Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Innocent until proven guilty Ndio wazungu wanavyosema....Robo 3 ya thread inaonesha wewe Kutia Huruma uonekane Victim..Haiwi Habari kamili mpaka pande zote zisikilizwe Hatujasikia ya upande wa pili na hatuwezi kusikia lakini Mpaka Mwanamke aombe Talaka ujue kuna mambo tunakwama sana wanaume..Japo umejaza Chai nyingii uonekane Mwamba
 
We ndo mke mwenyewe nini?
 
Fanton Mahal una madini fulani hivi ambayo huwa yananipa maswali ya kuwa wewe ni mtu wa namna gani. Jasiri,mthubutu na usiyeshindwa.

Natamani siku moja nikutane nawe japo lisaa limoja tu unipe mbinu za namna ya kufika ulipo wewe! Napenda kujifunza kutoka kwa watu wenye akili kubwa kama wewe mkuu.

Ubarikiwe mara dufu mkuu.
 
Ila mkuu unaandika na kujieleza vizuri dah,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…