Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,637
- 6,896
Msamehe mkeo.Nimepata taarifa kuwa ameamua kurudi nyumbani toka mtaani alikopamga chumba kimoja. Maana siku alinitia ndani 15/01/2025 polisi wakanipokonya funguo wakampa akahamisha vitu kwenda kupanga mtaani.
Last week tar 12/01/2026 nimeambiwa amerudi pale nyumbani. Sijasema lolote. Sijui ni kitu gani kimemkimbiza huko mtaani akaamua kurud kwenye nyumba ambayo ametaka mahakama ipige mnada.