Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Sure mkuu, ujue ndio maana hata picha zoote alizochukua jana, siku attempt hata kumuomba anitumie. Na licha ya maigizo tuliofanyiana jana, NIMEKAA KIMYAAA LEO and i am sure she was expecting something from me leo. She hizo zoote ni ways tu ku invoke something out of me
Shikilia hapo hapo huyo akili imeanza kumkaa sawa
 
Mkuu usipokaza utakuja kutuambia shetani alinipitia, kwanini yeye hakuangaika na kufuata hiyo kopi ya hukumu, matokeo yake anakuuliza wewe, ungejaribu kumwambia nimekuja tu kwenye safari zangu nikaona niwasalimie watoto
 
Na mimi nimegundua hilo, halafu huyu jamaa hachomoi nakwambia. Asingekubali hizo hugs
So you were expecting ni act rude mbele ya mwanangu? That was provocation ani prove namna flan kwa watoto so she meant nothing related to loiobe or missing me aliponifanyia hivyo mkuu. I was smart to understand the tricks
 
Ni kweli brother na ninakubaliana na wewe. Japo kwa mimi sio ubinafsi, ila kwa yeye ni kweli, nilijitahid sana ku make things work out but she decided to sacrifice her family for her own happyness. This is the highest level of ego she proved
Ndg yangu mimi nimetafiti sana, wanawake wanafanana, tofauti yao ni muda na mahali pa kuangukia.
Kuna atadondozhwa na yeyote, kuna yupo atachagua pa kudondokea, huyu wa ku hagua huchukua muda kiasi kwamba watu wanajiridhizha ni mwaminifu kumbe ni suala la muda tu
 
Yaani wewe ni mdhaifu sana
Mbona sijaona udhaifu hapo tofauti na ustaarabu tu. Sasa was i supposed kua mshari shari mkuu??
Ujue kuna suala hili..
For the sake of me meeting my kids, mama yao ameshika makali, na aki report any aort of abuse inakula kwangu. Ndio maana hata kuwaona watoto, nilitaka ajulishwe nisije na nilifanya hivyo kwa makusudi ambayo yeye hakujua. Ila nilikua natengeneza defence yenye ushahid kwangu incase atapata idea ya kutumia mwanya huu ku twist mambo jui ya mimi kuwaona watoto..
 
Achana na uchi wewe😂😂😂
Uliamini kuna siku watakumbatiana kwa bashasha na kula pamoja?
Nyuchi sio poa😂
Mkuu ,kumbuka this whole arrangement ya jana, ilikua ni for the sake of the kids. She had to be there kwaajil ya usalama wangu maana yeye ni mtaalam sana wa hila. Unaweza ondoka huku nyuma ukawaambia uliwalisha watoto chakula toxic. I did all those nikiwa na akil rimamu kabisa. Kumbuka huyu ni mwanamke ambaye alini accuse mbele ya baraza kuwa nina mlawiti!. She is capable of turning anything into harmful
 
Ndg yangu mimi nimetafiti sana, wanawake wanafanana, tofauti yao ni muda na mahali pa kuangukia.
Kuna atadondozhwa na yeyote, kuna yupo atachagua pa kudondokea, huyu wa ku hagua huchukua muda kiasi kwamba watu wanajiridhizha ni mwaminifu kumbe ni suala la muda tu
Hakuna binadamu mwaminifu. Utabana weee mwisho wa siku utabanwa sehemu utaachia.
 
Wanaweza wakafurahiana wakirudiana lakini trust me baada ya muda mfupi yatajirudia yale yale na makubwa zaidi jamaa atajuta sana.
Ukiamua kuachana na mtu kaa nae mbali. Wanawake sisi tuna plan za ajabu wewe hutujui vizuri.
💯 Kabisa. Na ndio sababu leo hii yan muda hii nimetoka kupakia furniture zangu za ofisi na kuhamishia mkoan ambako nilihamia baada ya huu mgogoro.
 
Back
Top Bottom