realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Sipendi misimamo ya hivi 😅Sasa ilikua wakat tunapendana..now is different
Sipendi misimamo ya hivi 😅Sasa ilikua wakat tunapendana..now is different
Changamoto watoto yaan ...mkuu hizi ndoa usije ukaona watu wanaishi miaka mingi wanavumiliana kwa mengi sana na wanasitiliana sana na ukitaka ndoa idumu inabid mwanaume uwe unajishusha sana ...tushaambiwa ni viumbe dhaifuMkuu umeandika kwa masikitiko Sana dah😀😀😀
🤝🤝🤝We nawe huoni kama tunafanya matani, afu kwani lazima awe demu wake si ata rafiki yake au ndugu yake kwani kuna ubaya
Ahahahah..sasa Mamii ulitaka iweje na kuwa kama zaman haiwezekan 😂Sipendi misimamo ya hivi 😅
Yeye katambua kosa lake msamehe sasa na umpatie vile vitu ulikua huumpiAhahahah..sasa Mamii ulitaka iweje na kuwa kama zaman haiwezekan 😂
Ndio sijajua hivyo ambavyo aikua nampa ni nini?Yeye katambua kosa lake msamehe sasa na umpatie vile vitu ulikua huumpi
Nilikua sijui kumbe shetani ni mwanamke, ulioa shetani kiongoziMkuu ,kumbuka this whole arrangement ya jana, ilikua ni for the sake of the kids. She had to be there kwaajil ya usalama wangu maana yeye ni mtaalam sana wa hila. Unaweza ondoka huku nyuma ukawaambia uliwalisha watoto chakula toxic. I did all those nikiwa na akil rimamu kabisa. Kumbuka huyu ni mwanamke ambaye alini accuse mbele ya baraza kuwa nina mlawiti!. She is capable of turning anything into harmful
Inshaalah my dear young sisyAisee niwie radhi kwakweli mambo mengi
Idd ilinikuta happy wallah na Ilikuwa birthday yangu tulikula pilau na cake sorry next Eid nitakuita haipo mbali ya kuchinja
Mbona Kama unamtetea sana huyo mwanamke jeuri, au ndiyo wewe mwenyewe mke wa jamaa?Hapa wanamjaza sifa ila siku watoto wakianza kuhangaika hawatajitokeza kumsaidia.
Na sio kwamba yeye ni msafi sana, na wala hata huyo anayemtuhumu hana ushahidi wa usaliti.
Muda mwingine wivu tu ndo uliompelekesha.
Ili mwisho wa siku amuue kabisa? Mwanamke akishakengeuka ni ngumu sana familia kusavaivu, huyo ameshakuwa kiburi, jeuri na mshari, kuishi naye ni hatari mnooo!Kama vp aishi nae kibandidu tu!!! Subiri tuone series ijayo labda kaka atalegeza kidogo.
Tumuache kaka aamue kilicho bora kwake!!.Ili mwisho wa siku amuue kabisa? Mwanamke akishakengeuka ni ngumu sana familia kusavaivu, huyo ameshakuwa kiburi, jeuri na mshari, kuishi naye ni hatari mnooo!
Kwa reaction ya kaka ni Sawa kabisaaaa!
NakaziaaaKurudiana sio dhambi wala udhaifu endapo ubaya uliwatenganisha utaondoka kati yenu.
Hapa ubinafsi wenu umeiharibu kabisa furaha za hao watoto
Kama ulivyosema asiwasikilize watu humuNdugu yangu usiwasikilize watu humu, kama mkeo anaonyesha kujutia makosa yake msamehe mlee watoto wenu.
Usifikiri kwamba utakutana na aliyekamilika wanawake wote wana mapungufu.
Ila cha kufanya mwache ajutieee saaanaa, yani afikie hatua ya kukuomba msamaha mpaka apige magoti tena mbele ya wazazi. Yani aombe msamaha mpaka alie machozi. Usimkubalie kirahisi rahisi. Na wewe usimuonyeshe kuwa unamuhitaji onyesha kuwa umesha move on. Mzungushe kwa miezi kadhaa au hata mwaka ndio umrudie tena kwa masharti yako.
Nakuhakikishia atajirekebisha na hatarudia tena upuuzi wake.
Msamehe tu na mtalea watoto wenu kwa amani na wewe atakuheshimu sana. Hayo maamuzi ya kukubali kumuacha yamempa funzo kubwa tu hatarudia tena upuuzi wake.
Narudia tena usiwasikilize watu humu ndani, huyo ni mkeo unamjua na yeye anakujua. Sikiliza moyo wako na samehe saba mara sabini
Kwa hivyo unaona wivu jamaa akirudiana na mkewe sio? Unataka watoto wake waishi kwa mateso wakati wazazi bado wanapendana.Kama ulivyosema asiwasikilize watu humu
UKIWEMO WEWE NA HUU USHAURI WAKO
Ahahahah...mdogo angu, mimi mrejesho nitaleta tu, sema sababu si kupewa support, sababu ni ku share lakin ku appreciate mchango wa mawazo , imenisaidia sana ni vile tu siwez sema ila humu licha ya utani na kebehi na vijembe, kuna watu unaona kabisa wako seriously concerned na ishu unaleta mezani, na unafanyia kaz ushauri na unaona unakusaidia. Hivyo nami najua mrejesho naouleta ,unawasaidia na wengine pia, lengi si kuungwa mkono bali kupata mawazo mbadalaUtuletee mrejesho na mkirudiana,. Usituonee aibu tutakusapoti tena