Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Boss pole sana ndio naingia on-line nilikuwa busy sana leo
Kwenye gari hujamuweka nijibu kwanza 🤔
Kwenye gari hujamuweka nijibu kwanza 🤔
Sijamuweka kiaje chief??Boss pole sana ndio naingia on-line nilikuwa busy sana leo
Kwenye gari hujamuweka nijibu kwanza 🤔
Hakika !Yah, kitu ambacho unakua humkomoi yeye, unajitesa wewe.
🔨🔨🔨🔨Nyie mnaonekana
mmemisiana ,mrudiane muongeze Watt yaani watoto wote hao mwanamke akubali kabisa kuachana🤣🤣🤣🤣 , bora muungane muongeze familia na hata wewe ulimmiss sana🙏
Mkuu, nimeanza naye mwanzo kabisa.Wewe umeanza kufuatilia kisa cha huyu jamaa njiani.
Unatamani kusikia maneno ya faraja tu, yanayomcriticise opponent wako, ila hauko tayari kuupokea ukweli kwamba wewe ni mwanaume dhaifu unaezidiwa akili na mkeo kiasi cha kukuburuza kama gari bovu.Huna akili maana yake!. We unajiona una akil sawa sawa?
Huyo mkeo kajishusha cheo mwenyewe(kajipeleka mpaka cheo cha mchepuko)Mbona kama bado unampenda huyu ex wako mkuu?!
Huyo ni nyoka unapata wapi ujasiri wa kuruhusu akukiss?
Inavyonekana wewe ni dhaifu kwake na utamrudia tu.
Ujue mkuu mpaka sisi wanaume tunaoa,tunaweka ndani,Shaggy aliimba Strength of the woman.
Hawa viumbe wana nguvu fulani hivi ya ajabu.
Inanibidi uwe bandidu na kauzu kwelikweli kukwepa mitego yao.
Mwenyewe sijawai ona, kuna zile za GSM zimesimama haswa.Ahahaha ile ndinga kiukwel ni ya kiume haswaaaa. Na sijakutanaga na mwanamke kwenye Navara!.
Amsamehe wakati hata huyo mwnamke hajaomba msamaha.?Ushauri wangu;
Msamehe mama watoto mlee watoto.
Akili za wanawake Kama watoto wadogo tu, waliomkoki Sio ajabu wote washaingia mitini, anahangaika mwenyewe TU na dunia.
Kiukweli kuachana na mkeo na watoto Ni wakubwa, mnawaharibu watoto kisaikolojia.
Hiyo Divorce inatengeza gap kati yako na wanao uwapendao.
Kuwapenda wanao bila uwepo wa mama Yao Mara nyingi uwa Ni KAZI Bure.
MKUU, SAHAU YALOPITA
Mimi ningekuwa mwanaume nisingeweza naonawatu wanakazania watoto kwani wakati wanatongozana walikuwa na watoto au walioana sababu ya kupendanaAmsamehe wakati hata huyo mwnamke hajaomba msamaha.?
Hebu kama ni wewe, mwanamke kakufanyia kama jamaa alivyofanyiwa, utasamehe.?
kwa mjibu wa jamaa huyu mwanmke kamtukana hadi Baba wa jamaa.
Sasa Kwa sabbu hiz ulizotaja hata akimrudia atakuwa mke au mkwekwese 😃Kesi nyingi za ndoa ziko hivyo,
Mwanamke anakutingisha kibiriti mpk mnafika mahakamani na mnahukumiwa, lengo uwe frustrated.
Akiona Uko normal, anajistukia.
Pia Miezi 5 uliyokaa mbali nae imempa wakati mgumu Sana kutafakari your next move.
Umerud na gari jipya, inamuumiza Sana, tofauti na matarajio yake utayumba kiuchumi.
Sahivi anajihisi kakukosea na anatamani sana mrudiane.
Sio ajabu Hata hizi danadana mahakamani anamkono wake.
Mahakamani mwanamke akijirudi, Hata ufanyeje, wanamzingatia yeye kuliko Wewe.