Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

,Mkuu umesoma uzi wangu wa nyuma na ukajua hatua aliyofikia kunifanya? Sasa unaanzaje tena kumuamin mtu kama huyu again if not for your own demise???
Wewe ni mwanaume dhaifu sana, hii post yako ya mwisho imeanika jinsi gani u mdhaifu Kwa mkeo..she can control you the way she likes, usiache kupita Kwa wahenga wakusaidie kubaini ni limbwata la wapi hilo umelishwa!
 
Inbox yako haijaa wadada wa JF maana jimbo lipo huru (just a jalk). Ulicho fanya ni cha kiume sana aisee hongera sana jitahidi uhudumie watoto maana hata huko mahakamani wamesha kuona kua huna hatia kwenye hili. Ikifika muda wale wanao weza kwenda bording wapeleke utapata uhuru wa kwenda kuwaona na ku spend nao tyme na kuwapa chakula cha ubongo baba atabaki kua baba. Mwathirika mkubwa hapa ni watoto wako halafu unafata wewe yeye ni mnufaika kama ataathirika basi ni majuto kwake.
Sometimes andika tu Kiswahili, sasa “just a jalk “ ndiyo kitu gani hiki?
 
Mkuu una jicho la TAI..! Kwa maoni yangu, huyu member ni dhaifu sana, na hata mkewe anajua udhaifu wake wote! Ni swala la muda tu mke anamrudisha kwenye himaya yake..nilifatilia kisa hiki mwanzoni nikabaini Kwa kiasi kikubwa mke anammudu mwamba..anamchezesha mziki anoataka..hii story ya mwisho binafsi kama mwanaume imeniboa kbs!
Unajua maisha ya ndoa tuyaache tu!!. Mfano Mimi huyo mwanaume pamoja na kero zake siwezi kumuacha na hawezi kuniacha kwa gharama yoyote ile..... Maisha bila hii familia yangu ikiwa imekamilika itakua ni zaidiya jehanamu.
Tumuache mtoa mada anajua anachokifanya tutor maoni yetu tusimhukumu kwa chochote!!
 
Fanton Mahal na mpira ukirudi kwa kipa usisahau kuleta mrejesho [emoji16]..
Kwanza nikupe hongera umejua kumnyoosha kisomi yeye alikuwa anakurusha roho kishamba huko facebook labda utapata wivu [emoji1787] , afadhali hukwenda kinyonge ukisikia kulia kupokezana ndo hii sasa, nae zamu yake kuteseka.
Alikosea sehemu moja tu, angekapanga kadada kamoja kawe kana msumbua kwenye siku wakati wapo na huyo X wake
 
So you were expecting ni act rude mbele ya mwanangu? That was provocation ani prove namna flan kwa watoto so she meant nothing related to loiobe or missing me aliponifanyia hivyo mkuu. I was smart to understand the tricks
Hongera nyingi Sana kwako, umeonyesha maturity kubwa Sana na moja ya njia Bora kabisa ya kummaliza mtu ni kwenda na moves za kimya kimya.
Wewe ni Baba Bora kwa wanao, usingeweza kuact rude towards mama Yao mbele Yao maana huo pia ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume. Siku zote mwanaume hufanya maamuzi kwa reasoning na fact zaidi unlike mwanamke yeye hutumia hisia zaidi hivyo yeye alitumia HISIA kufanya alichofanya na wewe umetumia AKILI kwenda na zile moves zake na bila Shaka jibu atalipata kwamba she was a fool!
POLE NA HONGERA KWA KUWEZA KUHEALUP HIYO SITUATION.
 
100% hapa hatuna mwanaume sema hata Kuja kusema hapa kama amerudiana nae.

Jamaa yetu mdhaifu sana. Nadhani hata akija kuoa tena bado atasumbuka sana na wanawake.

Mwanamke kamsoma kila kitu anamjua zaidi ya yeye anavyojijua......

Mkuu kazi unayo...wanaume huwa tuko tyr kupoteza hata kwa maumivu makubwa kiasi gani
Mwanaume tunaye na tunatamba nae.... Tumuache yeye ndo anajua anachokifanya!!!!
Binafsi eti huruma imeniingia juu ya hiyo familia hasa upande wa watoto kama vipi warudiane tuuuu!!¡
 
Mwanaume tunaye na tunatamba nae.... Tumuache yeye ndo anajua anachokifanya!!!!
Binafsi eti huruma imeniingia juu ya hiyo familia hasa upande wa watoto kama vipi warudiane tuuuu!!¡
Kurudiana hapana, kama ikitokea huyo jamaa atakuwa amevuka kiwango cha udhaifu na sasa atakuwa NI MPUMBAVU POPOMA(samahani kwa kusema hivi). mpaka wamezaa watoto 4 means anamjua vizuri mkewe, utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami kuamini kwamba mwanamke atabadilika hilo halipo mwanamke habadiliki kamwe zaidi atakupa maigizo akiwa na hisia zake nzuri baada ya hapo anarudia kwenye njia Yake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
 
Mwanaume tunaye na tunatamba nae.... Tumuache yeye ndo anajua anachokifanya!!!!
Binafsi eti huruma imeniingia juu ya hiyo familia hasa upande wa watoto kama vipi warudiane tuuuu!!¡
Madam, mwanaume kama hana changamoto ya kiuchumi, anayo nafasi kubwa sana ya kudhibiti ama kudeal na situation yoyote inayotengenezwa na mwanamke yenye kuathiri familia..when it gets to the point of ruining the family, basi lazima Kuna mahala mwanaume hakuact smart mapema
 
Kurudiana hapana, kama ikitokea huyo jamaa atakuwa amevuka kiwango cha udhaifu na sasa atakuwa NI MPUMBAVU POPOMA(samahani kwa kusema hivi). mpaka wamezaa watoto 4 means anamjua vizuri mkewe, utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami kuamini kwamba mwanamke atabadilika hilo halipo mwanamke habadiliki kamwe zaidi atakupa maigizo akiwa na hisia zake nzuri baada ya hapo anarudia kwenye njia Yake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
Ni kweli,,, lakini mpaka sasa huyo mama Kuna vitu kashaanza kujutia..
Mimi katika vitu vinaumiza ni wazazi kuachana watoto jamani huteseka mnoo!!!!
 
Ni kweli,,, lakini mpaka sasa huyo mama Kuna vitu kashaanza kujutia..
Mimi katika vitu vinaumiza ni wazazi kuachana watoto jamani huteseka mnoo!!!!
Naam siku zote anguko la ndoa athari kubwa huenda kwa watoto. Wanawake hudhani watapata furaha Sana baada ya kuachana na waume Zao(hapa ni kwa wale waliokuwa manipulated na ufeminism wakaanzisha movement za kuachana) ila in return wanaambulia majuto na furaha za kufake na ndio maana utawaona kutwa kucha kupost namna wanavyopendeza na Kula bata (wanapelekeshwa na hisia za kujihami) lakini behind wanasaga meno kwa majuto
 
Back
Top Bottom