Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
IMANI yako ya Atheism imekuharibu pakubwa kweli.Let's see.
Jamaa hajui/ hawezi kum define mungu wake.
Hajui/ hawezi ku define proof ni kitu gani.
Hajui tofauti ya kujua na kuamini.
Halafu anataka kuendekeza ligi kuhusu habari ya falsafa ya uungu?
Dogo hapo kwa Kiranga bado sanaThis is the public forum so even you, can try if you wish.
Ujue hata wale mafundi uashi wanafunzi huwa wanaokota vile vipande vipande vya mabingwa na kujifunzia kutengeneza vitu vidogo vidogo.
Sasa kitu cha mbolea ni kukubali tu wanaposhindwa waelekezwe.
Lakini hapa sioni hili, naona ubishi tu.
Ukiweza kumuelewesha Kiranga kuhusu uwepo wa Mungu utakua mtu mwema sana, nilishawahi kufanya hivyo siku za nyuma ila huyu mtu uelewa wake sijui unaishia wapi?
Kwanini unaandika kiingereza ambacho hukijui?!
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
Hana lolote huyo akishindwa ndo zake anataka uende kwenye hoja-nyepesi sasa anakudrive mpaka ufike huko.Naongelea spiritual beings God included all things invisible meditated during spiritual rituals and i am not here to offer definitions of terms google it if you know not about it.
Nimeona neno "prove" nikaona ngoja niangalie kuna ugunduzi gani mpya, naona madudu.
Unaelewa maana ya neno "prove"? Usha prove kwamba mungu yupo? Katika framework gani?
Kama unataka kufuatilia walichoamini watu wa kale, watu wa kale waliamini pia kwamba dunia si duara, ni bapa, na dunia haizunguki jua, bali jua linazunguka dunia.
Sasa utataka tuamini na hayo pia kwa sababu watu wa kale waliamini?
Umeanza kwa kutaja fact halafu unazama kwenye lindi la hearsay.
Kadiri miaka inavyozidi kwenda mbele, na elimu inavyozidi kuongezeka, ndivyo wasioamini kuwepo kwa mungu wanavyozidi.
Jumapili nilienda kuangalia Super Bowl Boulevard na michezo theatres za Time Square hapo, mchana nikapata lunch, restaurant niliyoingia zamani ilikuwa kanisa. Watu wameibadilisha imekuwa Italian restaurant. Umekaa kwenye restaurant unaona michoro ya kanisa pamoja na stained glasses zile.
Nikaona duh, watu hawa wazungu waliotuletea hii dini wenyewe washaona makanisa hayana deal. Nikakumbuka another time napita Wall St, kwenye exchange pale, nakutana na mhubiri wa Ki Nigeria anawahubiria Wamarekani wanampita kama hana akili nzuri. Reverse evangelism flow, safari hii Waafrika ndio wanaenda kuhubiri Ulaya na Marekani!
Sisi mpaka leo tunang'ang'ania dini na mungu.
jamaa kajaribu ku estabish kitu, kwamba...kwanini hivi vitu vya kiroho ambavyo viikuwepo ever since mpaka leo vipo vilevile havijabadilika (as a simple test) wewe umezungumza kuhusu dunia kuwa kama meza, kuhusu jua kuzunguka dunia...je mbona ni asilimia chache kama 5 hivi ndo bado zinaamini hivyo...na mbona ni asilimia chache kama 5 ambazo zinaamini kuwa Mungu hayupo?...na bado ukifanya uchunguzi utakuta hao wana sayansi kwa nafsi zao wanaamini Mungu yupo, hata wewe pia ni mmoja wao...u are a God fear person....bisha hapa
Nani kakwambia sijaisoma kabla ya kuiweka hiyo link.Nimekuonesha maana ya kuamini ili ujione namna ulivyo juu ya IMANI yako ya Atheism you don't have any kind of proof for The Big Bang you just assume that there was a certain situation you named it Big Bang but what if i could ask you The Proof of it can you derive it right now to be visible? then do it,alternatively it is the sort of belief.