Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
ebhanaee!.a have been skipping to read this thread many times.kumbe nakosa burudani.yaonekana round hii Kiranga kabanwa kweli.hata kwenye topic zingine hatokei.lol.
Indeed you have been skipping.
I suggest you read before concluding.
Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu.
Hakuna aliyeelezea kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye maovu kama huu.
Kabla ya kujibiwa maswali haya mawili huwezi kusema nimebanwa.
More like nimewabana na hawajaweza kunijibu.
Maswali yao yote nimewajibu, soma, usi skip.
Maswali yangu hayajajibiwa.
Last edited by a moderator:
