Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Alisema kabisa jamaa anamlawiti sio alitaka kumlawiti. kiufupi alikuwa anamtengenezea jinai ingine ambayo ingemgharimu Mwana kwa namna ya hatari.
Yah mkuu, unakumbuka vyema kabisaa
 
Mwenzio anatumia delay teknik.
Anakuvutia maji marefu, ukikaa vibaya tu utaendeleza hizi thread mpk mwisho wa JF, enyewe JF ipo tu siku zote!
Mu all eyes on mkuu, ni vile yeye ananiona kama fala, lakin ujue ni mbaya sana kufikiri huyu mtu bado fala kama alivyokua na wakat mtu anakujua kila unachofanya
 
Sasa nifanye kichwa kigumu siis waja tunakuombea tu yote ni kheri ukimsamehe ni sawa tu 😂
Ahsanten kwa maombi maana naona yanafanya . Simuwaz kabisaa. Na nimeendelea zangu tu kupiga kimya toka tumeonana. Na kesho narud zangu mkoa
 
Nyie mnaomtetea huyo mwanamke kisa watoto, sio sawa huyo mwanamke ni shetani, Polisi kaenda mwenyewe akijua ana watoto, Mahakamani ni yeye kaenda akijua kuna watoto na hiyo talaka yeye ndio anaidai ili apate mgao wa mali, mnamuonea huruma ya nini? Mungu hadhihakiwi unachokipanda ndio unacho kuvuna.
Na mali nikaamua kumuachia
Hao watoto wameyaona yote Baba yao akiwekwa lockup na mama yao
Huwez amini, sijatamkanchochote kwa watoto kuwa mama yenu kaniweka ndani wala mama yenu mbaya wala anataka talaka. Ninachofanya pekee ni kutunza tu kumbukumbu doe future use wakikua na wakawa wamemezeshwa sumu au kama mama yao atakuja pindisha maneno.

Nina samansi zote ,za polisi, baraza la kata, ya mahakaman. Nilifuatilia hukumu na muongozo wa kesi ili nitumze tu kwenye archive yangu. Uzuri document zimaonyesha nani mdai (mshtaki) na nani mdaiwa (mshtakiwa)
 
Hamna wife wake alionyesha kummiss mumewe kabla hajaiona navara, kumbuka kule alipoanza kuongea naye kwenye simu kuhusu kumchukua mtoto shuleni… angekua hataki angemjibu mwalimu asimchukue.

Halafu hana makuu mbona kuna gari yao alikuwa anadrive rafiki wa mumewe anamuona nayo lakini hakumind kuiulizia wala kulalamika?? Na yeye kusema wasimuache yote kuwafanya watoto wao wafurahi wakiwa pamoja..!!

Jirani uoe na wewe uone mziki wa ndoa ulivyo 😹😹
Ukiwa nje kutoa ushauri ni simple sana ujue..!!
Ahahahahah..dah mkuu, mbona una nguvu ya ushawish namna hii.?? 😂😂
 
Mimi kasongo wangu anasema, kubishana na wewe siwezi, wanawake mpo km watoto 😹😹

Ila akikasirika sikai karibu naye anaweza kuninyonga, na mie nna maudhi sometimes huwa natafuta ugomvi kilazima 🤣

Mtuvumilie tu wababa wetu tutafika tunakokwenda..!!
Ahahahahahahahahahahah.

Na kasongo akilimsha, huwa mbuga nzima inatikisika 😂
 
Mimi kasongo wangu anasema, kubishana na wewe siwezi, wanawake mpo km watoto 😹😹

Ila akikasirika sikai karibu naye anaweza kuninyonga, na mie nna maudhi sometimes huwa natafuta ugomvi kilazima 🤣

Mtuvumilie tu wababa wetu tutafika tunakokwenda..!!
😂😂😂
 
Pole sana kwa hiyo changamoto mkuu. Yatakwisha tu. Lakini mimi nakuwa na wasiwasi na huyo ex wife kwa namna mbili ambazo unapaswa kuckukua tahadhari ya kutosha:

1. Kama mwanzo hakuwa mwema kwako hadi amefikia hatua ya kuomba talaka na leo hii anajifanya kukukumbatia, kuwa naye makini. Huenda anataka kukuleta karibu akudhuru.

2. Kwa jinsi mambo yanavyoendelea huko kwa makarani, inawezekana ex wife alikuwa tu anatest mitambo (hakuwa serio8s na talaka) na inawezekana ameishabadili gea angani.

Anyway, endelea kusikilizia kwanza mkuu.
Nimekusoma chief na ninalizingatia hilo sana
 
Hapa wanamjaza sifa ila siku watoto wakianza kuhangaika hawatajitokeza kumsaidia.

Na sio kwamba yeye ni msafi sana, na wala hata huyo anayemtuhumu hana ushahidi wa usaliti.

Muda mwingine wivu tu ndo uliompelekesha.
Haya bwana.
Kama maadam niko hai wanangu hawawez hangaika hata kidogo.

Last month mwanandu mkubwa alini call, akasema "baba tunahitaji sare moya za shule, mama hakututengenezea nyingine mwaka huu shule zilipofungua".
Nilielewa maana yake nini.

Nikatafuta fundi anayenirekebushiaga nguo, nikamtuma shuleni, nikapiga simu shule, aruhusiwe kuwapima watoto nguo.

Nikamwambia chukua vipimo vya namna zoote, sio vya sare ya shule tu. Huyo wankiume chukua mpaka vipimo vya suti.

Akashona nguo zao, baada ya siku mbili zikiwa tayari, nikamwambia zipeleke shuleni watoto warud nazo nyumbani.

Ujue haya ni mambo alikua aki deal nayo mama yao, mimi natoa tu pesa, so am sure akajua nitamtafuta yeye . Sikufanya hivyo.

NI kwel mimi sio msafi nakubali ila sio sababu ya kukubali kuchafuliwa na uchafu wa mwingine kwa kigezo hicho.
 
Na mali nikaamua kumuachia

Huwez amini, sijatamkanchochote kwa watoto kuwa mama yenu kaniweka ndani wala mama yenu mbaya wala anataka talaka. Ninachofanya pekee ni kutunza tu kumbukumbu doe future use wakikua na wakawa wamemezeshwa sumu au kama mama yao atakuja pindisha maneno.

Nina samansi zote ,za polisi, baraza la kata, ya mahakaman. Nilifuatilia hukumu na muongozo wa kesi ili nitumze tu kwenye archive yangu. Uzuri document zimaonyesha nani mdai (mshtaki) na nani mdaiwa (mshtakiwa)
Huyo mwanamke ni shetani
 
Kwa muono wangu nyie bado mnapendanaa....hata wewe unampenda mwezako,ndoo.maana sisi waislamu uki mpa mwanamke talaka,yakupasa kukaa nae nyumba mojaa,na umuhudumie mpaka amalize eda,ikitokea uka mgongaa talaka imevunjika,na kuna uwezo kano mka kaa hicho.kipindi mkajikuta mnasamehana
Uko sahihi. Kumpenda mtu, ni pamoja na kuwa tayar kumpa anachotaka, ikiwemo uhuru wake anaouhitaji. Hutaliw kumbana bana abaki na wwwe na wakat unaona kabisa hataki
 
Back
Top Bottom