LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #201
I see thatHuyo ni special case😃😃
I see thatHuyo ni special case😃😃
Ahahahahah...Hapana.Oooh halleluyah
Kwahiyo juzi mmekunywa mirinda nyeusi, si mchezo 😂
Absolutelly. Sijajua wapi watu wanakuja na hii concept ya perfection, maana kwa aliyefuatilia huu uzibtoka mwanzo nimeweka bayana mahala ambako binafsi nime messup ila kwakua huu ulikua ni mpango wake toka awali ikabid nikubali.No one is perfect, she amelianzisha mchizi kamaliza.
It's over
Labda wengine, si watoto wangu.Na hamna mtu anawajali, wanafanywa kama bidhaa leo mtaenda kwa baba lesho mtarudi kwa mama inaumiza sana jamani.
Hujui unachosema na hata hujaelewa nilichoandika.Narcissistic at its best, huwez kua mwema Kiasi hiko mwanamke hata asihangaike. Hapo ujue mwanamke alishafikia mwishoo ndo maana hata hizo mali hana mpango nazo ameshukuru yameisha tu 😆
Una changamoto mahala, take time kusoma mfululizo wote kabla hujaamua kuwa judgemental my sisterNa haya yote yalianza ghafla tu? Na wakati wote huo wewe ulikua calm kujaribu tu kusuluhisha wakati mwenzio anarwehebuka kuharibu? Yaan kakaa kazaa mtoto wa 1 hadi wa 3 halafu wazimu tu ukamuingia wa kuharibu hiyo ndoa?
Thanks mkuu, ninayazingatia haya kwa umakini sana.Hatimaye tumepata mrejesho wa kesi,Wanawake wenzangu nawakumbusha tu mjue mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Tupunguze mihemko mkiolewa tulieni acheni marafiki wasio na maana.Jengeni nyumba zenu.Kama namuona huyu mtalaka wa kike alipopoa baada ya court rulling lol.Pole sana Bro maisha lazima yaendelee kua makini kabla hujaingia kwenye mahusiano mengine.Jipe mda wa kuponya majeraha ya moyo kabsa.
Pole. Nimejitahid sana kuweka hisia pembeni tofauti na unavyofanya wewe mdogo angu ndio maana unaona wenye akili timamu wanaelewa nachoandika toka mwanzoDada umeolewa? Hivi unajua moto wa kuishi na hivi viumbe vyenye mkia mbele? Ana ku abuse emotionally physically na mentally na haoni shida yeyote. Siku utakayo react ww ndo utapewa majina yote ya hovyo.
Trust me katika wanawake 10 labda wawili ndo wanakengeuka bila sababu za msingi na hao wawili tabia za kishenz hua wanazionesha tangia mwanzoo kabisaa mwanaume tu anaamua kujitwisha bomu baadae anajilalamisha 🤣
Nimeandika kwenye mfululizo wa hiz thread mkuuSababu ya kuachana ilikuwa nn
Kwamba nikafe sasa eti???Kaoe tena mkuu. 😁
Thanks for the alert brother. Kuna namna niko makini kwenye suala hili and my head is up. ThanksUkimya wake haumaanishi yameisha kaka mkubwa. Kwa sasa ndio wakati wako wakuwa makini kuliko mwanzo .....haija isha hadi iishe kwa hawa ndugu zetu ndio kaulimbiu yao yaani baada ya kuchana nane anacho taka kukiona kwako ni umefulia umekua mbwa takataka....Ila kama bado upo imara unafuraha zako mzee vita bado mbichi hii
Naomba unitag hiyo uliyoelezea sababuNimeandika kwenye mfululizo wa hiz thread mkuu
MKuu mwanathimba, kwan kuna changamoto ipi ku friend up na watu humu, maana is not true kuwa nimemla mtu (achana na hii mindset).Huwa nawaza pia.....huko Daslam wanapatikana kirahisi sana
That is my mission kwasasa chief. ThanksLife must go on, Focus kwako kujijengea upya.
Shukran mkuu kwa kua pamoja tika mwanzo na hatimae tumemaliza.Nilianza na ww simulizi yako mpk nwisho...itoshe kusema
"Ndoa iheshimiwe "
kila la,heri
Ahsante kwa summary chief 😂😂Kwa maelezo ya Mhusika, sababu ilikuwa ni usaliti wa Mkewe.
Mke alipoona anakojozwa vizuri na Mchepuko akaanza kuleta Mazereu na majibu ya shombo Kwa Jamaa..
Jamaa akapigwa na msongo mkali wa mawazo, full kutamani kujiua na kumdhuru Mke. Ndugu wakaingilia kati, wakamdaka Jamaa wakamrudisha Kijijini akaenda ku refresh akili Kwa muda kadhaa na hatimaye akaweza kurejewa na Utimamu. Akakutana na Wito wa Mahakama, Mke anataka Talaka..
Mwamba hakutaka mambo mengi, akakubali Kila takwa la Mke na Hakimu ni nani aendelee kung'ang'ania kesi kama Mdaiwa amekubali kila anachokitaka Mdai? Akatoa hukumu, Ndoa ivunjike.. Ndiyo tupo hapa Sasa!
Uko sahihi kabisaa 💯Kabisa dada kaona kautua mzigo katulia zake.
Hakuna mwanaume mstaarabu kama hivyo vilivyoandikwa halafu mtu afanye upuuzi na watoto watatu juu
Baada ya kusoma mbele nikaelewa itoshe kusema kuwa nilikurupuka..😀😀😀MKuu mwanathimba, kwan kuna changamoto ipi ku friend up na watu humu, maana is not true kuwa nimemla mtu (achana na hii mindset).