Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Unaamini vipi huyu bwana alikuwa mzuri kwa huyo mama? Na yeye huyu bwana anaweza kukanyaga moto akaona ni afadhari hata ex wake! Kuna mdau hapo juu amesema ndoa ina siri kubwa!
UKiweka mbali opinion zako, utagundua kuwa hakuna mahala nimeandika i was perfect.
Naamini hujui na hujasoma wapi nimetoka na hii series ya huu mkasa.
 
Midada ya JF kwa kujirahisha Mxieeeeww
Kwahiyo alivyoona unaleta story ya talaka likataka kujiweka?!!

Pyeeeeee limeliwa kimasihara umalaya tu 😹😹😹
Hata haihusiani na hilo. Nimekutana wadau wanaume wengi mno kuhusu hili suala na katika same same setup. Sasa inawezekana labda wewe ndio umeathirila zaidi na mindset ya umalaya kwamba kila meet up kwako unaishia kutawanywa.
Pole mkuu, watu hawako hivyo, kua kidogo
 
Ushabadili gia angani? 😹
Mtajiju bana wee tombaneni mnavyotaka na msisahau mirejesho km hii..!! 🤣
 
Tuje kwako sasa..!!

Hiyo talaka utaiona tamu ss hivi ila uko mbele utajutia, sitaki kujudge sana ila km kweli utarudi hapa..!!
Pole.
Hakuna mahala nimeandika kufurahia talaka.
Hakuna katika mkasa huu mahala popote nimehusika katika kutaka talaka. Nimekubaliana na talaka nabtena sio tu talaka bali hata kupoteza mali zangu baada ya zoez la kuzuia sana hii talaka bila mafanikio.
Sasa ukinambia ninafurahia, nakushangaaa.
Ukinambia nitajutia, nakushangaa zaidi.
Nijutie kunusurika kufungwa jela?
Nijutie kutengana na mtu ali plan kunipoteza kwa kunifungulia kesi za jinai za kubumba?
Nijutie kuwa na uhutu huu wa kimaisha mbapo naiona every cent nimayoingiza tofauti na zamani?
Mkuu nafikiria bado hujafahamu watu huwa wanajuta kwasababu zipi.
Au yamkini umeandika kwa hisia zaid kuliko uhalisia.
Yan nijutie kumaliza mazonge ulioyaanzisha wewe ili kuni haribu na hayajafanikiwa,nijutie kipi hapo, hebu kuwa specific!
 
Kabisa na jamaa hata akiwachukua bado Yale malezi/ upendo wa baba na mama hawataupata. Wanakutana na mama wa kambo
Mkuu siwez lea wanangu na mama wa kambo.
Wanangu i can handle them myself. Nimekua nikiwalea hivyo toka tuko na mama yao. Yeah watakosa ila balance ya mama kama ambavyo sasa wanakosa ya baba kidogo, maana nafanya kaz sana ku create presence in their lives licha ya umbali
 
Pole.
Hakuna mahala nimeandika kufurahia talaka.
Hakuna katika mkasa huu mahala popote nimehusika katika kutaka talaka. Nimekubaliana na talaka nabtena sio tu talaka bali hata kupoteza mali zangu baada ya zoez la kuzuia sana hii talaka bila mafanikio.
Sasa ukinambia ninafurahia, nakushangaaa.
Ukinambia nitajutia, nakushangaa zaidi.
Nijutie kunusurika kufungwa jela?
Nijutie kutengana na mtu ali plan kunipoteza kwa kunifungulia kesi za jinai za kubumba?
Nijutie kuwa na uhutu huu wa kimaisha mbapo naiona every cent nimayoingiza tofauti na zamani?
Mkuu nafikiria bado hujafahamu watu huwa wanajuta kwasababu zipi.
Au yamkini umeandika kwa hisia zaid kuliko uhalisia.
Yan nijutie kumaliza mazonge ulioyaanzisha wewe ili kuni haribu na hayajafanikiwa,nijutie kipi hapo, hebu kuwa specific!
Punguza kuplay victim bro, halafu mbona unapenda kusikia kusifiwa kuliko kukosolewa?
Km unaleta mambo yako binafsi humu kubali maoni yote okay?

Wewe tukisikiliza upande wa pili wa mkeo inawezekana una tatizo kubwa..!!
 
Naamini atakutana na mtu sahihi zaidi , huwa napenda kufikiria hii zaidi
Kama kweli unamuombea hivi basi uko vyema.

Maana huyu mkeo wa zamani akipatwa na jambo baya lolote lazima na wewe itakuathiri kiasi fulani.
Maana kuna covalent bond mshaijenga kupitia watoto.
 
Mkuu,
Umedokeza kukutana na mdada wa jf na kusisitiza kuwa you two had a great time.
Sasa swali la msingi, je hakukuwa na kimasihara kweli?😅
 
Punguza kuplay victim bro, halafu mbona unapenda kusikia kusifiwa kuliko kukosolewa?
Km unaleta mambo yako binafsi humu kubali maoni yote okay?

Wewe tukisikiliza upande wa pili wa mkeo inawezekana una tatizo kubwa..!!
sijajua wapi nime play victim, is all your mindset n you are okay to be that way.
I dont understand hii idea yako ya kufikiri mtu analeta hanar hapaa ili assifiwe, i really dont get your point but fine anyway.
Mwisho, hujakatazwa kutafuta habar upande wa pili. You are free to do that woman.
 
Back
Top Bottom