History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

ebhanaee!.a have been skipping to read this thread many times.kumbe nakosa burudani.yaonekana round hii Kiranga kabanwa kweli.hata kwenye topic zingine hatokei.lol.

Indeed you have been skipping.

I suggest you read before concluding.

Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu.

Hakuna aliyeelezea kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye maovu kama huu.

Kabla ya kujibiwa maswali haya mawili huwezi kusema nimebanwa.

More like nimewabana na hawajaweza kunijibu.

Maswali yao yote nimewajibu, soma, usi skip.

Maswali yangu hayajajibiwa.
 
Last edited by a moderator:

Unaanza kujihami,

Unaposema kitu lazima utetee madai yako

quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Jibu swali bana:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

JIBU SWALI BANA
 
Unaanza kujihami,

Unaposema kitu lazima utetee madai yakoJibu swali bana:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

JIBU SWALI BANA

Siulizi mungu wangu kwa sababu siamini katika mungu.

How is that for a simple and consistent explanation.

Wewe unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
 
Siulizi mungu wangu kwa sababu siamini katika mungu.

How is that for a simple and consistent explanation.

Wewe unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Unaanza ku-amend maneno yako. Huoni huu ni msiba kwako,

Si nilikwambia uwe unafikiria kwanza kabla ya kuandika. I don't take that bunch of malarkey.

SASA NARUDI PALE PALE:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

Mbona unaogopa kujibu swali?
 
Nitajibu swali moja hili mara ngapi?

Wewe ushajibu kuthibitisha kwamba mungu yupo?
 
kwa nini unasema ninaamini mungu hayupo wakati nimesema mara mia kidogo sitaki kuamini nataka kujua?

Kwa vile wewe unaelea katika bahari ya kuamini unaamini tu kwamba hakuna bara la kukataa kuamini?

kwanini unataka kujua kuwa mungu yupo?/hayupo?.ni kimekusibu?
 
Nitajibu swali moja hili mara ngapi?

Wewe ushajibu kuthibitisha kwamba mungu yupo?

Nioneshe wapi umejibu? Nimesha kwambia huwa hawalazimishi majibu. Eeeeh, that is how it works. Leta jibu hapa, nilione. Weka link ya hilo jibu lako hapa niione.

NARUDI PALE PALE KWENYE TATIZO LAKO UNALO LIKIMBIA TOKEA JUZI.
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

Huwa siachi vitu hivi hivi tuu. You should know by now.
 
Unashindwa kujieleza na kuteta madai yako:

ENDELEA KUPATA MAUMIVU YA KICHWA HAPA CHINI:

Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu
 
Sikuanzisha mjadala, angalia mjadala ulivyoanza.
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

Huwa siachi vitu hivi hivi tuu. You should know by now.
 
Tupe yako uliyofanya mwenyewe, ili tukuamini, usi-google.

mkuu hawezi kwa kuwa yeye sio mwanasayansi,yeye ni mtu anaye amini kwa aliyo soma ndani ya vitabu vya utafiti uliofanywa na wanasayansi walioamini kutokuwepo kwa mungu.kama Kiranga ni mwanasayansi atuthibitishie.
 
Last edited by a moderator:

Unashindwa kujieleza na kuteta madai yako:

ENDELEA KUPATA MAUMIVU YA KICHWA HAPA CHINI:

Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu

Nishakujibu hili swali na lile lingine trumped kama mara kumi tu.

Wewe hujajibu maswali yangu hata mara moja.

Hata nikishindwa kuthibitisha lolote, hilo halithibitishi kwamba mungu yupo mpaka uthibitishe kwamba yupo.

Hujathibitisha.

Kuhusu kuthibitisha kwamba mungu hayupo, vile ambavyo havipo havithobitishiki kwamba havipo, kwa sababu havipo.

Vilivyopo ndivyo vinathibitishika kwamba vipo.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Hujathibitisha bado.
 
Nishakujibu hili swali na lile lingine trumped kama mara kumi tu.

.
Show me the post. Show me the link. I need my answer. Sina muda na blah blah blah blah zako.

Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu
 
Show me the post. Show me the link. I need my answer. Sina muda na blah blah blah blah zako.

Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu

Nimekujibu kwamba hata kama siwezi kuthibitisha lolote katika ulimwengu huu, hilo halithibitishi kwamba mungu yupo.

Nimekwambia kwamba visivyopo havithibitishiki, kwa sababu havipo.

Vilivyopo ndivyo vinavyothibitishika.

Thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Nimekujibu kwamba hata kama siwezi kuthibitisha lolote katika ulimwengu huu, hilo halithibitishi kwamba mungu yupo.

Nimekwambia kwamba visivyopo havithibitishiki, kwa sababu havipo.

Vilivyopo ndivyo vinavyothibitishika.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Hilo sio jibu la kupinga unacho pinga.

na bado hujajibu post yako hii

quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

Huwa siachi vitu hivi hivi tuu. You should know by now.
 
Hilo sio jibu la kupinga unacho pinga.

na bado hujajibu post yako hiiHayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

Huwa siachi vitu hivi hivi tuu. You should know by now.

Nishakujibu.

Thibitisha mungu yupo
 
Nimekwambia kwamba visivyopo havithibitishiki, kwa sababu havipo.

.

Lete ushaidi kwamba HAVIPO.

Unaona jinsi unavyo jitia kwenye matatizo wewe mtoto?

Niletee ushaidi kwamba havipo
 
Nishakujibu.

Thibitisha mungu yupo

Huwa hawalazimishi majibi. Unapo weka madai, lazima ulete ushaidi kusaidia madai yako. That is how it works worldwide. Kusema tu, eti nimeshindwa kuthibitisha haikutoi kwenye dai lako ulilo lianzisha.

quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

Huwa siachi vitu hivi hivi tuu. You should know by now.
 
Ha ha ha ha mkuu Schiendler nimefurahi sana ulivyombana huyo Kiranga alichobaki sasa hiv ni kucheza na maneno hakubali kushindwa kang'ang'ania hata kama nikishindwa kujibu sio uthibitisho kuwa Mungu yupo. Leo hajatoka maana alianza kubanwa na kahtaan akaja na blah blah kibao.
 
Last edited by a moderator:
Vilivyopo ndivyo vinavyothibitishika.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Haya basi thibitisha kama we ni m/mke au m/ume kwasababu upo tayari ushaumbwa au thibitisha maneno niliyoandika naamini au najua nlichokiandika.

Maswali anayokuuliza Schiendler huwezi yajibu hata siku moja mkuu Kiranga utakachofanya ni kucheza na maneno tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom