusikia napo alikuwa hasikii!??

Vipi kama alikuwa anasimuliwa na yeye anakuja kuvunga kwamba ameshushiwa na Jibril?.

mkuu is it possible kwa mtu ambae hajui kusoma wala kuandika kuweza kujua habari(saying) za great philosopher???

Chukulia mfano dunia yetu ya leo hii mtu ambae hajui kusoma anawezaje kujua habari kwamba galileo,aristotle,au akina newton kwenye maisha yao walisema hivi na vile,yaani vitu vidogo viwashinde vya kujau kusoma na kuandika waende wakajue complication ya misemo ya magreat philosophers???

Hapo nimeingiza vitabu vya dini ili kumthibitishia aliyesema(may b you,sikumbuki vizuri) kwamba sio kweli muhamad alicopy kwa galileo
 
Nishakujibu.

Siulizi mungu wangu kwa sababu sina mungu, sikubali kuwapo kwa mungu.

Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.

Pasipo ubaya ungejuaje wema? Yeye kwake vyote havina nguvu ila kwaajili yake mwenyewe aliviumba ili kwa akili aliyotupa tupate kutambua hivyo.....

Mbona wana nazingaombwe tu wanaweza tengeneza vitu kama kifo na ss tukajenga hisia wakati siyo real?

He gave us facts but the truth remains with him... Akigeuza tu ubongo wako unakana hizo facts zako ndiyo maana science ina operate in iteration back and forth towards truth; they call facts!

Mpaka sasa ni bible tu ina un refutable truth kuwa the creation started by a word....and this never dies.....ukiweza kupata a receptor ukaitune eneo alipo kuwepo Galileo tukaweza retrieve maneno yake yaliyo in form of voice or thoughts through which we can recreate physical bodies alizotumia kufanya science zake.....
 
Hujajibu swali.

Swali ni, kwa nini mungu alipokuwa anauumba ulimwengu, kabla ya kuwepo binadamu au shetani, kwa nini aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaeezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ukisema natural disasters zinatokea kwa sababu tunamuudhi mungu, nitakuuliza, je mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hatuwezi kumuudhi na hivyo hauna natural disasters?

Hujalijibu hili swali.

you dont believe in God but you are still able to asky why our God(my) ameruhusu majanga na natural disaster na magonjwa yatokee???

Since you dont believe in god,effect that would have been probably brought by god as well as dalili ambazo zinathibitisha uwepo wa mungu,wewe unachotaka ni either tukuonyeshe mungu(something that we cant) au uthibitisho(proof) ya uwepo wa mungu ambao mpk sasa hivi sijaujua ni upi hasa unaoutaka ww,lets change our mode of argument as i said earler
let me start by asking you do you believe in spirit??/unaamini roho/unaamini uwepo wa roho.
 
Ukisoma huu mtiririko wa majibishano ya hoja kwenye hii thread haishangazi kuona kwa nini sehemu nyingi za ibada katika nchi zilizoendelea ( Nchi za Magharibi) zinageuzwa kuwa migawaha na vilabu huku wananchi wanaoishi nchi za 'dunia ya tatu' wakigeuza majengo ya shule kuwa sehemu za ibada.

Tunaishi kwa misingi ya imani na hiyo imani imetufunga kuutafuta ukweli ndani ya evidence kwa sababu kufanya hivyo katika macho ya imani utakuwa 'unakufuru' (kumkosea Mungu).

Imani zimetujenga katika misingi ya kutokuuliza na hata ukiuliza sana, unaishia kubezwa na kutukanwa kama njia ya kukunyamazisha katika hoja yako. ndiyo yale yale ya 'You're either with us, or against us'.

Mtu kama hajui dawa yake ni kumwelimisha na katika kumwelimisha, lazima ulete vidhibiti vya kudhibitika kwa kile unachomwelimisha.

Imani zetu za dini kuhusu uwepo wa Mungu zimetufunga ili tuzitoke nje ya maandiko na kuanza kuyatingisha kuona kana yanajitoshereza katika ukweli. haishangazi Mtu akiulizwa uwepo wa Mungu anachofanya ni kukupa vifungu vya Biblia au Quran kama ndiyo jibu.

Socrates alishawahi kusema, The more you know, the more you realize you know nothing.

Ng'wamapalala;

Matatizo makubwa jamii zetu ni watu wengi kushindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri na kushindwa kutambua.
uwezo wa akili za binadamu kufanya ubunifu.

