Hongera nyingi Sana kwako, umeonyesha maturity kubwa Sana na moja ya njia Bora kabisa ya kummaliza mtu ni kwenda na moves za kimya kimya.
Wewe ni Baba Bora kwa wanao, usingeweza kuact rude towards mama Yao mbele Yao maana huo pia ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume. Siku zote mwanaume hufanya maamuzi kwa reasoning na fact zaidi unlike mwanamke yeye hutumia hisia zaidi hivyo yeye alitumia HISIA kufanya alichofanya na wewe umetumia AKILI kwenda na zile moves zake na bila Shaka jibu atalipata kwamba she was a fool!
POLE NA HONGERA KWA KUWEZA KUHEALUP HIYO SITUATION.