Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiharibu thread za watu kwa ulevi au werevu wako wakati kwetu ni ujinga km una MUNGU wako tuthibitishie hapa umekutana naye wapi? NDIO MADA INAVYOTAKA
Ndio ni kaID kangu kanokaamini HAKUNA MUNGU ILA KUFA KUPOVipi haka nako ni kaa ID kako
Mkuu Kilanga nimekua nafatilia hoja zako kwenye thread mbalimbali, ukweli ni kuwa wanatumia nguvu nyingi na kukulazimisha ukubaliane nao huku wakishindwa kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu, hakuna uthibitisho juu ya hilo zaidi ya ushahidi tu ambao nao una pande mbili, nataka kujifunza kitu toka kwako, Je! unakubali kwamba kuna Maisha baada ya Kifo???
Ndio ni kaID kangu kanokaamini HAKUNA MUNGU ILA KUFA KUPO
hakuna ajuaye atakakoenda na nani atakutana na nani ila ukitangulia Schiendler au Kiranga au Mndengereko au Ukwaju tusindikizane kwa wema na nyimbo lukuki WANA JF na R.I.P. kibao
Ndipo utakaposhangaa wote tuna DINI hata Kiranga wote tutafukiwa kutokana na DINI kipindi hicho hakuna kukataa MUNGU
CHEZEA KIFO (break ya PUMZI) MUNGU hapo katuweza
Mkuu Kilanga nimekua nafatilia hoja zako kwenye thread mbalimbali, ukweli ni kuwa wanatumia nguvu nyingi na kukulazimisha ukubaliane nao huku wakishindwa kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu, hakuna uthibitisho juu ya hilo zaidi ya ushahidi tu ambao nao una pande mbili, nataka kujifunza kitu toka kwako, Je! unakubali kwamba kuna Maisha baada ya Kifo???
Jamani wana jukwaa hivi hatuwezi kujadili bila multiple IDs??
Manake mpaka raha ya mnakasha inaondoka!
Mi.nikishaona utumbo wa namna hio huwa sichangii tena!
Haya majina mapya yanayotokea ghafla na kuanza kumsifu mtu ghafla yanaharibu mdahalo wote.!
Yaani Mndengereko katika Post zako hizi 2 umezijibu kitaalamu hasa kwa binadamu mwenye upeo
hivyo nakupakubwa sana![]()
- kwanza umefungua uwanja mpana tuendelee kumjadili huyu MUNGU (Miungu wasiokuwepo km Kiranga asemavyo) kwenye Bluu
- Katika Imani za wenzetu umetuachia sasa tuamini tutakavyo km ni sanamu au ni Ng'ombe au Budhist wote njia ni Moja Kuzaliwa na kufa Kwenye Red
MY TAKE
Hofu na kutotenda mabaya ndio inayosababisha watu wamtafute MUNGU (awe mchagga, Mndengereko, Mpare, Mwarabu, Myahudi)
Mfano mm ni Jambazi nikipanga leo kuvamia Benki popote nitasali sana ili nifanikiwe na nikipata nitatoa Sadaka
ila nikikamatwa nitamtaja Shetani na Askari wote na Hakimu kwangu ni Mashetani , mpaka nitakaposhinda kesi nitasema MUNGU ni mkubwa nimeiba na kuokoka
mfano mwingine mm ni Dreva wa Bodaboda (au Mabasi na Maloti)Traffic kwangu ni SHETANI mkubwa kabisa kwani nitamuomba MUNGU anivushe pale kwa kuwa sina Bima au tairi bovu Mndengereko unapunguza kasi UWEPO WA MUNGU hatuwezi kuutafuta nje ya vitabu hivi ambavyo viliandikwa na MOSE
vipo unavyodai viliterenshwa kama aya mwaka 630AD
Na mm ni hivyohivyo lakini kumbukumbu zake zimehifadhiwa katika mafunjo huko Alexandria vilivyoandikwa na huyohuyo Mose (Musa) miaka -5800BC mbona vinafanana? Abram, Sulemani Sarai, Hagai Yakub
ndio maana nakubaliana na wewe kabisa kuwa kila mtu na Imani yake ithaminiwe mm nibaki na Ng;ombe wangu au Mbuyu km MUNGU na Kiranga abakie na imani yake km MWANAMUME kamili na kutotambua kwake sio kumuita jike km mchangiaji mwingine mwenye povu humu ndani
Mantiki gani? Hoja gani?
