Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Atakuwa anatumia muda wake na wanawake, tena unaweza kukuta bora ya huyu wa ss kuliko huyo mwingine…!!Kabisa na hii wanaume wengi hawai elewi laiti kama wangejua hilo wasinge hangaika kuvunja ndoa !¡!!! na baada ya muda unavuta shetani mpya kwa jina la new angel lakini baada ya muda vilio vinarudi palepale
We muache akajionee uzuri sisi tupo hapa kupokea mirejesho..!!