Vilevile pamoja na kuwa ubongo au akili za binadamu zinaweza kufanya mambo makubwa bado unaweza kudanganywa na kuamini vitu visivyo na ukweli kwa muda mrefu. Kwa mfano niliangalia mazishi ya Kim Jong Il and yale ya Kim Il-Sung, waliokuwa viongozi wa Korea ya kaskazini. Sikuelewa kwanini walifanywa kama Miungu na watu kuamini.
 
Kama huna hoja ni bora kukaa tu kimya, namna hii unawaaibisha watetezi wa uwepo wa Mungu, kama kuamini uwepo wa Mungu ndio kuwa na maneno kama hayo, ni bora asiyeamini uwepo wa Mungu, sijawahi kusoma post ya Kiranga , akishambulia mtu au kuandika matusi.
cc Mourinho.

Tushazizoea fallacious arguments zao Mkuu, wakizidiwa hoja huwa wanakimbilia kwenye mipasho.

Some 'god fearing people'
 
Mkuu Korea ya Kaskazini hawaamini katika imani tulizoletewa waafrika huku, hawaamini cha Yesu wala Mtume, zaidi zaidi wanaamini raisi wa nchi ndio kama Mungu, Yule Kim Jong Il alipofariki nchi iliomboleza miaka mitatu, bendera ikipepea nusu mlingoti, ndipo wakateua mrithi wake Il Sung, ambae nae baada ya Kifo zilipigwa propaganda kuwa wanyama wa mwituni walikufa njaa kwa sababu walishindwa kula kwa ajili ya kuomboleza, ndege wa kila aina walilizunguka sanamu lake wakiomboleza.

Imani hii inawafanya wakorea kuwa wamoja, hawabaguani, hakuna kugombea kuchinja wala kuitana makafikiri, hawamwagiani tindikali kule na hakuna mahubiri ya chuki eti akiuawa Shehe auawe Askofu. Natamani kusingekuwa na hizi imani mbili, zimesababisha mauaji Jamhuri ya Afrika ya kati hadi sasa imekuwa A FAILED STATE.
Ng'wamapalala;

Matatizo makubwa jamii zetu ni watu wengi kushindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri na kushindwa kutambua.
uwezo wa akili za binadamu kufanya ubunifu.

Vilevile pamoja na kuwa ubongo au akili za binadamu zinaweza kufanya mambo makubwa bado unaweza kudanganywa na kuamini vitu visivyo na ukweli kwa muda mrefu. Kwa mfano niliangalia mazishi ya Kim Jong Il and yale ya Kim Il-Sung, waliokuwa viongozi wa Korea ya kaskazini. Sikuelewa kwanini walifanywa kama Miungu na watu kuamini.
 
Mbona wewe unamtetea tu lakini humsaidii au mpaka akwambia ''jamani nafwa huku just a hand'' wengi wenu hamjui hata kitu mnachokiamini ndo tabu nyie mnafikiri lifestyles zote za wazungu ni za kufuata tuu.Alafu huko unakoniagizia nikaombe permission me ndo kiranja huko kawawulize.tena wakiiona hii post watakushangaa.

Nawewe ndio walewale bwana, Huyo Mungu wako ni Wakizungu au Wakiarabu.
 
Sijaona proof ya kuwapo mungu hapa.
Nilikuwa namjibu Mndengereko maana keshatoka katika ile dhana ya MUNGU fulani ni bora kuliko miungu mingine na haja-Prove ni wapi kakutana naye au kututhibitishia
SWALI Kiranga ambalo lipo nje ya mada ya hii ya watoto waliyoileta
Tuseme hakuna MIUNGU yeyote kabisa ya kiDINI wala hii ya kikabila aliyoielezea hasason

  • Dunia itakalika kweli? vurugu zote za Mataifa makubwa, majambazi, wabakaji WATATULIA AU KUJITOKEZA?
  • kutokana na uelewa wetu wa kufikia kikomo honi ndio maana kuna AMANI kwa kuogopa kutenda mabaya kwa sababu hatujui ya mbele (hapo ndipo nilipomuunga mkono Mndengereko)
  • toka zamani hofu ya mababu zetu ni kwamba kuna mtu awezaye kuGenerate Operate & Destroy [GOD]
  • Ndio maana huku kwetu Ilangali pori la Tembo wengi ni kupishana nao na tunaishi kwa amani kwani henda kila mwaka kutambika kwenye Bonde lao (sawa na wanaoenda kuhiji Kilimanjaro)
MY TAKE
bila hofu ya MIUNGU pasingekalika awe MUNGU asiye na DINI au mungu wa Baniani (ng'o..
 