Hoja zako zote nimezipangua, sijaona hoja ambayo haijapanguliwa.
Kama unaweza ku restate restate hapa.
Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu, ndiyo maana habari ya kuwepo kwa mungu inaitwa imani, haijathibitishwa.
UTHIBITISO WA UWEPO KWA MUNGU
By Mndengereko
PART 1.
1. The complexity of our planet points to a deliberate Designer who not only created our universe, but sustains it today.
a-Chukuli mfano dunia yetu ilivyo,umbile lake,size,shape yake na uzito wake na kma tunavyoua dunia ayetu iko angani inaelea kama zilivyo sayari nyingine. So kuna gravitaiona force hapo inayoifanya isianguke swali la msingi jiullize katika miaka yoye hiyo toka dunia itoke(iumbwe) how come isiweze kuanguka what hold it up mpk today and what will hold t up mpk tomorrow and forever????-very posible someone with super power and ability anfanya yote hayo yatokee
![]()
b-dunia ni sayari ya tau kutoka jua lilipo na jua linatoa joto jingi sana ila still duni imewez kuwepo umbali maalum ambao unapata mwanga wa jua(joto) ili maisdha yaweze kuendelea,ingekuwa karibu zaidi na jua tungeungua .pasingekuwa na maisha naingekuwa mbali zaidi na jua wote tungeganda kwa kukosa joto tuweze kuwa warm,na pia dunia inajizungusha katika mhimili wake kuruhusu pande zote za dunia zipande joto na majira ya mwaka ili maisha yaweze kuuendelea pasiwepo sehemu ambapo viumbe wataganda kwa kukosa joto na kufa . And still you think yote hayo yametokea kwa bahati mbaya???
c-maji maji hayana rangi,hayana ladha na pia hayana harufu lakini hamna kiumbe chochote kinachoweza kuishi duniani bila ya maji(2/3 ya mwili wa binaadamu ni maji) angalia hizo unique characteristic of water and yet we plus other living things we cant survive without it,maji katika miili yetu yanawezesha kemikali,madini na nutrient mbalimbalikusafirishawa ndani ya mili yetu kupitia mishipa midogo sana ya damu bila ya maji hizo nutrients and other ingredients zisingeweza kusafirshwa pia maji yanabeba(yanasafirisha) vitu vingine ndani ya miili yetu kama vile chakula,madawa n,k cha msingi zaidi fahamu kuwa maji ni neutral chemical so yanabeba hizo chemicali nyngine na ingredients zote zilizokuwemo kwayo bila ya kuziathiri kwa kuongeza kemikali yake just because it is free from chemical
maji hayapandi mlima we all know that but Water in plants can flow upward against gravity, bringing life-giving water and nutrients to the top of even the tallest trees.
Asilimia 70 ya dunia ni maji mostly ya baharini lakini through water cycle maji haya yanachukuliwa na kuwa distributed sehemu kubwa ya dunia through mvua (baada ya evaporation take place and cloud formation) so that activity zote duniani zinazotegemea mvua ziweze kuchukua nafasi. Na maji yawafikie watu wote
d- akili ya binaadamu(human brain):akili ya binaadamu inachambua information nyingi sana za binaadamu ,akili yako intambua rangi ya kitu unachokiona,joto linalokuzunguka na lilipoo ndani ya mwili wako,sauti inayokuzunguka ,ukavu wa mdomo wako, At the same time your brain keeps track of the ongoing functions of your body like your breathing pattern, eyelid movement, hunger and movement of the muscles in your hands. and anyother information within your body or around you iko processed na akili yako
The human brain processes more than a million messages a second. Your brain weighs the importance of all this data, filtering out the relatively unimportant. This screening function is what allows you to focus and operate effectively in your world.
