Ujue mimi najionaga niko fine nimesamehe na ninaendelea na maisha yangu (na ofcourse naendelea vizuri kuliko before niwe mkweli) ila kuna mtu mmoja nilishawahi kuzungumza nae, alinitengenezea mazingira verry friendly ile kuongea bila kuficha. Baada ya mazungumzo ya siku kadhaa akanambia "wewe umemchukia sana huyu ex wako na inawezekana chuki imekua deep kiasi kwamba unashindwa kujua. Na chuki yako ni mbaya maana sio rahis mtu kujua maana unapopata fursa unaongea nae vizuri na masuala ya watoto una deal nayo perfectly kutimiza wajibu, na anapokuomba msaada kuhsu kuwaweka watoto unafanya bila shida, ila umemchukia sana, ndio kitu nimekigundua kwako".
Ni mwanamke huyu aliyeniambia haya maneno.
I DONT KNOW KWAKWEL. ILA MIMI NAJIONA NIKO FINE TU 😂