LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #501
Ahsante sana. NitayazingatiaNimesoma kisa chako chote. Kusema kweli wewe kaka /baba una hekima sana Mungu azidi kukupigania na kukutia nguvu kwa hii mitihani unayopitia.Hukustahili haya ila ndo yalishatokea.Cha msingi amka anza upya.Sali sana kwa Mungu wako huyu mwanamke asitumie silaha Pendwa ya wanawake magaidi... UCHAWI.Maana wakishindwaga pote jambo la mwisho wanahamia kwenye kuroga tu.Mungu akuepushie na hili hata kama amekusudia kwako. Zidisha dua na sala Mungu ndiyo mtetezi wako..Binadam tutaongea mengi lakin Mungu ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho ya hatima zetu.