Mwisho fikira size na uzito wa akili(how small it is?) yako alafu inaweza kufanya mambo yote hayo kweli hili linawezekana kutokea kwa bahati mbaya bila ya kuwepo mtu ambae ameaipangilia yote haya kwa ustadi mkubwa bila kukosea wala hiyo brain yako kutoa info za uongo??? its very ttrue There is an intelligence to it, the ability to reason, to produce feelings, to dream and plan, to take action, and relate to other people. Haviwezi kutokea kwa bahati mbaya there should be some one with master mid super mind?perfect mind illiyofanya yote haya)
![]()
2 The universe had a start - what caused it?
Dunia likuwa na mwanzo kipi kilifanya huo mwanzo utokee?????(palikuwepo siku ulimwengu ukawepo/ukatokea kipi kilifanya itokee/what caused it wansanyansi wamejiridhisha kwamba palikuwepo na one big explosion of energy and light tunayoiita bing bang wanasanyansi hawa wanasema hiki ndo kilikuwa chanzo cha kila kitu kilichopo katika ulimwengu huu wetu wa leo mwansanyansi Astrophysicist Robert Jastrow,anasema , "The seed of everything that has happened in the Universe was planted in that first instant; every star, every planet and every living creature in the Universe came into being as a result of events that were set in motion in the moment of the cosmic explosion...The Universe flashed into being[SUP].[/SUP]
mwanasayansi mwingine Steven Weinberg anasema, at the moment of this explosion, "the universe was about a hundred thousands million degrees Centigrade...and the universe was filled with light."
pointi ya msingi hapa ya kufikiria hapa ni kuwa dunia ilikuwwa na mwanzo (it has not always existed) ssasa what caused hiyo big explosion to happen very sudden??Scientists have no explanation for the sudden explosion of light and matter.
3.Why does universe operate by uniform law of nature
Duniani/ulimwengunni kuna mambo mengi tuanyoyajua lakini hayuyafikirii kwa umakini kwa nini yapo constant,kwa mfano a hot cup of coffee left on a counter will get cold, the earth rotates in the same 24 hours, and the speed of light doesn't change -- on earth or in galaxies far from us.n.k pointi ya msingi hapa ni kwanini kila kitu ulimwenguni yaani kipo constant ulimwenguni hakibadilihata hata kwa bahati mbaya kama hana kitu kingine kinacho-opertae kinachoifanya iwe constant.even to more than thousands of years if not millions??
4. The DNA code informs, programs a cell's behavior.
All instruction, all teaching, all training comes with intent. Someone who writes an instruction manual does so with purpose. Did you know that in every cell of our bodies there exists a very detailed instruction code, much like a miniature computer program? As you may know, a computer program is made up of ones and zeros, like this: 110010101011000. The way they are arranged tell the computer program what to do. The DNA code in each of our cells is very similar. It's made up of four chemicals that scientists abbreviate as A, T, G, and C. These are arranged in the human cell like this: CGTGTGACTCGCTCCTGAT and so on. There are three billion of these letters in every human cell!!
Well, just like you can program your phone to beep for specific reasons, DNA instructs the cell. DNA is a three-billion-lettered program telling the cell to act in a certain way. It is a full instruction manual.[SUP]13[/SUP]
Pointi ya msingi hapa ni haya yote yanawezekanaje haya kutokea katika human body,?mtu mwenye kufikiri sawasawa lazima ajiulize hili swali la msingi how did this information program wind up in each human cell? These are not just chemicals. These are chemicals that instruct, that code in a very detailed way exactly how the person's body should develop.
Natural, biological causes are completely lacking as an explanation when programmed information is involved. You cannot find instruction, precise information like this, without someone intentionally constructing it.(Someone with super power and ability- almighty God)
![]()
5 uniformity of human being and other species.
Jiulize maswali haya ww ambae unadai mungu hayupo anaeitawala dunia yote, iweje dunia kuwe na utofauti wa binaadamu in terms of rangi,(kuna wazungu,waafrrika ,wa latin America,red hindian more amazing black and white indian and chinese.nk) lakini pia kuna utofauti wa makabila,pamoja lugha kama kwelisisi asili yetu ni moja( i.e bing bang explosion or nyani) kwa nini tutofautiane ,hii inaonesha mungu muweza yote ametusambaza kwenye dunia nakutuwekea utofauti kila watu kuwapa aina yao maisha kama asili yetu ni moja kwa nni tusiwe na common characertistic and behaviour??? My point hapa is kama binaadamu wa mwazno alitokea lets say alikuwa mweupe kwaninin generation yake isiendelee hioyo ya weupe tu (pasiwepo na mweusi)leo hii tunashuhudia utofauti wa rangi miongoni wetu sisi binaadamu??
Lakini pia tujiulize kwanii duniani kuna binaadamu wa jisnia mbili au kila kiumbe(binaadamu pamoja na wanyama wengine) kinajisiia mbiili ya ke na me kwanni pasitokee kiumbe ambacho either hakina jinsia kabisa at all (tofauti na hizo alizoziumba mungu) au kwa nini aistokee kiumbe chenye jinsia nyingine?? kama kweli hamna some one who controll what he established???
