Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Haya basi thibitisha kama we ni m/mke au m/ume kwasababu upo tayari ushaumbwa au thibitisha maneno niliyoandika naamini au najua nlichokiandika.
Maswali anayokuuliza Schiendler huwezi yajibu hata siku moja mkuu Kiranga utakachofanya ni kucheza na maneno tu.
Nina shaka kama unafuatilia mjadala.
Nishaandika mara ishirini kidogo hapo juu, kwamba hata mimi nikishindwa kuthibitisha lolote katika ulimwengu huu, sio hilo ulilonitaka nithibitishe tu, lolote lile, kushindwa kwangu kuthibitisha lolote hakuthibitishi kwamba mungu yupo.
Kuthibitisha kwamba mungu yupo hakutokani na mimi kushindwa kuthibitisha lolote.
Kutatokana na nyie kuthibitisha kwamba mungu yupo.
Kitu ambacho hamjafanya bado.
