Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

😅... yakikukuta utaelewa kwanini walimsulubu masihi ilhali alikua ni tabibu, na mpaka alifufua.
KItu nimejifunza ni kuwa ushauri wa mwanamke kwa asilimia kubwa usiuzingatie hasa linapokuja suala la changamoto za mahusiano. Wengi (sio wote) huwa hawako realistic rather than emotional Kwasababu unaweza kuta anayekushauri naye yuko kwenye kundi la huyo unayegombana nae. So ana project changamoto zake yeye kwako wewe na kuku judge vibaya sanaaaaa.

Tofauti na wanaume.
Mwanaume anaweza akawa ana shida kwenye ndoa,mkewe anamsumbua, yet at the same time akaombwa ushauri wa masuala ya ndoa toka kwa mwanamke and still akaweka hisia pembeni akawa very objective kusaidia
 
Mrudie shemeji before it's too late.
 
Ndoa zina changamoto Sana na sio kila mtu anaweza kurecover 100% baada ya powerful divorce, ila divorce ni kitu kibaya Sana kwa watoto
Hawakai Sawa mpaka wanakufa na ndoa zap nyingi zinaishia hivyo au haoi au kuolewa...
Ni vyema Sana tufutae ushauri wa wazazi before ndoa ...inasaidia Sana baadae
 
Kabisa aisee, umeongea uhalisia.
 
Fanton Mahal...
any updates
No meaningful updates chief ila ni kwamba

1. Nilibaki na msimamo wa kuendelea na maisha yangu
2. Mpaka muda huu naongea hajuna mali iliouzwa, ule moto wake wa kutaka kupiga mnada mali umepoa sana
3. Gari imeozea juu ya mawe, nyumba yetu nzuri kubwa ya kisasa imegeuza pango la wahuni,
4. Nimezamia nyanda za juu kusini mpaka muda huu ambako niliamua kjjikita kwenye local activities hasa ufugaji. Nilianza mwaka jana February baada ya kesi ya talaka kuisha, nilianza na nguruwe wa 3 majike na 1 dume . Kwasasa nina mradi wa nguruwe 35
5. Kiuchumi nilianza moja baada ya kuamua kuacha kila kitu ila kwasasa siko pabaya, NAONA UNAFUU MKUBWA tofauti na zamani. Kwakifupi mambo yangu yanakwenda. Nasomesha watoto wangu wa 4 private schools na ninalipa ada nikiwa nimelala tu maskani huku kijijini ambako niko deal na ufugaji.
Kwakifupi mwezi december tar 13 2025 nimefunga mwaka mmoja toka aondoke rasmi home na mwez ujao tar 12 nafunga mwaka mmoja toka ndoa ivunjike rasmi mahakamani.
6. Tunawasiliana mara moja moja, occasionally kwaajil ya ishu za watoto tu pale inapobidi. Kwakifupi hakuna yeyote baina yetu aliyeonyesha haja ya kutaka kurudiana na mwenzake, si mimi wala yeye.

Hivyo tu kwa kifupi chief
 
Kwa ufupi 1st half shetani ameshinda, kuwa aware kuna 2nd half na lazima Mungu ashinde.
 
Nimepata taarifa kuwa ameamua kurudi nyumbani toka mtaani alikopamga chumba kimoja. Maana siku alinitia ndani 15/01/2025 polisi wakanipokonya funguo wakampa akahamisha vitu kwenda kupanga mtaani.
Last week tar 12/01/2026 nimeambiwa amerudi pale nyumbani. Sijasema lolote. Sijui ni kitu gani kimemkimbiza huko mtaani akaamua kurud kwenye nyumba ambayo ametaka mahakama ipige mnada.
 
Umeshapata mwanamke mwingine maana kipindi kirefu sasa kimepita
 
Nimepata taarifa kuwa ameamua kurudi nyumbani toka mtaani alikopamga chumba kimoja. Maana siku alinitia ndani 15/01/2025 polisi wakanipokonya funguo wakampa akahamisha vitu kwenda kupanga mtaani.
Last week tar 12/01/2026 nimeambiwa amerudi pale nyumbani. Sijasema lolote. Sijui ni kitu gani kimemkimbiza huko mtaani akaamua kurud kwenye nyumba ambayo ametaka mahakama ipige mnada.
Aisee sitoki kwa mumewangu labda litokee jaribio la kuuliwa na kudhalilishwa ila kwa ujinga tu big no
 
Kiaje mkuu wangu
Yaani maana yake kwenye Jambo la xwife wako Shetani ameshinda maana alichokuwa anakitaka mke wako kimekamilika kutokana na Kazi ya Shetani.

Lakini pili Mungu lazima ashinde maana yupo Upande wako hii imekaa kiimani saana.

Siku zote mke akianza chokochoko basi ujue anaenda kushindwa soon
 
Back
Top Bottom