Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ameshaachwa huko sasa anarudi kwako
Msamehe mlee watoto..!š
Na uwezo wa kumzuia Hana.
Mtalaka kajipanga kuanzia Safu ya Washauri wa kumwombea Msamaha, walokole wale wa vita ya kuvunja madhabahu wapo mzigoni
Wamama makeup na fashen wapo makini