Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Msamehe mkeo.
 
namsikitikia sana huyu jamaa. Anapaswa kumbeba baby mama wake na kumhamisha location kama alivyohama yeye na kuanza life upya kwa kuomba TOBA kwa MUNGU ktk jina la YESU.
Then watafute madhabahu ya MUNGU wa kweli yenye msingi wa Kanisa la Kwanza, wakafanye amendment ya ndoa.
 
Mkuu upo Sawa kabisa lakini wanawake wa Sasa mitandao inawaharibu saaana yaani wanaona wanawake wanzao Yale maisha ya mtandao ndio Maisha Yao halisi lakini kwenye group ni uongo kabisa.

Hakuna kumuonea huruma mwanamke aliyeomba Talaka mkuu.

Mwanamke akitamka neno tuachane au Talaka basi unapaswa kufanya hivyo haraka.

Wanaume tumebarikiwa kitu kimoja akili ya kuongoza huu ulimwengu kwahiyo Kuna Muda akili inastak lakini bado ulimwengu hautuachi kutuonyesha alama.

Hakuna mwanaume ambaye hampendi mke wake kutoka moyoni Lakini moyoni mwa mwanamke Kuna Tamaa ya wanaume wengi Zaidi ya mume wake.

Mkuu hii Rangi nyeusi Wacha iwe nyeusi maana ukitaka kubadiri muonekano badae itakusumbua Tu maana umeitoa katika uhalisia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…