Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
usipokaza huyo mtalaka mtarudiana nae tu.
Thanks for concern brother. Ila nataman ningeleweka kwann nimejaribu kuweka kila kitu wazi. Ni kwasababu kwa sasa am better than thatusipokaza huyo mtalaka mtarudiana nae tu.
Stay awake man...ADDITION:
huu uzi nimejitahid kujikita kwenye mrejesho wa mahakan LAKINI kuna mambo mengi mnoooo ambayo sijataka kuyaweka hapa toka tumeachana mahakaman tarehe 12. Mengi mnoo, uzi ungewachosha. Yawezekana ndio maana wengi wanaona kama nina dalili za kutaka kurudisha moyo ila lait kama ningeweka yote huenda ningeeleweka.
Kwakifupi,, hii ni stage nyingine ya wife katika ku attepmt kuni provoke. Mtiririko wa matukio uko hiv kwa kifupi
- amefanya jitihada za kunichonganisha na ndugu zangu kwa kupiga simu hukubna huku baada ya mimi kufunga maswasiliano.
- amejaribu kutumia watoto kama njia ya kuni provoke apate attention yangu hakuweza
- amejaribu sana kunifanya nijue kuwa kwasasa yeye amekua mtu wa outing sana za mara kwa mara, siku reapond
- ameanza kuwa active sana facebuk na ku post mapicha watu ,mimi kimya. Nilim unfriend yeye na all mutual friends na nika lock profile yangu.
- ni mambo mengi mnoo, so WAKUU, HAYA NIMEELEZA NI MUENDELEZO TU ambao mimi sijui ni wa nini lakin ndio kwanzaaa anazis kuni push further na kuni prove kuwa am right to distance myself.
Maturity ya hali ya juu sana👊ADDITION:
huu uzi nimejitahid kujikita kwenye mrejesho wa mahakan LAKINI kuna mambo mengi mnoooo ambayo sijataka kuyaweka hapa toka tumeachana mahakaman tarehe 12. Mengi mnoo, uzi ungewachosha. Yawezekana ndio maana wengi wanaona kama nina dalili za kutaka kurudisha moyo ila lait kama ningeweka yote huenda ningeeleweka.
Kwakifupi,, hii ni stage nyingine ya wife katika ku attepmt kuni provoke. Mtiririko wa matukio uko hiv kwa kifupi
- amefanya jitihada za kunichonganisha na ndugu zangu kwa kupiga simu hukubna huku baada ya mimi kufunga maswasiliano.
- amejaribu kutumia watoto kama njia ya kuni provoke apate attention yangu hakuweza
- amejaribu sana kunifanya nijue kuwa kwasasa yeye amekua mtu wa outing sana za mara kwa mara, siku reapond
- ameanza kuwa active sana facebuk na ku post mapicha watu ,mimi kimya. Nilim unfriend yeye na all mutual friends na nika lock profile yangu.
- ni mambo mengi mnoo, so WAKUU, HAYA NIMEELEZA NI MUENDELEZO TU ambao mimi sijui ni wa nini lakin ndio kwanzaaa anazis kuni push further na kuni prove kuwa am right to distance myself
Kurudiana sio dhambi wala udhaifu endapo ubaya uliwatenganisha utaondoka kati yenu.Hapana mkuu, trust me.
Devil?Stay awake man...
All women are devils only your mother mighty be good to you but she is still a devil to your father.
Sasa naelewa ni kwa nini wale Taliban kule Afghanistan wanawabana wanawake.
Hivi viumbe ni akili zao fyatu sana. Wanahitaji udhibiti wa hali ya juu.
Na mimi nimegundua hilo, halafu huyu jamaa hachomoi nakwambia. Asingekubali hizo hugsKuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
KaribuNimekuelewa toka siku ya kwanza kwenye hili dada angu and i real appreciate your concern and advice, honestly
Kwa visa alivyotuhadithia kuhusu mke wake kiukweli hatakiwi kurudiana nae. Atakuja kufanyiwa mabaya ya kutisha zaidi. But mwisho wa siku ni maisha yake ataamua mwenyeweKurudiana sio dhambi wala udhaifu endapo ubaya uliwatenganisha utaondoka kati yenu.
Hapa ubinafsi wenu umeiharibu kabisa furaha za hao watoto
Kabisa!!! Sisi wanawake tukitaka jambo letu hatushindwi!!!!! TumuombeeNa mimi nimegundua hilo, halafu huyu jamaa hachomoi nakwambia. Asingekubali hizo hugs
Yaani wewe ni mdhaifu sanaUnafikiri hata inahitaji kukaza basi. I just established a "no contact zone" plus distance
Nakusoma vizuuri kabisaaStay awake man...
All women are devils only your mother mighty be good to you but she is still a devil to your father.
Sasa naelewa ni kwa nini wale Taliban kule Afghanistan wanawabana wanawake.
Hivi viumbe akili zao fyatu sana. Wanahitaji udhibiti wa hali ya juu.
La sivyo ukiwaruhusu tu wakuchekee chekee, wanakupanda kichwani.
Achana na uchi wewe😂😂😂Kwa visa alivyotuhadithia kuhusu mke wake kiukweli hatakiwi kurudiana nae. Atakuja kufanyiwa mabaya ya kutisha zaidi. But mwisho wa siku ni maisha yake ataamua mwenyewe
Wanaweza wakafurahiana wakirudiana lakini trust me baada ya muda mfupi yatajirudia yale yale na makubwa zaidi jamaa atajuta sana.Achana na uchi wewe😂😂😂
Uliamini kuna siku watakumbatiana kwa bashasha na kula pamoja?
Nyuchi sio poa😂
Sure mkuu, ujue ndio maana hata picha zoote alizochukua jana, siku attempt hata kumuomba anitumie. Na licha ya maigizo tuliofanyiana jana, NIMEKAA KIMYAAA LEO and i am sure she was expecting something from me leo. She hizo zoote ni ways tu ku invoke something out of meMaturity ya hali ya juu sana👊
Huyu atachoka maisha mapema sana. Wanaume wanaotembea na wake za watu, huwakwepa mara wanapoachika. Hakuna anayetaka kubeba mzigo.She startes muda mrefu,zile sign za kukuonyesha dharau na nini ndio ikafikia hatua ya kukuta picha hovyo kwenye cm yake nikamuangushia kibano
🤣🤣🤣🤣🤣Nyie bado mnatamaniana.rudianen mlee watoto
Ni kweli brother na ninakubaliana na wewe. Japo kwa mimi sio ubinafsi, ila kwa yeye ni kweli, nilijitahid sana ku make things work out but she decided to sacrifice her family for her own happyness. This is the highest level of ego she provedKurudiana sio dhambi wala udhaifu endapo ubaya uliwatenganisha utaondoka kati yenu.
Hapa ubinafsi wenu umeiharibu kabisa furaha za hao watoto