Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Pole sana mkuu kesi yako na ya baba yangu mdogo anakaa buza zinafanana sana hawa wanawake ni kuwa nao makini mno
Ujue mkuu moja ya kitu ambacho nakiri pia kuwa kimenisaidida sana kuwa sana, ni pale baada ya ku share hii crisis yangu humu, nikaja kugundua kumbe tuko wengi mnoo, na kuna baadhi ya kes ni kama unavyosema, visa vyetu vimeandana sana,aah nikaona kumbe am not alone.
 
Kwenye kesi ya baba yangu mdogo yule mkewe alitusumbua mno baba yangu now kawa masikini kabisa
 
Brother, moja ya kitu NAMSHUKURU SANA SANA SANA SANAAAAAA MUNGU ni kwamba suala hili limenipata at mid 30''s. Akili yangu iko intact. Nina energy namshukuru afya ipo. Jimezaa watoto mapema mnoooo. Imagine first born wangu yuko 14 yrs now na yko kidato cha pil. Last born wangu ana 3 yrs.

Nina means za kujiingizia kipato.
Nina life ambitions bado.
Sijawah hata kuwaza kukata tamaa ndio maana nikawa tayari kuacha vyoooote na kuanza upya kwakua am sure i can get them back again. Umri unaruhusu.

Sasa vipi kama suala hili lingenikuta nina miaka 60 huko 70 au hata 55 kwenda juu!??? .

Si ningepigwa stroke mimi na ma presha ? Maana mtu unajua sasa ndio namalizia maisha nikae nitulie!!.

But ndio kwaanza kumekucha ,am so vibrant mnoo. Siwez kuwa masikin mimi kisa hii scennario. Kamweee. Labda yaje mengine.
 
Pole sana mkuu ulifanya maamuzi sahihi mno kama ingekukuta mwishoni ndio ingekuwa balaa mno ndio maana miaka hii sisi wanaume ndio tunaongoza kupata magonjwa ya presha na kupooza hawa wanawake wa siku hizi ni kuwa nao makini sana
 
Hahaha, huyu sio wife material mkuu. Kama ni msomaji wa simulizi za mleta mada unaweza kuunga dots. Sitaki kutaja majina ila naweza kuhisi ni nani😅
Aahahahah. Nimeshajua unamuhis nani, is not at all, huyo kwangu ni kama godfather heshima nilionayo kwake is beyond measures, kanisaidoa balaaaaa. Kanosaida mnooo yani. Aahh ni mtu maalum sana kwangu mkuu huyo member
 
Afadhali umejua ninayemuhisi, maana naye alikiri kupitia situation kama yako, nikahisi kuna namna mmekutana kutengeneza unbreakable bond😅😅😅
 
Back
Top Bottom