LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #21
Nitafanya hivyo mkuuSiku 45 ni rufaa. Nakala ukilipia huwa haichelewi sana. Tafuta wale makarani uongee nao vizuri
Nitafanya hivyo mkuuSiku 45 ni rufaa. Nakala ukilipia huwa haichelewi sana. Tafuta wale makarani uongee nao vizuri
Sio kihivyo mkuu, moja ya vitu vimenisaidia sana kuvuka kipindi hiki ni kujifunza kutokua na papara na kutulia zaidi. I knew motives zake na i had no likewise response.Mbona kama bado unampenda huyu ex wako mkuu?!
Huyo ni nyoka unapata wapi ujasiri wa kuruhusu akukiss?
Inavyonekana wewe ni dhaifu kwake na utamrudia tu.
Hakuna mapenzi mkuu. "I miss you" ni neno ambalo mtu yoyote tu unaweza litamka effortlessly.mambo ya mapenzi waachieni wenyewe
Hukumu mpaka ulipie ndio inachapwa. Hakuna cha kapuni. Mwanamke kaenda mwenyewe kuomba takala kwa hiyo ni haki yake kupewa.Mkuu sina uhakika na mazingira ya mahakamani lakini kwa uwelewa wangu ni kua huenda kesi ikawa kapuni (kwa majibu wa reaction ya x_yf)
Chengine nasisitiza kwa uwelewa wangu usipokaza unaweza kurudi ulikotoka
Nimekusoma mkuuHukumu mpaka ulipie ndio inachapwa. Hakuna cha kapuni. Mwanamke kaenda mwenyewe kuomba takala kwa hiyo ni haki yake kupewa.
Hii mdoa imefufuka japo ego zenu zinakomaza shingo tu😂Sawa sawa mkuu. Ni kweli ule mwenendo wa kesi yule hakim alikua anaandika kwa mkono na kila mtu aliusaini mwishoni, so wakasema utachapwa ndio tupatiwe
Kwanza soon wanakulana hawa.Kuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
She startes muda mrefu,zile sign za kukuonyesha dharau na nini ndio ikafikia hatua ya kukuta picha hovyo kwenye cm yake nikamuangushia kibanoAsante sana kwa mrejesho mkuu. Wngi wanajifunza kutoka kwenye hiki kisa. Huyu anajutia alichofanya. Naomba unikumbueshe: Hivi kisa cha kufaraghana ni yeye kuwa na mwanamme mwingine au ilikuwa nini?
Kotanda ni kitu kingine kabisaMke na mume wakigombana shika jembe ukalime....
Sawa na ndugu wakigombana.
Kwasasa mimi simtamani tena. Ujue behind hiz drama zote za jana, kila nilipokua namtazama, my mind was playing zile evil memories she did to me. I was smilling nikim zoom how pretending she wasNyie bado mnatamaniana.rudianen mlee watoto
Unafikiri hata inahitaji kukaza basi. I just established a "no contact zone" plus distanceAsipokaza hili lipo wazi..... Na zaidi kua umelisemea wewe wa jinsia yake
Huwez achwa haraka haraka hivyoAmeshaachwa huko sasa anarudi kwako
Msamehe mlee watoto..!🏃
Mkuu, ungejua gharama nilioingia mpaka kufikia hatua hii ya recovery nayo sasa, aisee kurudi haipo kabisa kwenye msamiati wanguMkuu sina uhakika na mazingira ya mahakamani lakini kwa uwelewa wangu ni kua huenda kesi ikawa kapuni (kwa majibu wa reaction ya x_yf)
Chengine nasisitiza kwa uwelewa wangu usipokaza unaweza kurudi ulikotoka
Ahahaha hapana chief. I coulnt act rude before kids.Kwanza soon wanakulana hawa.
Unajua wana mizizi mirefu, kwa maelezo kama wana watoto 4, hii ni historia yenye hisia mchanganyiko.
Wamegusanisha vifua vyao kwa hug, hii kila mtu akiwa na utulivu atavuta hisia za nyuma.
Juzi nilikutafuta nikaona kimya kumbe ushabadili namba.Huwez achwa haraka haraka hivyo
Hata mimi haya mambo ni mageni kabisa.MImi sina uzoefu na maswala ya kimahakama hasa upande wa talaka, hilo eneo watachangia wengine.
Honestly i was indifferent towards her moves. Nilizichukulia tu kama drama maana alizonifanyia mpaka kunilaza jela, mbona hiz ni ndogo. Kama aliweza kujaribu kunifungulia mpaka mashtaka ya jinai, unafikiri ni ngumu kwake kuniigizia kama hivi? No ni maigizo tu. Na uzur am wise enough to understandSWali langu ni umechukuliaje uchangamfu wa ex-wife wako kwako, mahug, kisses n.k.
Interpretation yako ni ipi?