Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,408
Jalk x joke √Inbox yako haijaa wadada wa JF maana jimbo lipo huru (just a jalk). Ulicho fanya ni cha kiume sana aisee hongera sana jitahidi uhudumie watoto maana hata huko mahakamani wamesha kuona kua huna hatia kwenye hili. Ikifika muda wale wanao weza kwenda bording wapeleke utapata uhuru wa kwenda kuwaona na ku spend nao tyme na kuwapa chakula cha ubongo baba atabaki kua baba. Mwathirika mkubwa hapa ni watoto wako halafu unafata wewe yeye ni mnufaika kama ataathirika basi ni majuto kwake.