Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Ahahahahah... hayo ni mambo ya kawaida kabisaa na hayahusian kabisa na talaka. Kitu kimoja tu ambacho nina uhakika nacho ni kwamba "i will mever ever regret kwa uamuzi wa kioumbavu wa mtu mmoja eti uje uni athiri mimi. Pa kuathirika palikua hapa kati ambako alifikiri ningepata confusion, maana hilo nina uhakika ndio lilikua lengo ambalo lishafeli vibaya mnoo"
Uko wapi tukanywe bia 😁
 
Innocent until proven guilty Ndio wazungu wanavyosema....Robo 3 ya thread inaonesha wewe Kutia Huruma uonekane Victim..Haiwi Habari kamili mpaka pande zote zisikilizwe Hatujasikia ya upande wa pili na hatuwezi kusikia lakini Mpaka Mwanamke aombe Talaka ujue kuna mambo tunakwama sana wanaume..Japo umejaza Chai nyingii uonekane Mwamba
Narcissistic at its best, huwez kua mwema Kiasi hiko mwanamke hata asihangaike. Hapo ujue mwanamke alishafikia mwishoo ndo maana hata hizo mali hana mpango nazo ameshukuru yameisha tu 😆
 
Pole.
Hakuna mahala nimeandika kufurahia talaka.
Hakuna katika mkasa huu mahala popote nimehusika katika kutaka talaka. Nimekubaliana na talaka nabtena sio tu talaka bali hata kupoteza mali zangu baada ya zoez la kuzuia sana hii talaka bila mafanikio.
Sasa ukinambia ninafurahia, nakushangaaa.
Ukinambia nitajutia, nakushangaa zaidi.
Nijutie kunusurika kufungwa jela?
Nijutie kutengana na mtu ali plan kunipoteza kwa kunifungulia kesi za jinai za kubumba?
Nijutie kuwa na uhutu huu wa kimaisha mbapo naiona every cent nimayoingiza tofauti na zamani?
Mkuu nafikiria bado hujafahamu watu huwa wanajuta kwasababu zipi.
Au yamkini umeandika kwa hisia zaid kuliko uhalisia.
Yan nijutie kumaliza mazonge ulioyaanzisha wewe ili kuni haribu na hayajafanikiwa,nijutie kipi hapo, hebu kuwa specific!
Na haya yote yalianza ghafla tu? Na wakati wote huo wewe ulikua calm kujaribu tu kusuluhisha wakati mwenzio anarwehebuka kuharibu? Yaan kakaa kazaa mtoto wa 1 hadi wa 3 halafu wazimu tu ukamuingia wa kuharibu hiyo ndoa?
 
Hatimaye tumepata mrejesho wa kesi,Wanawake wenzangu nawakumbusha tu mjue mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Tupunguze mihemko mkiolewa tulieni acheni marafiki wasio na maana.Jengeni nyumba zenu.Kama namuona huyu mtalaka wa kike alipopoa baada ya court rulling lol.Pole sana Bro maisha lazima yaendelee kua makini kabla hujaingia kwenye mahusiano mengine.Jipe mda wa kuponya majeraha ya moyo kabsa.
 
Hatimaye tumepata mrejesho wa kesi,Wanawake wenzangu nawakumbusha tu mjue mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Tupunguze mihemko mkiolewa tulieni acheni marafiki wasio na maana.Jengeni nyumba zenu.Kama namuona huyu mtalaka wa kike alipopoa baada ya court rulling lol.Pole sana Bro maisha lazima yaendelee kua makini kabla hujaingia kwenye mahusiano mengine.Jipe mda wa kuponya majeraha ya moyo kabsa.
Dada umeolewa? Hivi unajua moto wa kuishi na hivi viumbe vyenye mkia mbele? Ana ku abuse emotionally physically na mentally na haoni shida yeyote. Siku utakayo react ww ndo utapewa majina yote ya hovyo.
Trust me katika wanawake 10 labda wawili ndo wanakengeuka bila sababu za msingi na hao wawili tabia za kishenz hua wanazionesha tangia mwanzoo kabisaa mwanaume tu anaamua kujitwisha bomu baadae anajilalamisha 🤣
 
Back
Top Bottom