History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Ng'wamapalala;

Matatizo makubwa jamii zetu ni watu wengi kushindwa kutumia uwezo wao wa kufikiri na kushindwa kutambua.
uwezo wa akili za binadamu kufanya ubunifu.

Vilevile pamoja na kuwa ubongo au akili za binadamu zinaweza kufanya mambo makubwa bado unaweza kudanganywa na kuamini vitu visivyo na ukweli kwa muda mrefu. Kwa mfano niliangalia mazishi ya Kim Jong Il and yale ya Kim Il-Sung, waliokuwa viongozi wa Korea ya kaskazini. Sikuelewa kwanini walifanywa kama Miungu na watu kuamini.
Mkuu ninakubaliana kabisa na angalizo lako.

Waswahili wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo au samaki mkunje angali mbichi.

Elimu haipatikani darasani peke yake, hata mazingira yanayotuzunguka ni kisima cha kuchota elimu inayomfundisha mwanadamu jambo fulani pale anapoangalia katika mtazamo unaojengwa na hoja ambazo chimbuko lake ni WHY?.

Watanzania wengi bado tunakulia katika mazingira ya uwoga kwa maana kuwa mila na desturi zetu zimetuweka katika mazingira ya kutokuwa wadadisi na kuhoji hoji. Mtoto anayeonekana kuanza kujenga tabia ya kudadisi na kuhoji hoji huwa anawekwa kwenye kundi la watukutu ambapo hata hoja zake huwa zinaanza kupuuzwa na kupingwa matokeo yake anakosa hata msukumo katika uchunguzi.

Mazingira haya yanasababisha watoto kutokuwa wabunifu, as a result, hata akili inakuwa dormant or passive katika kufanya uchunguzi wa kila kitu kiasi kwamba anajikuta amejenga tabia ya woga na kukubali tu kila kitu kwa vile aliyesema ni mtu ambaye umri wake ni juu yake au 'superior'.
 
sijakuelewa,
embu fafanua vizuri hapo mkuu hao mungu wawili ambao unawakusudia ,kwa kusema mimi sijafafanua kwa nini mungu fulani ni bora kuliko mungu mwingine (ni mungu yupi na yupi unaowakusudia hasa hapa) na pia ulikuwa unataka nikutane na mungu??? Ndo ili uamini
back to the topic
ukiachilia mbali hofu ya mungu ili tutende mema na tuache mabaya,
Hapa ni swala la kutumia common sense tu.
tuelimishane uwepo wa mungu bila ya kuingiza dini wala vitabu vyake,ili wasioamini kwenye qur-an au uisalm wapate kuamini,kwa taarifa yako mtume muhammad(s.a.w) aliyeleta qur an ambayo ndo imeeleza hiyo dhana ya dunia kuwa duara na chanzo cha kila kitu ni maji aliuwa hajui kusoma wala kuandika alichokuwa anafanya akishushiwa aya through malaika jibril(gabriel) alimwambia swahaba(follower) wake aiandike ili maandiko yasiweze kupotea so kama alikuwa hajui kusoma wala kuandika how come aweze kujua hao maphilosopher wa zamani kwamba ndo walikuja na idea hizo?? Lets get back to the topic,
Hapo unapodai aya zilishushwa
Mimi najua Vitabu hivi vipo katika Maktaba na km Torati iliandikwa na Mose haikushushwa Amri 10 kashuka nazo Sinai alikopewa na YEHOVA
back to the thread
Hivi kweli km MUNGU hayupo hii Dunia itatawalika, hamuoni kuweka siku za kuabudu ni kupunguza machukizo baina yetu?
Na km kweli yupo kwanini asimuangamize shetani anayeishi milele kuongeza kundi la wanaokuwa -ve kwa miungu ya Baniani , Budha, Mulungu (wa wagogo) Mndumi, Allah (wa Waislam) YESU ( kwa Wakatoliki) nk
quote_icon.png
By Aboo Treka
Mungu mwenyewe kaniandikia.

