Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,939
- 3,841
Asilimia kubwa ya aina ya wanaume kama mtoa maada ni umalaya tu, ndio unafanya wake zao wadai Talaka kwa njee unaweza muona mtu kumbe.🤔Innocent until proven guilty Ndio wazungu wanavyosema....Robo 3 ya thread inaonesha wewe Kutia Huruma uonekane Victim..Haiwi Habari kamili mpaka pande zote zisikilizwe Hatujasikia ya upande wa pili na hatuwezi kusikia lakini Mpaka Mwanamke aombe Talaka ujue kuna mambo tunakwama sana wanaume..Japo umejaza Chai nyingii uonekane Mwamba