History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Haya basi thibitisha kama we ni m/mke au m/ume kwasababu upo tayari ushaumbwa au thibitisha maneno niliyoandika naamini au najua nlichokiandika.

Maswali anayokuuliza Schiendler huwezi yajibu hata siku moja mkuu Kiranga utakachofanya ni kucheza na maneno tu.

Nina shaka kama unafuatilia mjadala.

Nishaandika mara ishirini kidogo hapo juu, kwamba hata mimi nikishindwa kuthibitisha lolote katika ulimwengu huu, sio hilo ulilonitaka nithibitishe tu, lolote lile, kushindwa kwangu kuthibitisha lolote hakuthibitishi kwamba mungu yupo.

Kuthibitisha kwamba mungu yupo hakutokani na mimi kushindwa kuthibitisha lolote.

Kutatokana na nyie kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Kitu ambacho hamjafanya bado.
 
Ha ha ha ha mkuu Schiendler nimefurahi sana ulivyombana huyo Kiranga alichobaki sasa hiv ni kucheza na maneno hakubali kushindwa kang'ang'ania hata kama nikishindwa kujibu sio uthibitisho kuwa Mungu yupo. Leo hajatoka maana alianza kubanwa na kahtaan akaja na blah blah kibao.

Kukosa kujua jibu la 4 + 2 hakumaanishi jibu lake ni 42!

Inabidi uthibitishe kwamba jibu ni 42.

Kushindwa kuthibitisha unavyotaka nithibitishe hakuthibitishi kwamba mungu yupo.

Inabidi uthibitishe kwamba mungu yupo.

Hujathibitisha.
 
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
 
Nilikuonya mara nyingi wewe mtoto, lakini usikii.

Umeweka swali 4 + 2

Na wewe huyo huyo umeweka jibu 42

Halafu wewe huyo huyo uliye weka swali na kujijibu mwenyewe unauliza swali kwanini umejijibu ulivyo jibu.

SASA MWENYE HAKI YA KUTHIBITISHA NI WEWE ULIYE WEKA SWALI NA JIBU.

Sasa tueleze ni kivipi umefikia hapo kwenye 4 + 2 = 42.

USIKIMBIE MASWALI YANGU.

Nilikuonya kuwa, UNAPO SEMA VITU, FIKIRIA KWANZA NDIO USEMA NA SIO KUSEMA HALAFU NDIO UANZE KUFIKIRIA.

HUU NI MSIBA KWAKO.

Haya anza kutokwa povu kwa mara nyingine tena.
 
Indeed you have been skipping.

I suggest you read before concluding.

Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu.

Hakuna aliyeelezea kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye maovu kama huu.

Kabla ya kujibiwa maswali haya mawili huwezi kusema nimebanwa.

More like nimewabana na hawajaweza kunijibu.

Maswali yao yote nimewajibu, soma, usi skip.

Maswali yangu hayajajibiwa.

nimejibu baadhi ya maswali yako.na nimekupa hoja zenye mantiki kabisa umekataa tu kukubali.
 
Nilikuonya mara nyingi wewe mtoto, lakini usikii.

Umeweka swali 4 + 2

Na wewe huyo huyo umeweka jibu 42

Halafu wewe huyo huyo uliye weka swali na kujijibu mwenyewe unauliza swali kwanini umejijibu ulivyo jibu.

SASA MWENYE HAKI YA KUTHIBITISHA NI WEWE ULIYE WEKA SWALI NA JIBU.

Sasa tueleze ni kivipi umefikia hapo kwenye 4 + 2 = 42.

USIKIMBIE MASWALI YANGU.

Nilikuonya kuwa, UNAPO SEMA VITU, FIKIRIA KWANZA NDIO USEMA NA SIO KUSEMA HALAFU NDIO UANZE KUFIKIRIA.

HUU NI MSIBA KWAKO.

Haya anza kutokwa povu kwa mara nyingine tena.

4 + 2 = 42 ni sawasawa na kusema kuna mungu.

Vyote havijathibitishwa.

Ukithibitisha kwamba kuna mungu, utatofautisha habari ya kuwapo kwa mungu na 4 + 2 = 42.

Kabla ya kuthibitisha, hujatofautisha habari hizi mbili.

Nimefikia hapo kwenye 4 + 2 = 42 kwa kuangalia mfano wako wa habari ya kuwepo kwa mungu.

Ni jibu linaloelea tu bila uthibitisho wala kutuonesha njia uliyofanya kupata jibu kwamba mungu yupo.

