Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Afadhali umejua ninayemuhisi, maana naye alikiri kupitia situation kama yako, nikahisi kuna namna mmekutana kutengeneza unbreakable bondšŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Ofcourse tume bond but in other different ways. Huyu tukizungumza, nakaa kwa kutulia kabisaa kusikiliza nini kinasemwa, story zile za vijana aahh naanzia wapi?
 
Why umechomekea kumkula mdada wa jf??
Wataogopa kutupa kimasikhara, msifsnye hivyo aisee.

Hongera kwa kumalizana na hilo, na vipi hali madogo? Wako njema kimwili na kiakili?

Wewe kua mbali haiwaathiri, na maza hajawapandikiza chuki juu yako?? Kama sivyo basi ni mama bora ila huenda si mke bora kwako.
 
Sijamla mtu mbona mkuu, nimeandika tumeonana na hata location ya kuonana nimeiweka na ni public place. Sijamla bwana mtu.

Wako njema. Wali shake kidogo ila kwasasa nimewasidia sana, na wamekaa sawa sasa, hata mama yao akanitafuta na kunambia "ahsante, kwasasa watoto wanaendelea vizuri, umenisaidia sana ulipokuja kuonana nao". Wanangu wananipenda mnoooo. Na mama yao anajua hilo

Hajawapandikiza. Anajua watoto wanavyonipenda na vile mimi nawapenda, hilo labda alifa ye baadae kwasasa bado. Nikiri tu kuwa licha ya mapungufu yake kama mzazi yeyote yule, yeye ni mama mzuri kwa watoto anawajali na kuwapenda pia
 
Aaah au sio we jamaa umetoka porini huko halafu mali piru ya jf ukaiacha, unatupanga hapa.

Kama ni hivyo mkuu ni kheri, makwaruzano yenu yasiwafikie watoto.
Ni poa sana kama mtaendelea kua na amani kila mmoja aridhie kua sasa ndoa imevunjika japo kwa shari ila iishe kwa amani kabisa.

Zipo familia za namna yako, baba na mama waliachana kwa kutofautiana kama zako ila end of the day wanalea watoto mpaka wanakua watu wazima kabisa bila shari.
Kama mkeo akiamua kutulia na kutokukufatilia aloo itakua poa sana.

Mwisho kabisa, kwa namna ex wife wako alivyo mpweke, na nafasi ya baba kukosekana kwa wanao hasa unapokua mbali na changamoto za namna hiyo (kama kihisia) kwa mkeo. Basi ni fresh kama ukatupia namba yake PM.
Sitokuchaji pesa yoyote, nitafanya free kwa moyo wa huruma tu kwa watoto wetu.
 
IMG_3254.jpeg
 
Back
Top Bottom