Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Sababu ya kuachana ilikuwa nn
Yani tunashida kubwa na ukiweza kuhandle hiyo tabia kilakitu kinakuwa sawaHiyo ndiyo shida yetu wanawake tunachukuaga maamuzi bila kufikiria matokeo yake
naa mwisho wa siku ni majuto pande zote mbiliNa hamna mtu anawajali, wanafanywa kama bidhaa leo mtaenda kwa baba lesho mtarudi kwa mama inaumiza sana jamani.
Huwa nawaza pia.....huko Daslam wanapatikana kirahisi sanaKila story inayoletwa hapa lazima atajwe mdada wa JF kuliwa kimasihara aiseeeeeee
Hapo anaweza akapigwa tukio na MARIOO,akanyonywa kilakitu alichonacho halafu baadae akataka maridhiano na ex hubby wake.Ngoja aburuzwe na watu wenye kazi hizo.Hatumuombei mabaya ex wako ila akikutana na mtu kama Mimi atajuta kwanini aliachana na wewe
Huyo ni special case😃😃Mkuu una uhakika unaelewa unachoandika? Au umelewa?
Nasubiri kimasihara yako kutokea uko bisumwaHuwa nawaza pia.....huko Daslam wanapatikana kirahisi sana
Aaaaah nmekunasaHatumuombei mabaya ex wako ila akikutana na mtu kama Mimi atajuta kwanini aliachana na wewe
Kwa maelezo ya Mhusika, sababu ilikuwa ni usaliti wa Mkewe.Sababu ya kuachana ilikuwa nn
Kabisa dada kaona kautua mzigo katulia zake.Narcissistic at its best, huwez kua mwema Kiasi hiko mwanamke hata asihangaike. Hapo ujue mwanamke alishafikia mwishoo ndo maana hata hizo mali hana mpango nazo ameshukuru yameisha tu 😆
Hatamfanya lolote,kuna talaka mezani,imeisha hiyo.Ukimya wake haumaanishi yameisha kaka mkubwa. Kwa sasa ndio wakati wako wakuwa makini kuliko mwanzo .....haija isha hadi iishe kwa hawa ndugu zetu ndio kaulimbiu yao yaani baada ya kuchana nane anacho taka kukiona kwako ni umefulia umekua mbwa takataka....Ila kama bado upo imara unafuraha zako mzee vita bado mbichi hii
Haya ni maisha ya watu wengine SI tuna maisha yetu tuyapuuzie 😂Aaaaah nmekunasa
Ndo wapi huko? De guzman....Nasubiri kimasihara yako kutokea uko bisumwa
anhaaa ushaniona m mwendawazimu😂😂Haya ni maisha ya watu wengine SI tuna maisha yetu tuyapuuzie 😂