Hujakosea kitu mkuu wangu. Hapo nirudi kufuata kifo changu tu, hakuna kingineWanaume wengi hatuwezi kudate na mwanamke ambaye tumemfanya atoke kwenye ndoa yake.aliyemdanganya mkeo kashamtema hayupo nae Tena.wanawake wakiwa kwenye ndoa akidanganywa kidogo analeta dharau na ugomvi,hata kile kidogo unachompa hawezi kuona ni kitu.wao huamini wanaume wengine ni Bora kuliko mume aliye nae ndani.mpaka akianza kunyanyasika ndio huanza kukumbuka ndoa yake ya mwanzo.ushauri wangu ni kuwa mwanamke akifikia hatua ya kukupeleka polisi akakulaza ndani,basi huyo anaweza kukuwekea sumu ukafa.kama mwanamke ameweka kwenda mpaka mahakamani adai na talaka,usijaribu kumrudia
Hahaha!Mbona leo umekua mkorofi na sio kawaida yako 🤣
Mimi nakuelewa kuwekewa hivyo hivyo tabasam la kifo.Thanks for concern brother. Ila nataman ningeleweka kwann nimejaribu kuweka kila kitu wazi. Ni kwasababu kwa sasa am better than that
Ee ndio si unakumbuka pale mahakamani bibie alikaa chini kama kamwagiwa maji na hakutegemea kama mshikaji yuko serious.Huyo mtu aliyekupa namba ,Kuna codes hujazifungua vizuri mkuu,kama unaweza mwita mahali ,then atakueleza Kila kitu kuhusu ni nani aliyechukua file,ni wazi kuwa ex wife alienda kuvuruga mchakato wa talaka usiendelee,kwa kifupi anajifanya mtoto wa mjini.kwa lugha nyepesi hapo utazungushwa mpaka akili zikukae sawa,yaani utapoteza sana muda wako.Huyo anataka tuu ki vyepesi vyepesi umwambie kuwa mrudiane.
Ahahahah...wanasema "THE BEST REVENGE IS TO BE UN-LIKE THE ONE WHO PERFORMES THE INJURY". Sasa mimi acha niwe tofaut. Na by the way am not doing this to punish her. Am just being me.Umezingua Ungetafuta demu mmoja ukampanga akusumbue umue kwenye awe anakupigia na kukutumia sms kila mara wakati mko na huyo X wako
Mnapendana tena sana..!! Tunasubiria muongeze mtoto wa 5 😹😹Ahahahah..hakuna ambapo naigiza mkuu.
Sasa unaona aibu ya nini wakati goma lako na talaka bado haijatoka 😹😹😹Hatuku kiss, she kissed me shavuni twice.
You played the game well mwaisa...kazia hapo hapo,kwanza ulipoenda na hiyo NAVARA umemvuruga kabisa! Me naamini umesha heal now,huwezi kurudiana nae! Ongea na huyo karani vizuri na uandae posho kidogo upewe nakala ya hukumu uwe huru na maisha yako!Ahahahah...wanasema "THE BEST REVENGE IS TO BE UN-LIKE THE ONE WHO PERFORMES THE INJURY". Sasa mimi acha niwe tofaut. Na by the way am not doing this to punish her. Am just being me.
Hivi watu ambao wanapendana wanafikishana hadi mahakamani? Mkishafikishana huko ina maana mmeshindwa kusuluhisha mgogoro.Mnapendana tena sana..!! Tunasubiria muongeze mtoto wa 5 😹😹
Kwa maelezo yake ,hukumu imeshayoka , bado kuchukua nakala tu.Sasa unaona aibu ya nini wakati goma lako na talaka bado haijatoka 😹😹😹
Sisi wambea tushajua nini ni nini msitufanye watoto hapa 🤣
Wanapendana sema walikuwa wanatingisha kiberiti km kimejaa.. si umeona bibie kamhug bwana naye kafurahi mpk katuletea uzi hapa wambea…!! 😹😹Hivi watu ambao wanapendana wanafikishana hadi mahakamani? Mkishafikishana huko ina maana mmeshindwa kusuluhisha mgogoro.
Hivi kukumkumbatia mtu kwa kufosi ni kumpenda?Wanapendana sema walikuwa wanatingisha kiberiti km kimejaa.. si umeona bibie kamhug bwana naye kafurahi mpk katuletea uzi hapa wambea…!! 😹😹
Hukumu ya maneno hakuna aliyesaini kati yao…! Na huyu mwanaume bado anampenda mkewe na mke naye bado anampenda mumewe..!!Kwa maelezo yake ,hukumu imeshayoka , bado kuchukua nakala tu.
Wapi kafosi, we nawe mchawi mbona unakomalia km wewe ndo muhusika?? Mwenyewe kafurahi kukumbatiwa na mkewe, wewe unaumia nini?? 😹😹Hivi kukumkumbatia mtu kwa kufosi ni kumpenda?
Kwenye maelezo wamesignHukumu ya maneno hakuna aliyesaini kati yao…! Na huyu mwanaume bado anampenda mkewe na mke naye bado anampenda mumewe..!!
Mi naona warudiane kwa hiyo team ya mpira waliyoianzisha wasiachane walee watoto..!
Miss natafuta mpenzi wangu, mbona unataka kuujeruhi moyo wangu, wakati sijakukosea lolote! Please tukae tuyajenge Malik’s wangu! Sijakusahau hata kidogo!Mkuu nachoona hapa ni wewe kurudiana na mkeo
Nitaweka wapi sura yangu Mimi jamani
Na Mimi nakutegemea uachike mazima nikusombe mzima mzima