Hivyo, 4 + 2 = 42 ni sawa na kusema mungu yupo.

Unless utuoneshe umetumia logic gani kupata jibu kwamba mungu yupo.
 
Mkuu Kilanga nimekua nafatilia hoja zako kwenye thread mbalimbali, ukweli ni kuwa wanatumia nguvu nyingi na kukulazimisha ukubaliane nao huku wakishindwa kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu, hakuna uthibitisho juu ya hilo zaidi ya ushahidi tu ambao nao una pande mbili, nataka kujifunza kitu toka kwako, Je! unakubali kwamba kuna Maisha baada ya Kifo???
 
4 + 2 = 42 ni sawasawa na kusema kuna mungu.

Vyote havijathibitishwa.

Ukithibitisha kwamba kuna mungu, utatofautisha habari ya kuwapo kwa mungu na 4 + 2 = 42.

Kabla ya kuthibitisha, hujatofautisha habari hizi mbili.

Nimefikia hapo kwenye 4 + 2 = 42 kwa kuangalia mfano wako wa habari ya kuwepo kwa mungu.

Ni jibu linaloelea tu bila uthibitisho wala kutuonesha njia uliyofanya kupata jibu kwamba mungu yupo.

Hivyo, 4 + 2 = 42 ni sawa na kusema mungu yupo.

Unless utuoneshe umetumia logic gani kupata jibu kwamba mungu yupo.

Kusema kuna Mungu sio swali. Jifunze kufikiria.

UNAONA JINSI UNAVYO KIMBIA MASWALI NA HOJA ZAKO MWENYEWE.
 
Sorry for those who doesn't believe in God but I do....
Amenifanyia mambo ya ajabu na ninamshukuru
Proof please!, to show that God is the only one, one that made all that happened to you happen. Next time try to learn little of science and you will be enlightened so you can enlighten other people. Please
 
4 + 2 = 42 ni sawasawa na kusema kuna mungu.<br>
<br>
<
Hata Hisabati hujui wewe.

Kuna maswali ya kuthibitisha katika Hisabati na maswali ya Ndio au hapana.

Wewe umeweka swali na "NDIO" au "HAPANA" na unalazimisha liwe la kuthibitisha. Ndio maana narudia tena. Jifunze kufikiria kabla ya kusema.

Hata Hisababiti ya darasa la pili umeshindwa kuelewa.

MSIBA HUU NI WAKO.
 
nimejibu baadhi ya maswali yako.na nimekupa hoja zenye mantiki kabisa umekataa tu kukubali.

Mantiki gani? Hoja gani?

Hoja zako zote nimezipangua, sijaona hoja ambayo haijapanguliwa.

Kama unaweza ku restate restate hapa.

Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu, ndiyo maana habari ya kuwepo kwa mungu inaitwa imani, haijathibitishwa.
 
Mantiki gani? Hoja gani?

Hoja zako zote nimezipangua, sijaona hoja ambayo haijapanguliwa.

Kama unaweza ku restate restate hapa.

Hakuna aliyethibitisha uwepo wa mungu, ndiyo maana habari ya kuwepo kwa mungu inaitwa imani, haijathibitishwa.

quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
 
Many years about 551 BC, mwalimu na mwanafalsafa wa kale ambaye kwa heshima yake utamaduni wa mapigano ya kichina ulipewa jina lake,aliitwa Kunfu-tzu (cunfu-tsu) huyu bwana alikuwa akitembea na kutoa mafunzo mbalimbali kwa watu wa china wakat huo. kuona watu wanahangaika sana na vitu wasivovijua aliwaambia kuwa, maswala ya Mungu yapo na yataendlea kuwepo na Hakun sababu ya mwanadam kuhangaika nayo koz kamwe hutoelewa. Nami napata ujasiri kusema wewe amini unachotaka kuamini mwenyewe na ifahamike kuwa mambo ya kiroho hufunguliwa Kwa watu wa kiroho tu, wengine mtangoja sana
 
Nishaandika sana kwamba I am not the least bit interested in imani.

Imani unaruhusiwa kuamini chochote, hata ukiamini kwamba mungu ni funza aliyepo mguuni mwa babu ni poa tu. Ili mradi huvunji sheria.

Unatetewa na maazimio ya Umoja wa Mataifa pamoja na katiba zilizoandikwa na wasomi.

Tatizo linakuja kwenye kutafuta ujuzi, kitu ambacho ni tofauti na imani.

