Ni yeye ndio aliamza ku uliza hilo kuwa "ulikuja kufuata ile hukumu?" Nikamjibu yeahMkuu usipokaza utakuja kutuambia shetani alinipitia, kwanini yeye hakuangaika na kufuata hiyo kopi ya hukumu, matokeo yake anakuuliza wewe, ungejaribu kumwambia nimekuja tu kwenye safari zangu nikaona niwasalimie watoto
Hapana chief..kwann unahis hivyo?Basi hapo mleta mada anajiona ka wiiin
Aisee!! Mkuu hapa nitaomba maelezo zaidi, kwa maana ya kwanza file lisipoonekana, itatakiwa kufunguliwa kesi upya???Yeye ndio amepoteza Hilo file,jambo la msingi utahitajika kufungua kesi Tena ya talaka ,ni vizuri uwe na mwanasheria
THanks kaka ,nimekuelewa pia.Hongera sana mkuu,
Nafuatilia sana mada zako za hii talaka, zinatujenga na kutupa kujua namna mambo yanavyofanyika.
Nimependa uwezo wako wa kuhimili mtiti wa huyo mama hasa baada ya nyie kuachana, angekuwa Me mwingine wangeishia lodge jana wakipakuana, ila umesimama imara mbele ya watoto(wasione lolote baya)
Usisite kutuletea episodes nyingine kadri matukio yanavyokuja, hata ikitokea mkaamua kurudiana(japo sidhani kama ni right move), usisite kutuletea. Hizo proceedings za mahakamani ni muhimu pia kuzijua.
Ahahahah..she has been helping me alot kwenye hili, honestly. I appreciate her helpHata hivyo yule "penpal" wako snowhite angekuja hapa akatoa muongozo kidogo..🤣🤣
Shukran chief. Umeongea ukwel sana. Kuhusu athari kwa watoto, sijataka kuandika kitu ili kutochanganya mbo maana lengo la nyuz hiz ni ku update mambo ya ku share common kwa wote ila athar zipo . Na jana i was trying to talk to mama yao kuhusi progress za watoto shulen, unfortunatelly, ANAWATUPIA LAWAMA WATOTO NA KUKWEPA RESPONSIBILITY.Inbox yako haijaa wadada wa JF maana jimbo lipo huru (just a jalk). Ulicho fanya ni cha kiume sana aisee hongera sana jitahidi uhudumie watoto maana hata huko mahakamani wamesha kuona kua huna hatia kwenye hili. Ikifika muda wale wanao weza kwenda bording wapeleke utapata uhuru wa kwenda kuwaona na ku spend nao tyme na kuwapa chakula cha ubongo baba atabaki kua baba. Mwathirika mkubwa hapa ni watoto wako halafu unafata wewe yeye ni mnufaika kama ataathirika basi ni majuto kwake.
Mbona leo umekua mkorofi na sio kawaida yako 🤣Rudiana na mkeo wewe, acha uboya😁 (Samahani kama nimetumia neno kali).
Mkuu, sikutaka kulipa hili nafasi, lakini lilinijia akilin na nikajaribu kuongea na sister angu nikamueleza hiki hik unachosema wewe. Ila nikasema acha niwe positive tuHuyo mtu aliyekupa namba ,Kuna codes hujazifungua vizuri mkuu,kama unaweza mwita mahali ,then atakueleza Kila kitu kuhusu ni nani aliyechukua file,ni wazi kuwa ex wife alienda kuvuruga mchakato wa talaka usiendelee,kwa kifupi anajifanya mtoto wa mjini.kwa lugha nyepesi hapo utazungushwa mpaka akili zikukae sawa,yaani utapoteza sana muda wako.Huyo anataka tuu ki vyepesi vyepesi umwambie kuwa mrudiane.
Mkuu mbona sijaona mahala ambapo nimelegea chief..Jamaa kapigwa kiss mbili kalegea kama mlenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
X wife wako anajua kua wewe ni dhaifu kwake, ni swala la muda tu mtazagamuana na kurudiana, na akikupiga tukio lingine utakuja kusema alikuroga ili mrudiane
Ahahahah..hakuna ambapo naigiza mkuu.Nyie wapuuzi bado mnapendana kafuteni kesi mnatupotezea muda..!!
Umenikwaza umenichania mkeka nilijua mlivyorudi ungeonjapo kidogo 😜
Watu wanaojifunika shuka moja wakiwa naked sio wa kuwaingilia…!!Mbona kama bado unampenda huyu ex wako mkuu?!
Huyo ni nyoka unapata wapi ujasiri wa kuruhusu akukiss?
Inavyonekana wewe ni dhaifu kwake na utamrudia tu.
Hatuku kiss, she kissed me shavuni twice.Watu wanaojifunika shuka moja wakiwa naked sio wa kuwaingilia…!!
Ila mimi nimefurahi kutoka moyoni walivyokiss ikiwezekana warudiane…!! 😹