Last edited by a moderator:

Aristotle aliwahi kusema kwamba, binadamu bila sheria ni sawa na wanyama. Huyo ni Aristotle sio mimi

Wapo kina Hobbes na kina Machiavelli wanaoamini katika msimamo wako lakini unabaki kuwa mtazamo (au falsafa) wa watu fulani hivi na haina maana kwamba binadamu mwenye utashi anahitaji kutishwa kwa sheria au some sort of a boogeyman kwamba akifanya au asipofanya matendo fulani basi huyo boogeyman atakuja kumchoma na moto

In fact katika historia ya dunia watu wengi wamekufa kwa jina la imani kuliko majanga ya aina yoyote ile, kwa hiyo kusema kwamba dunia na binadamu tunahitaji vitisho ili tuishi katika harmony bado inapingana na facts Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wallah kama huna Imani kabisa ya dini unaweza kumfuata Kiranga ahsante wakuu Mndengereko na kahtaan

mkuu stata,
huyu Kiranga ana tatizo ambalo mara nyingi utalikuta kwa watu wazima waliokua bila MSINGI mzuri wa elimu , halafu WAKAVAMIA mambo yanayohitaji ELIMU,

Na hii inatokana na Kuiga tabia za Jamii fulani wakati yule MUIGAJI hana sifa za JAMII ile anayo iiga!

Wanasema waungwana " KUTOKUJUA SIO TATIZO KUBWA iwapo UTAJUA KUWA HUJUI! na UNAHITAJI KUJUA! Hapo inakuwa rahisi sana Kufuata njia sahihi zitakazo kusababisha UJUE!

Huyu Kiranga yeye "HAJUI KUWA HAJUI"! na hii mkuu ni SIFA ya HATARI sana, Maana yake, Mtu kama huyu Ili uweze kumsaidia kumuelekea kwenye NJIA sahihi Basi lazima Uanzie kwenye KUMUELEWESHA kuwa YEYE anatakiwa AJUE AU AFAHAMU kuwa HAJUI!

Ntakupa mfano hai hapa!

mimi ninaposema "HIKI NI KITABU" na wewe ukasema "HAPANA HICHO SIO KITABU"

Hapa KITU cha kwanza kabisa unachotakiwa ukifahamu ni "HICHO "KITABU" NI NINI? Hata kama huwezi kukifafanua kiundani lakini kwa uchache UNATAKIWA UKIFAHAMU HATA MAANA YAKE!

Sasa mtu anakwambia "MUNGU HAKUNA" Ukimuuliza je! ni nani MUNGU UNAEMKATAA KUWA HAYUPO?! Anakujibu " Sasa mi ntamjuaje wakati HAYUPO WALA HAJAWAHI KUTOKEA!!

Yaani mtu akishasema hivyo tu! Unafahamu moja kwa moja kuwa " Huyu HAJUI! Na pia HAJUI KUWA HAJUI"

Kuna msemo unasema"
It takes considerable knowledge just to realize the extent of your own ignorance."
Yaani "Inachukua ujuzi mwingi sana kutambua tu kiwango cha ujinga wako mwenyewe."
Na historia inaonyesha kuwa watu wa namna hii wengi wao Hufa hali ya kuwa HAWAJUI!

Na maisha yao yote Huishi kwa KUDHANI DHANI tu!

Yaani kila kitu ambacho kinatakiwa UTUMIE AKILI Kufikiri, utakuta wanasema, "sasa unasemaje kuwa ni A! wakati kuna uwezekano wa kuwa B! Na ukimwambia MPAKA SASA hakuna aliyeweza kuhakiki kuwa ni B! LKN ukitumia akili yako kufikiri utaona kuwa ni A. Anakwambia tena sio B tu huenda pia ikawa C!

WATU wa namna hii Kinachoweza kuwafundisha kwa haraka, ni misukosuko ya MAISHA!

MTU kama huyu akitandikwa na BALAA MOJA YA HARAKA! au TUKIO MOJA KUBWA SANA KTK Maisha yake! Basi hutokea wengine WAKAAMKA na kufahamu kuwa YEYE KUMBE ALIKUWA HAJUI!