Huko habari za imani zinawekwa kando, watu wanakwenda kwa kuthibitisha mambo.

Bado sijaona yeyote aliyethibitisha kwamba mungu yupo.
 
You did it once again.

Sasa kama huna muda na imani kwanini unapoteza muda wako kuzungumzia Mungu ambaye ndie msingi wa Imani?

Unaona jinsi unavyo endelea kujiweka katika hali mbaya?

Wewe lazima ujibu madai yako, huto kimbia hapa.

quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.

Narudia swali lile lile:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
 
Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.
Haya anza kutokwa povu
SchiendlerPombe unayokunywa na kuja humu JF na kutuambia tunatokwa povu si nzuri, kwa sababu sheria za JF unazijua huajalazimishwa kujibu wala kuchangia hii thread ni ya hasason ndio umtukane lkn Kiranga sisi ndio tuliomuita aje huku
Kumbuka huyu jamaa hata siku moja humu JF hajakubali km kuna MUNGU na ni kwa Majukwaa yote hata la DINI
https://www.jamiiforums.com/dini-im...kiranga-rasmi-hakuna-mungu-wala-mbinguni.html
Sasa ww unaingia mwishoni kuturudisha nyuma kwanini usianzishe ya kwako kuwa umekutana na MUNGU ukatuthibitishia?
Wewe baba yako alishikiwa bunduki na Mungu ili amle URODA MAMA YAKO? AU TAMAA YA NGONO ILIMUONGOZA BABA YAKO?
Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Narudia swali lile lile:

quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?
Nishakujibu.
Siulizi mungu wangu kwa sababu sina mungu, sikubali kuwapo kwa mungu.
Wewe hujanijibu imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye uovu na ubaya mwingi kama huu.
JamiiForums Disclaimer and Rules
  1. If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:
    • Defame, abuse, harass or threaten others
    • Make any bigoted, hateful, or racially offensive statements
    • Advocate illegal activity or discuss illegal activities with the intent to commit them
    • Post or distribute any material that infringes and/or violates any right of a third party or any law
    • Post or distribute any unethical, pornographic, vulgar, obscene, discourteous, or indecent language or images
Kama huna hoja ni bora kukaa tu kimya, namna hii unawaaibisha watetezi wa uwepo wa Mungu, kama kuamini uwepo wa Mungu ndio kuwa na maneno kama hayo, ni bora asiyeamini uwepo wa Mungu, sijawahi kusoma post ya Kiranga , akishambulia mtu au kuandika matusi.
cc Mourinho.
usiharibu thread za watu kwa ulevi au werevu wako wakati kwetu ni ujinga km una MUNGU wako tuthibitishie hapa umekutana naye wapi? NDIO MADA INAVYOTAKA
 
Last edited by a moderator:
Nishaandika sana kwamba I am not the least bit interested in imani.

Imani unaruhusiwa kuamini chochote, hata ukiamini kwamba mungu ni funza aliyepo mguuni mwa babu ni poa tu. Ili mradi huvunji sheria.

Unatetewa na maazimio ya Umoja wa Mataifa pamoja na katiba zilizoandikwa na wasomi.

Tatizo linakuja kwenye kutafuta ujuzi, kitu ambacho ni tofauti na imani.

Huko habari za imani zinawekwa kando, watu wanakwenda kwa kuthibitisha mambo.

Bado sijaona yeyote aliyethibitisha kwamba mungu yupo.

Mwenyezi Mungu, "the creator of the universe" akusamehe na kukupa wepesi wa kutafakari, na mimi binafsi naendelea

kukuombea. Nina imani iko siku moja atakutokea kwa namna yoyote ile. Si lazima uamini ninachoamini. Ni hiari yako.

Unayo masikio - sikia.

Unayo macho -tazama.

Unao ubongo -fikiri bila kukoma
 
SchiendlerPombe unayokunywa na kuja humu JF na kutuambia tunatokwa povu si nzuri, kwa sababu sheria za JF unazijua huajalazimishwa kujibu wala kuchangia hii thread ni ya hasason ndio umtukane lkn Kiranga sisi ndio tuliomuita aje huku
Kumbuka huyu jamaa hata siku moja humu JF hajakubali km kuna MUNGU na ni kwa Majukwaa yote hata la DINI
https://www.jamiiforums.com/dini-im...kiranga-rasmi-hakuna-mungu-wala-mbinguni.html
Sasa ww unaingia mwishoni kuturudisha nyuma kwanini usianzishe ya kwako kuwa umekutana na MUNGU ukatuthibitishia?