humu ndani kuna waliokutana na MUNGU kwa hiyo tusiwabishie ngojeni waweke Proof km hizi
 
nahisi tunatofautiana imani kwanza mkuu sisi kwenye dini yetu (islam) kitabu cha qur an ni maneno ya mungu yaliyoteremshwa kupitia kwa nabii muhamd (s.a.w) na wala sio kwamba vitabu vipo maktaba vikakusanywa pamoja kikatengenezwa kitabu kimoja kikaitwa qur an na katika kila aya ambayo ilikuwa inashuka kuliko kuna sababu ya hiyo aya kushuka kwa wakati huo,

na kama kweli kuhusu mungu yupo kwanini asimuangamize shetani nilijarribu kumjibu hili swala Kiranga kwamba ni kwa sababu mungu ametupa akili ya kufikiria lakini pia ametupa muongozo wa kuufuata as long as tuna akili so hatuwezi kupotea na shetani hawezi kututeka tukamfuata yy iwapo tutazitumia akili zetu vizuri

kuhusu hilo swala la kumuona mungu as far as i knw hakuna mtu ambae amewahi kumuona mungu(binaadamu) labda kama siyo mungu huyu mmoja tunaemkusudia sisi wote.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa namjibu Mndengereko maana keshatoka katika ile dhana ya MUNGU fulani ni bora kuliko miungu mingine na haja-Prove ni wapi kakutana naye au kututhibitishia
SWALI Kiranga ambalo lipo nje ya mada ya hii ya watoto waliyoileta
Tuseme hakuna MIUNGU yeyote kabisa ya kiDINI wala hii ya kikabila aliyoielezea hasason

  • Dunia itakalika kweli? vurugu zote za Mataifa makubwa, majambazi, wabakaji WATATULIA AU KUJITOKEZA?
  • kutokana na uelewa wetu wa kufikia kikomo honi ndio maana kuna AMANI kwa kuogopa kutenda mabaya kwa sababu hatujui ya mbele (hapo ndipo nilipomuunga mkono Mndengereko)
  • toka zamani hofu ya mababu zetu ni kwamba kuna mtu awezaye kuGenerate Operate & Destroy [GOD]
  • Ndio maana huku kwetu Ilangali pori la Tembo wengi ni kupishana nao na tunaishi kwa amani kwani henda kila mwaka kutambika kwenye Bonde lao (sawa na wanaoenda kuhiji Kilimanjaro)
MY TAKE
bila hofu ya MIUNGU pasingekalika awe MUNGU asiye na DINI au mungu wa Baniani (ng'o..

Ukwaju.

Very important point.

I repeat.

Very important point.

Kabla ya kwenda kwenye nuances za usefulness of the god idea, ni lazima tukubaliane kwenye reality.

Kama mungu hayupo, na uzuri wa idea ya mungu ni kutisha watu tu wasifanye mabaya, then habari nzima ya mungu inakuwa imejengwa katika uongo.

Na si kweli kwamba watu hawawezi kutenda mema bila kuamini mungu.

Kuna secular humanists kibao hawaamini mungu lakini wanatenda mema.

Kuna Buddhists kibao hawaamini mungu lakini wana a better morality code than Christians.

Kuna Wagiriki walioishi maelfu ya miaka kabla ya Kristo hawakuamini kuwapo kwa roho wala mungu lakini walikuwa na a code of.morality ambayo ilikuwa truthful and better than the Judeo Christian code we have.

Kwa hiyo kusema binadamu hawezi kutenda mazuri bila imani ya mungu ni kujibweteza.

Na tumeona makasisi wanaoamini mungu wakiwala.witi (ashakum si matusi) watoto wadogo kihayawani.

Tatizo naweza kuwa nabishana na watu easiojua falsafa za secular humanists, Buddhists wala ancient Greeks.
 
Last edited by a moderator:
nahisi tunatofautiana imani kwanza mkuu sisi kwenye dini yetu (islam) kitabu cha qur an ni maneno ya mungu yaliyoteremshwa kupitia kwa nabii muhamd (s.a.w) na wala sio kwamba vitabu vipo maktaba vikakusanywa pamoja kikatengenezwa kitabu kimoja kikaitwa qur an na katika kila aya ambayo ilikuwa inashuka kuliko kuna sababu ya hiyo aya kushuka kwa wakati huo,

na kama kweli kuhusu mungu yupo kwanini asimuangamize shetani nilijarribu kumjibu hili swala Kiranga kwamba ni kwa sababu mungu ametupa akili ya kufikiria lakini pia ametupa muongozo wa kuufuata as long as tuna akili so hatuwezi kupotea na shetani hawezi kututeka tukamfuata yy iwapo tutazitumia akili zetu vizuri

kuhusu hilo swala la kumuona mungu as far as i knw hakuna mtu ambae amewahi kumuona mungu(binaadamu) labda kama siyo mungu huyu mmoja tunaemkusudia sisi wote.

Kabla ya mungu kutupa akili ya kufikiri na kuumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Shetani hawezi kutokea na binadamu hawezi kuwaza mabaya wala kupatwa na mabaya.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
 
Wapi Mungu aliumba umlimwengu wenye Mabaya? Unaweza tupa USHAHIDI HAPA?