PART 2
Hapa nitathibitisha uwepo wa mungu kwa kutumia theory moja tu,ili kuifanya makala yangu isiwe ndefu zaidi na yenye kuchosha zaidi `Law of Thermodynamics`
1The First Law of Thermodynamics is stated as follows: Matter and energy can be neither created nor destroyed. There are no natural processes that can alter either matter or energy in this way. This means that there is no new matter or energy coming into existence and there is no new matter or energy passing out of existence. All who state that the universe came into existence from nothing violate the first law of thermodynamics
Pointi ya msingi ya kuchukua hapa kwenye hii theory ni kwamba huwezi kwamba huwezi ukawa na kitu ambacho kimekuja to an existence from nothing by saying so No rational person could believe that the entire universeincluding all of the radioactive elements that prove there was a specific time of beginninggradually came into existence BY ITSELF!
Kwa kumalizia kwenye theory hii embu jaribu kufikiria kwenye akili yako utengeneze kitu chochote from nothing,kamwe hutoweza so if that is not possible how can entire world/universe come to an existence from nothing???lets be honest and accept fact that this existing natural realm demand existence of great creator.
2.The Second Law of Thermodynamics
The Second Law of Thermodynamics is best summarized by saying that everything moves toward disorderor a condition known as entropy. Remember that evolutionists teach that everything is constantly evolving into a higher and more complex order. In other words, they believe things continue to get better and better instead of worse and worse. Chukulia mifano huu kuielewa zaidi hii theory Ikiwa mpira ukiwekwa juu ya mlima lazima utateremka kueleke bondeni mwa mlima hii ni kwa sababu Energy used to perform any particular task changes from usable energy to unusable in the performing of that task. It will always go from a higher energy level to a lower energy levelwhere less and less energy is available for use.
When applied to the universe, the second law of thermodynamics indicates that the universe is winding downmoving toward disorder or entropynot winding up or moving toward more perfect order and structure. In short, the entire universe is winding down!
Since the universe is constantly winding down, the second law of thermodynamics looms before us in the form of a great question: Who wound it up? The only plausible answer is God!
Do I need to say more???
Mndengereko
cc: Ukwaju
Hakuna kinachothibitisha uwepo wa mungu.
First thing first.Nimeizika argument ya complexity.
Wanaoisoma hii thread washaona hilo.
Unasema the universe had a beginning, halafu hapo hapo unasema matter can neither be created nor destroyed, una ji contradict mwenyewe kabla sijakubana!
ok i got it wewe unachotaka ni kubana tu siyo kuchukua fact zikusaidie kwenye reasoning yako,there are more than ten facts hapo ikiwa utakuwa na open minded,ambazo zinathibitisha hasa uwepo wa mungu,ila kama what u want is kupinga tu mwanzo mwisho then no one will be able to convince you..
Hakuna kinachothibitisha uwepo wa mungu.
First thing first.Nimeizika argument ya complexity.
If complex things need a creator, the creator is even more complex and he would also need a creator, ad infinitum, ad absurdum.
Wanaoisoma hii thread washaona hilo. Nimeirudia hii argument mara lukuki.
Obviously you are late to the party.
Unasema the universe had a beginning, halafu hapo hapo unasema matter can neither be created nor destroyed, una ji contradict mwenyewe kabla sijakubana!
Acknowledge your oversight.
so kwenye makala nzima hiyo wewe ulichoona ni hiyo contradiction moja tu???? huna kingine cha kujifunza hapo??
alafu kuhusu hoja ya complexity huwezi kuizika kirahisi rahisi,huwezi kutaka nikuthibitishie uwepo wa mungu alafu ukanichagulia jinsi ya kukuthibitishia ukaiwekea limitation wakati hiyo hoja inanguvu na ina make sense if you think with open minded
Nimefurahi umenigundua mwishoni, mm hasa ni catalyst tu ili ku[ata habari na mwisho kuzichuja uamuzi ni mmKumbe kukana kwako ni kuamini. Astaghafurillah. Wewe unaamini kupitia nini? Nikimaanisha msingi wa imani yako ni nini hasa? Haya ukwaju wa kuamini tuletee jibu.
