Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani


Your browser is not able to display this video.
 
Pole sana kwa hiyo changamoto mkuu. Yatakwisha tu. Lakini mimi nakuwa na wasiwasi na huyo ex wife kwa namna mbili ambazo unapaswa kuckukua tahadhari ya kutosha:

1. Kama mwanzo hakuwa mwema kwako hadi amefikia hatua ya kuomba talaka na leo hii anajifanya kukukumbatia, kuwa naye makini. Huenda anataka kukuleta karibu akudhuru.

2. Kwa jinsi mambo yanavyoendelea huko kwa makarani, inawezekana ex wife alikuwa tu anatest mitambo (hakuwa serio8s na talaka) na inawezekana ameishabadili gea angani.

Anyway, endelea kusikilizia kwanza mkuu.
 
Usipende kusikiliza upande mmoja wa story, acheni watu wajenge familia zao..!!

Wewe nawe umejeruhiwa mana una kisirani 😹😹
Hapa wanamjaza sifa ila siku watoto wakianza kuhangaika hawatajitokeza kumsaidia.

Na sio kwamba yeye ni msafi sana, na wala hata huyo anayemtuhumu hana ushahidi wa usaliti.

Muda mwingine wivu tu ndo uliompelekesha.
 
Kwa muono wangu nyie bado mnapendanaa....hata wewe unampenda mwezako,ndoo.maana sisi waislamu uki mpa mwanamke talaka,yakupasa kukaa nae nyumba mojaa,na umuhudumie mpaka amalize eda,ikitokea uka mgongaa talaka imevunjika,na kuna uwezo kano mka kaa hicho.kipindi mkajikuta mnasamehana
 
Mdada alitakiwa mapema sana awe amejaa siti ya mbele πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa mtazamo mnaweza kuona ni sawa lakini sio sawa.

Kumbuka alikwenda kuwachukua watoto, wale watoto washakuwa na ufahamu na utambuzi. Anataka awatengenezee picha gani watoto?

Katika malezi ya watoto kuna vitu tunatakiwa kutokuviendekeza.
 
Hii process ya mahakamani inamchakato mrefu. Kama ni wakristo huwa wanaanzia huko kanisani au baraza la kata kwa ajili ya usuluhisho. Kama wangekuwa wanapendana wasingefika mahakamani ambako ni hatua ya mwisho ya kuvunja ndoa. Kama mwanamke kafikia hatua ya kufungua kesi mahakamani, ina maana anamaanisha kuvunja hiyo ndoa, ni vizuri maamuzi yake yahezhimiwe ili asije akaleta tabu baadae.
 
Si uchukue Fanya uvamizi Jimbo liko wazi!!!!! Tumia uanamke wako uchukue chuma hicho ..

Kwanza kinafaa halafu bonge la gentleman!!!!!! Single ladies wanakwama wapi humu jf?????;😜😜
Ngoja nifanye jambo mahi 😹😹
Mimi hata asipokuja na gari la kuazima ntampenda tu..!! 🀣
 
Mi hii kitu naichukia sana na sisi kama wanawake tuipinge kwa nguvu zote..... Raha ya familia ni ile iliyokamilika na ndiyo inayoweza kutoa watoto wenye nidhamu na maadili kwa familia na taifa!!
 
Hapa wanamjaza sifa ila siku watoto wakianza kuhangaika hawatajitokeza kumsaidia.

Na sio kwamba yeye ni msafi sana, na wala hata huyo anayemtuhumu hana ushahidi wa usaliti.

Muda mwingine wivu tu ndo uliompelekesha.
Wengi wanaomshauri waachane mahusiano yao yashavunjika wanataka wawe wengi ili jamii isiwashangae we chunguza 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…