Usiwe unauliza ujinga. Kama hujui kitu kaa kimya.

Sasa niletee ushaidi wa Mungu kuumba ulimwengu wenye mabaya..

USIKIMBIE BANA
 
yaani mabaya yote huyaoni wanayosema ni ya Shetani
basi anzia na Sodoma na Gomora au kwenye Jiwe la chumvi la mke wa Luttu
ElNino na majanga yote ya Vita na njaa huko soamalia ma DRC

Tumapochangia kumuita mwenzio mjinga unaonesha kabisa hakuna MUNGU maana ni dharau na kibri vilivyoandikwa katika Vitabu vyote vya ....
wewe changia huyo mungu umekutana wapi akakufundisha ujinga?
 
cc Mndengereko hapa lazima atarudi nyuma pale shetani alipojiumba maana hakuumbwa kutokana na vitabu
 
Nimekwambia niletee ushaidi wa kuumbwa na Mungu. Huwa hatusemi tuu bila ya ushaidi. Ukiweka madai, tuletee ushaidi kusaidia madai yako. Grow up JF.
 
Kama shetani kajiumba, hajaumbwa na mungu.

Kama hajaumbwa na mungu, habari ya Biblia, Quran na mapokeo mengine kwamba mungu ni muumba vyote ni uongo.

Kama biblia na quran vimesema uongo katika hili, vimesema uongo katika mengine mangapi?
 
Last edited by a moderator:
sijakuelewa,
embu fafanua vizuri hapo mkuu hao mungu wawili ambao unawakusudia ,kwa kusema mimi sijafafanua kwa nini mungu fulani ni bora kuliko mungu mwingine (ni mungu yupi na yupi unaowakusudia hasa hapa) na pia ulikuwa unataka nikutane na mungu??? Ndo ili uamini

back to the topic
ukiachilia mbali hofu ya mungu ili tutende mema na tuache mabaya,
kama binaadamu sisi wa kawaida tu(ambao hatujakamilika) tunaona umuhimu wa kuwa na kiongozi as well as tunaona umuhimu wa kuwa na kitu kinachotuongoza i.e katiba (kuepuka mkanganyiko, because human being is selfish by nature) inawezekanaje watu wadunia nzima wote ama kila mtu aishi kwa matakwa yake/interest yake yy does it make sense?? Obviously lazima kuwe kuna mtu mmoja ambae ana nguvu,kiongozi,mwenye kuheshiniwa na aliyeweka muongozo ambao watu waishi vipi ili kundoa mkanganyiko,kama katika familia ndogo tu ya nyumbani pana kiongozi(baba) howcome duniani pasiwepo na kiongozi ambae wote inabidi tumfuate na tumheshimu.???

Hapa ni swala la kutumia common sense tu.

Ushaondoka kwenye suala la mungu yupo au hayupo, umeingia kqenye suala la kuuliza, je, kama mungu hayupo, kudanganya kwamba yupo ili ku maintain order ni kitu kizuri au kibaya.

Hili ni swali tofauti.

Lazima ukubali kwamba mungu hayupo ili kulijadili seali hili kwa undani.

Kwa sababu msingi wake ni kutokuwepo kwa mungu.
 
nahisi tunatofautiana imani kwanza mkuu sisi kwenye dini yetu (islam) kitabu cha qur an ni maneno ya mungu yaliyoteremshwa kupitia kwa nabii muhamd (s.a.w) na wala sio kwamba vitabu vipo maktaba vikakusanywa pamoja kikatengenezwa kitabu kimoja kikaitwa qur an na katika kila aya ambayo ilikuwa inashuka kuliko kuna sababu ya hiyo aya kushuka kwa wakati huo,

na kama kweli kuhusu mungu yupo kwanini asimuangamize shetani nilijarribu kumjibu hili swala Kiranga kwamba ni kwa sababu mungu ametupa akili ya kufikiria lakini pia ametupa muongozo wa kuufuata as long as tuna akili so hatuwezi kupotea na shetani hawezi kututeka tukamfuata yy iwapo tutazitumia akili zetu vizuri

kuhusu hilo swala la kumuona mungu as far as i knw hakuna mtu ambae amewahi kumuona mungu(binaadamu) labda kama siyo mungu huyu mmoja tunaemkusudia sisi wote.

Hukujibu swali.