Hapa kama ulivyosema hapo juu! tunachofanya ni kuulekeza UMMA kuwa huyu na hao wenzake HAWANA LOLOTE LA MAANA WANALOJUA zaidi ya kujaribu kuwatoa watu ktk NJIA ILIO SAHIHI na ya kistaarabu! na kuwapeleka kwenye MAISHA YASIO NA KANUNI WALA NIDHAMU!

Na watu kama hawa WAKIPATA NAFASI KTK JAMII Wanatuletea Uchafu mwingi tu!
kama vile Kuhamasisha na kufanya ULIBERALI, UZINZI, UASHERATI, KUUA MIMBA CHANGA, kubadili JINSIA KWA kugeuza wanamme kuwa wanawake, na wanawake kuwa wanamme NA UCHAFU MWINGINE MWINGI MNO DUNIANI,

Kwa sababu kwao wao KILA KITU AMBACHO NAFSI ZAO ZINATAMANI, Na ikiwa SHERIA YA NCHI HAIJAKATAZA Basi kwao ni SAWASAWA TU!

Matokeo yake KWA KUKOSA MIIKO NA KANUNI KTK MAISHA YAO wanaamua kuoa MAMA ZAO NA DADA ZAO NA WATOTO WALIO WAZAA WENYEWE! as long as SHERIA haitowafunga!

Huko nchi za magharibi wameshachafua mno, na watu wanaishi kuliko wanyama! sasa na huku kwetu wanataka kutuletea LAANA hio.

Na sisi tutajaribu kuuelimisha Umma mpaka siku ya mwisho, na mwenye akili AUONE HUO UCHAFU WAO NA KUWAPUUZA KAMA UNAVYO MPUUZA MWENDA WAZIMU.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa namjibu Mndengereko maana keshatoka katika ile dhana ya MUNGU fulani ni bora kuliko miungu mingine na haja-Prove ni wapi kakutana naye au kututhibitishia
SWALI Kiranga ambalo lipo nje ya mada ya hii ya watoto waliyoileta
Tuseme hakuna MIUNGU yeyote kabisa ya kiDINI wala hii ya kikabila aliyoielezea hasason

  • Dunia itakalika kweli? vurugu zote za Mataifa makubwa, majambazi, wabakaji WATATULIA AU KUJITOKEZA?
  • kutokana na uelewa wetu wa kufikia kikomo honi ndio maana kuna AMANI kwa kuogopa kutenda mabaya kwa sababu hatujui ya mbele (hapo ndipo nilipomuunga mkono Mndengereko)
  • toka zamani hofu ya mababu zetu ni kwamba kuna mtu awezaye kuGenerate Operate & Destroy [GOD]
  • Ndio maana huku kwetu Ilangali pori la Tembo wengi ni kupishana nao na tunaishi kwa amani kwani henda kila mwaka kutambika kwenye Bonde lao (sawa na wanaoenda kuhiji Kilimanjaro)
MY TAKE
bila hofu ya MIUNGU pasingekalika awe MUNGU asiye na DINI au mungu wa Baniani (ng'o..
sijakuelewa,
embu fafanua vizuri hapo mkuu hao mungu wawili ambao unawakusudia ,kwa kusema mimi sijafafanua kwa nini mungu fulani ni bora kuliko mungu mwingine (ni mungu yupi na yupi unaowakusudia hasa hapa) na pia ulikuwa unataka nikutane na mungu??? Ndo ili uamini

back to the topic
ukiachilia mbali hofu ya mungu ili tutende mema na tuache mabaya,
kama binaadamu sisi wa kawaida tu(ambao hatujakamilika) tunaona umuhimu wa kuwa na kiongozi as well as tunaona umuhimu wa kuwa na kitu kinachotuongoza i.e katiba (kuepuka mkanganyiko, because human being is selfish by nature) inawezekanaje watu wadunia nzima wote ama kila mtu aishi kwa matakwa yake/interest yake yy does it make sense?? Obviously lazima kuwe kuna mtu mmoja ambae ana nguvu,kiongozi,mwenye kuheshiniwa na aliyeweka muongozo ambao watu waishi vipi ili kundoa mkanganyiko,kama katika familia ndogo tu ya nyumbani pana kiongozi(baba) howcome duniani pasiwepo na kiongozi ambae wote inabidi tumfuate na tumheshimu.???

Hapa ni swala la kutumia common sense tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom