LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #221
Hapana chief. Sijaomba ushauri halaf. Mimi niliahidi kuleta mrejesho kama appreciation ya michango ya mawazo niliopata toka kwa wadau toka issue yangu inaanza🤣🤣🤣Jamaa Bado anatamani kupata ushauri hapa warudiane... Jamaa lazma arudishe majeshi nyuma kama Yale ya SADC