Nimekuuliza kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao ubaya unawezekana na shetani anawekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu wowote ule, ukiwambo ule ambao ubaya hauwezekani kwapobwala shetani hawezekani kuumbika?

Hujajibu swali hili.
 
Last edited by a moderator:
Nimekwambia niletee ushaidi wa kuumbwa na Mungu. Huwa hatusemi tuu bila ya ushaidi. Ukiweka madai, tuletee ushaidi kusaidia madai yako. Grow up JF.

Wewe toa ushahidi wa mwanadamu kuumbwa na mungu.
 
Wapi Mungu aliumba umlimwengu wenye Mabaya? Unaweza tupa USHAHIDI HAPA?

Usiwe unauliza ujinga. Kama hujui kitu kaa kimya.

Sasa niletee ushaidi wa Mungu kuumba ulimwengu wenye mabaya..

USIKIMBIE BANA

By your cosmogony, uwezekano wa shetani kuwepo kwenye ulimwengu huu umeumbwa na nani?
 
Pasipo ubaya ungejuaje wema? Yeye kwake vyote havina nguvu ila kwaajili yake mwenyewe aliviumba ili kwa akili aliyotupa tupate kutambua hivyo.....

Mbona wana nazingaombwe tu wanaweza tengeneza vitu kama kifo na ss tukajenga hisia wakati siyo real?

He gave us facts but the truth remains with him... Akigeuza tu ubongo wako unakana hizo facts zako ndiyo maana science ina operate in iteration back and forth towards truth; they call facts!

Mpaka sasa ni bible tu ina un refutable truth kuwa the creation started by a word....and this never dies.....ukiweza kupata a receptor ukaitune eneo alipo kuwepo Galileo tukaweza retrieve maneno yake yaliyo in form of voice or thoughts through which we can recreate physical bodies alizotumia kufanya science zake.....

Hujajibu swali.

Na hatujawahi kuishi dunia ambayo haina ubaya, kwa hiyo swali lako halijibiki na mtu wa dunia hii.

Bora dunia ambayo haina ubaya lakini watu hawajui wema (kwa sababu hakuna ubaya wa ku u distinguish wema na ubaya) kuliko dunia yenye ubaya na wema ili tu watu waujue wema.

Kama una watoto saba, ukaamua kwa makusudi umuue mmoja ili tu wale wengine sita waweze kuthamini maisha kwa kukijua kifo, wakati unaweza kuzuia kifo na kuwaeleza tu wanao mpaka waelewe kwamba kuna kifo, utaitwa muuaji na kufungwa jela.

Sasa kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote tumuangalie kwa a more lenient standard?

Alishindwa kuwafanya binadamu wajue mabaya na mema bila ya ulimwengu kuwa na mabaya?
 
Wewe toa ushahidi wa mwanadamu kuumbwa na mungu.

Unakimbia dai lako. Unaona tabia ya kudandia treni kwa mbele?
quote_icon.png
By Kiranga

Kabla ya mungu kutupa akili ya kufikiri na kuumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Shetani hawezi kutokea na binadamu hawezi kuwaza mabaya wala kupatwa na mabaya.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
Wapi Mungu aliumba umlimwengu wenye Mabaya? Unaweza tupa USHAHIDI HAPA?
Usiwe unauliza ujinga. Kama hujui kitu kaa kimya.
Sasa niletee ushaidi wa Mungu kuumba ulimwengu wenye mabaya..
USIKIMBIE BANA

Hivi tabia ya kukimbia madai unayo anzisha utaacha lini?
 
Unakimbia dai lako. Unaona tabia ya kudandia treni kwa mbele?
Wapi Mungu aliumba umlimwengu wenye Mabaya? Unaweza tupa USHAHIDI HAPA?
Usiwe unauliza ujinga. Kama hujui kitu kaa kimya.
Sasa niletee ushaidi wa Mungu kuumba ulimwengu wenye mabaya..
USIKIMBIE BANA

Hivi tabia ya kukimbia madai unayo anzisha utaacha lini?

Shetani ameumbwa na mungu au katokeaje?

Ulimwengu ambao shetani anaweza kutokea umeumbwa na nani?

Hujajibu maswali.
 
By your cosmogony, uwezekano wa shetani kuwepo kwenye ulimwengu huu umeumbwa na nani?

Inaonekana hujui hata mwanzo wa Shetani. Nenda kajifunze kwanza shetani katoka wapi, ukisha fahamu, utaelewa kuwa Swali lako limekosa elimu ya Shetani.

Nani alimkataza Shetani kuwepo kwenye ulimwengu huu?
 
Back
Top Bottom