Nashukuru kwa swali lako kuhusu Roho. Swali lako linaweza kujibika kirahisi kwa kutumia infallible word of God. Haya basi ungana nami hapa chini Ili uelewe maana ya Roho.Nimefurahi umenigundua mwishoni, mm hasa ni catalyst tu ili ku[ata habari na mwisho kuzichuja uamuzi ni mm
Labda nikuulize au niwailize ROHO ni nini? Je toka umezaliwa umeshawahi kuwa na hofu?
- Kwa taarifa yako mm naamini katika YEHOVA
- nawaheshimu pia wanaomuamini YESU KRISTU mwana wake MUNGU
- Nawaheshimu wanaoamini katika Ng'ombe, Budha, nk
- na ninawaamini wenzangu kina Mndengereko na kahtaan wanaoamini katika ALLAH
- tunapata Elimu kutoka kwa Kiranga asiyekubali uwepo wa MIUNGU au Miungu kwani hakuna mpaka sasa aliyethibitisha uwepo wake.
UNAAMINI KUNA KUFA?
ukipata jibu ndio tuongelee kwa mada hii iliyo nje maana MUNGU WA WOTE HANA DINI NA SOTE TUTAREJEA MAVUMBINI
Wewe Schiendler Kiranga hata Mndengereko
ukiniona kimya ujue nafuatilia post zako maana nina wasiwasi wewe ni Baniani unayeabudu Ng'ombe au pengine Krishna wote NAWAHESHIMU IMANI ZENU
Nikubali kwa uthibitisho au ushahidi gani?
Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Jamaa yangu unajua naogopa kutoka nje ya Mada husika ya wenzetu.Nashukuru kwa swali lako kuhusu Roho. Swali lako linaweza kujibika kirahisi kwa kutumia infallible word of God.
Baada ya kukujibu swali lao. Unaweza nipa maana ya "UHAI" na au Uhai ni nini?
Nilikuwa kwenye usafiri nimejibu hoja ndefu kwenye simu ndiyo maana nimekupa a short and sweet version showing the fallacy of the person you copy pasted from.
Sijakuchagulia jinsi ya kunithibitishia, umeenda huko ukachagua mwenyewe na ku copy paste kuleta hapa.
Umeleta hoja ya complexity. Hii ndiyo ya kwanza kwenye listi yako. Ninapoandika "First thing first" kama huelewi maana yake, maana yake ni, naanza kujibu kitu ulicholeta kwanza mwanzo.
Siwezi kurukia point ya sita wakati ya kwanza sijaimaliza.
Na sikuwa na muda - probably sitakuwa na muda at any point- wa kuandika a rebuttal itakayo cover points zote kwa post moja. Ndiyo maana naanza point kwa point.
Nakuambia kwamba, kama kila kilicho complex ni lazima kiumbwe, kile kilichokiumba nacho ni lazima kiwe complex zaidi na hivyo ni lazima kiwe kimeumbwa, nacho ni lazima kiwe kimeumbwa na kilicho complex zaidi, hivyo hivyo unaendelea bila mwisho.
Mtu kaumbwa na mungu, mungu kaumbwa na mungu wa mungu, mungu wa mungu kaumbwa na mungu wa mungu wa mungu, mungu wa mungu wa mungu kaumbwa na mungu wa mungu wa mungu wa mungu... ad infinitum, ad absurdum.
Ndivyo unavyosema hivyo?
Ukisema hivyo mbona hilo linapingana na habari nzima ya ulimwengu kuwa na mwanzo?
Halafu hujajibu contradiction ya ulimwengu kuwa na mwanzo na "matter and energy can neither be created not destroyed" halafu hapo hapo unasema "the universe had a beginning". This is a contradiction. The two are mutually exclusive, you can't have one and the other.
Which is which now?
The universe had a beginning or matter and energy can neither be created or destroyed?
Unaelewa haya unayo ya copy paste au una google na kuyatupa tu hapa?
Mimi sina cha kujifunza katika haya, nimeyasoma kuanzia 1990 wakati nakokotoa Drake's Equation USIS pale Peugeot House.
Later on in the decade natoka hapo naenda Raha.com Building pale na Roy (R.IP producer) kwenda kuangalia AstalaVista na kutengeneza muziki kwenye mtandao kabla Google haijawa the search engine.
Kabla ya Facebook tumefanya Geocities rings.
Arguments unazozosoma leo nimezipitia early nineties, so kama unatafuta cha kunifunza njoo na kitu complex zaidi, kilicho recent zaidi.