GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
YOte yanawezekana.Swadakta, tunaweza kukuta story ipo tofauti kabisaaaa.!! 😹😹
YOte yanawezekana.Swadakta, tunaweza kukuta story ipo tofauti kabisaaaa.!! 😹😹
NEver happened chief. Huyu dada aliji connect na legal consultant mmoja aliyenisaidia sana. Ndio lengo la mkutano wetu. Sijataka kuweka kila kitu maana ingekuwa ndefu sana na lengo lilikua ni kuleya feedback tu ya ku close the subject kamanda.Mkuu,
Umedokeza kukutana na mdada wa jf na kusisitiza kuwa you two had a great time.
Sasa swali la msingi, je hakukuwa na kimasihara kweli?😅
Na probably later days anaweza akatokea. Maana miaka yoote anajua ni namna gani napenda kutumia jamii forumn. Na hata Id yangu anaijuaKama vipi tumuite mke wake hapa aje?
Very possible. Anajua mimi ni mdau mkubwa wa JF so mnaweza kuta anytime akaja na side B ya habari moate ku balanceSwadakta, tunaweza kukuta story ipo tofauti kabisaaaa.!! 😹😹
Kwhy na yeye anaweza kuwa anakusoma humu.?Na probably later days anaweza akatokea. Maana miaka yoote anajua ni namna gani napenda kutumia jamii forumn. Na hata Id yangu anaijua
Kila la kheri mkuuMkuu siwez lea wanangu na mama wa kambo.
Wanangu i can handle them myself. Nimekua nikiwalea hivyo toka tuko na mama yao. Yeah watakosa ila balance ya mama kama ambavyo sasa wanakosa ya baba kidogo, maana nafanya kaz sana ku create presence in their lives licha ya umbali
Lamomy my sister (if you are) kwanin una mitazamo ya experience hii zaidi.? Why not be just +ve!.Ushabadili gia angani? 😹
Mtajiju bana wee tombaneni mnavyotaka na msisahau mirejesho km hii..!! 🤣
Anasema alimwachia saa nne usiku, huyu sio waifu material kweli?Mkuu,
Umedokeza kukutana na mdada wa jf na kusisitiza kuwa you two had a great time.
Sasa swali la msingi, je hakukuwa na kimasihara kweli?😅
MMhh what i know, yeye humu hayupo, pia mtandao kama JF sio aina ya platform ambayo inaweza mvutia! Ujue JF imekaa kinamna flan hiv eeh? Tofaiti sana na social networks zingineKwhy na yeye anaweza kuwa anakusoma humu.?
ID yake ni ipi timuite.
Shukran chief. Nakubaliana na wewe kwa 100% kwa dunia ya sasa ukiwa namna hii utalizwa kila siku.Hongera sana.
Ila Dunia haitaki watu kama wako.
Usimpe Second chance
Shukran chief. Nakubaliana na wewe kwa 100% kwa dunia ya sasa ukiwa namna hii utalizwa kila siku.
Lakin, niliamua nilimalize hili suala namna hii kwakua toka day 1 haya majanga yamenikuta, sikutaka ku fight back na mama watoto na sikupenda kuona ubaya wowote unampata maana madhara watoto wasingekwepa. Hivyo nikaona maadam limefika mwisho acha nimalizane nalo kama nilivyolianza.
Yeah sure chiefUlichofanya naamini ni kwaajili ya watoto wako. Ni jambo zuri nao watafanya reference nzuri.
Not at all SirIla ni second chance,
Okay, yaishe bro nimekuelewa sorry..!! 🥲Lamomy my sister (if you are) kwanin una mitazamo ya experience hii zaidi.? Why not be just +ve!.
NIkiandika kila niliokutana nao humu uzi utapoteza maana. Nimemuandika huyu specifix kwakua tulikuana katikati ya schedulle za kimahakama ambapo ndio mlengo wa huu uzi. Wengi nimekutana nao kabla mapema kabisaaa
Km kweli basi ipo siku atakuja wacha tumsubiri..!!Very possible. Anajua mimi ni mdau mkubwa wa JF so mnaweza kuta anytime akaja na side B ya habari moate ku balance
Roho inakuuma?Tuje kwako sasa..!!
Hiyo talaka utaiona tamu ss hivi ila uko mbele utajutia, sitaki kujudge sana ila km kweli utarudi hapa..!!
Pamoja mkuu 😊Okay, yaishe bro nimekuelewa sorry..!! 🥲
Kuolewa ni possible mungu ndio anapanga. Mwishoni huku Aliniambia mimi kuoana na yeye haukua mpango wa Mungu na tumezaa watoto wa 4 sio watatu, miaka 14, 9, 7 an 3 yearsHivi mtu na watoto watatu unakimbilia kudai talaka nani atakuoa, mh🥲
All in all, pole na hongera kwa kumaliz kiume mkuu