Hayo maneno kwenye Quote hapo juu ni yako.
Narudia swali lile lile:

JamiiForums Disclaimer and Rules

usiharibu thread za watu kwa ulevi au werevu wako wakati kwetu ni ujinga km una MUNGU wako tuthibitishie hapa umekutana naye wapi? NDIO MADA INAVYOTAKA

Bogus reply
 
(word in reds)sio kweli kwamba dhana nzima ya kuwepo kwa mungu ni kuwatisha watu ili wasitende mabaya na pia kuwalipa watu mema(pepo) pindi wanapotenda meme
(words in blue) ikiwa watu wanamuamini mungu na bado wanatenda mabaya what do u think they will be capable of kutenda ikiwa wasingekuwa wanamuamini mungu???
(words in green)hao budhist uliowatoleamfano kwamba wana better code of ethics kuliko christianity ni kwa sababu they have something wanachokifuata na kukiamini(imani yao) ndo inawaguide wasitende mabaya so mwanadamu bila ya kuwa na kitu chochote cha kukuguide ni ngumu sana kutotenda mabaya kwa sababu utakuwa unafuata matamanio ya nafsi yako kumbuka hao pia budhist wana matamanio yao lakini hiyo dini yao(imani yao) inawadirect wafanye mema.
kitabu cha mungu kinasema hivyo
there is no way unaweza tukathibitisha uumbwaji wetu sisi na mungu bilakuhusisha historia
kama ambavyo inakuwa ngumu wewe kuthibitisha kwamba umezaliwa na baba yako(huyo ambayo unaclaim ni baba yako) bila kuhusisha historia kwamba alikutana na mama yako ..... kingine ambacho utakachoweza kutuhibitishia ni D.N.A ambayo itamatch damu yako na baba yako (uthibitisho wa kisayansi,kitu ambacho ni ngumu kwa sisi kuthibitisha kwa sababu katika binaadamu wa sasa hivi hamna aliyemuona wala kumgusa mungu so uthibitsho wa kisayansi ambao ndio naamini wewe unaoutaka ni ngumu kukupatia i.e hatuwezi kupata damu ya mungu,wala kujua umbile lake.(coz hamna aliyemuona)
Yaani Mndengereko katika Post zako hizi 2 umezijibu kitaalamu hasa kwa binadamu mwenye upeo
hivyo nakupa
likex.png
kubwa sana
  • kwanza umefungua uwanja mpana tuendelee kumjadili huyu MUNGU (Miungu wasiokuwepo km Kiranga asemavyo) kwenye Bluu
  • Katika Imani za wenzetu umetuachia sasa tuamini tutakavyo km ni sanamu au ni Ng'ombe au Budhist wote njia ni Moja Kuzaliwa na kufa Kwenye Red

MY TAKE
Hofu na kutotenda mabaya ndio inayosababisha watu wamtafute MUNGU (awe mchagga, Mndengereko, Mpare, Mwarabu, Myahudi)
Mfano mm ni Jambazi nikipanga leo kuvamia Benki popote nitasali sana ili nifanikiwe na nikipata nitatoa Sadaka
ila nikikamatwa nitamtaja Shetani na Askari wote na Hakimu kwangu ni Mashetani , mpaka nitakaposhinda kesi nitasema MUNGU ni mkubwa nimeiba na kuokoka
mfano mwingine mm ni Dreva wa Bodaboda (au Mabasi na Maloti)Traffic kwangu ni SHETANI mkubwa kabisa kwani nitamuomba MUNGU anivushe pale kwa kuwa sina Bima au tairi bovu Mndengereko unapunguza kasi UWEPO WA MUNGU hatuwezi kuutafuta nje ya vitabu hivi ambavyo viliandikwa na MOSE
vipo unavyodai viliterenshwa kama aya mwaka 630AD
Na mm ni hivyohivyo lakini kumbukumbu zake zimehifadhiwa katika mafunjo huko Alexandria vilivyoandikwa na huyohuyo Mose (Musa) miaka -5800BC mbona vinafanana? Abram, Sulemani Sarai, Hagai Yakub
ndio maana nakubaliana na wewe kabisa kuwa kila mtu na Imani yake ithaminiwe mm nibaki na Ng;ombe wangu au Mbuyu km MUNGU na Kiranga abakie na imani yake km MWANAMUME kamili na kutotambua kwake sio kumuita jike km mchangiaji mwingine mwenye povu humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom