ADDITION:
huu uzi nimejitahid kujikita kwenye mrejesho wa mahakan LAKINI kuna mambo mengi mnoooo ambayo sijataka kuyaweka hapa toka tumeachana mahakaman tarehe 12. Mengi mnoo, uzi ungewachosha. Yawezekana ndio maana wengi wanaona kama nina dalili za kutaka kurudisha moyo ila lait kama ningeweka yote huenda ningeeleweka.
Kwakifupi,, hii ni stage nyingine ya wife katika ku attepmt kuni provoke. Mtiririko wa matukio uko hiv kwa kifupi
- amefanya jitihada za kunichonganisha na ndugu zangu kwa kupiga simu hukubna huku baada ya mimi kufunga maswasiliano.
- amejaribu kutumia watoto kama njia ya kuni provoke apate attention yangu hakuweza
- amejaribu sana kunifanya nijue kuwa kwasasa yeye amekua mtu wa outing sana za mara kwa mara, siku reapond
- ameanza kuwa active sana facebuk na ku post mapicha watu ,mimi kimya. Nilim unfriend yeye na all mutual friends na nika lock profile yangu.
- ni mambo mengi mnoo, so WAKUU, HAYA NIMEELEZA NI MUENDELEZO TU ambao mimi sijui ni wa nini lakin ndio kwanzaaa anazis kuni push further na kuni prove kuwa am right to distance myself