Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Acha kumshauri ujinga, au umetumwa?Fanton Mahal mke wako bado anakupenda, kwani tatizo lenu ni lipi lisilosameheka?
Mrudie mkeo.
Acha kumshauri ujinga, au umetumwa?Fanton Mahal mke wako bado anakupenda, kwani tatizo lenu ni lipi lisilosameheka?
Mrudie mkeo.
Hajakurupuka maana haikuwa mara ya kwanza. Alishafanya jaribio mara ya kwanza likashindikana akaomba msamaha yakaisha karudi tena mara ya pili na ya tatuKwa mfululizo wa matukio nilichoona ni kuwa ex-shem alikurupuka
Factnakala ya hukumu ulishapata?
Lakini kwa kurejesha penzi pale tena itakuwa mna act tu.. maana imani imesha ondoka.. .. na hamtoishi kama zamani tena.
.. ... ishi maisha yako mkuu.. ..
Amekosa channel kwa sasa. Ameshafanya huo ujinga zaidi ya mara tatu ,akipata channel anampiga tukioFanton Mahal mke wako bado anakupenda, kwani tatizo lenu ni lipi lisilosameheka?
Mrudie mkeo.
Nipigie simu nikusindikize 0713263033Imetoka, nitaifuata next week nilipigiwa simu na mahakama
Tupo na yeye bega kwa bega kuhakikisha ndoa imesambaratika kabisa na hakuna maelewano tena kati yao. Mwanamke mshenzi sana yule.Kingine unatakiwa upewe nyaraka ya hukumu ikiambatana na kitu kinaitwa DECREE hapo ndiyo unaenda RITA wanakupa cheti cha kuvunjika ndoa. Pambania hilo
Now i understand. Once bitten, twice shy.Amekosa channel kwa sasa. Ameshafanya huo ujinga zaidi ya mara tatu ,akipata channel anampiga tukio
Kama tayari anawatoto kwanini aingize matatizo mengine jumbani yake. Mtu ukipata fursa kama hiyo itumie to the fullest.Usikurupuke kuoa tena haraka. Hawa viumbe sio kabisa
hahahaha upo kuhakikisha harudi kama serikali ya mama.Hajakurupuka maana haikuwa mara ya kwanza. Alishafanya jaribio mara ya kwanza likashindikana akaomba msamaha yakaisha karudi tena mara ya pili na ya tatu
Naaamhahahaha upo kuhakikisha harudi kama serikali ya mama.
Mndengereko huyu wa rufijiNje ya topic,
Mkuu, Fanton Mahal wewe ni mhaya?
Ahaaaa na wewe umeachwa nini.sio kwa kumsagia sumu huko mama WA watuTupo na yeye bega kwa bega kuhakikisha ndoa imesambaratika kabisa na hakuna maelewano tena kati yao. Mwanamke mshenzi sana yule.
Huu si utundu bali ukorofiiii!Mkuu nachoona hapa ni wewe kurudiana na mkeo
Nitaweka wapi sura yangu Mimi jamani
Na Mimi nakutegemea uachike mazima nikusombe mzima mzima
You sound to be knowledgeable. ......hivi nikwelihuwezi kutambuwa wapi pa kutumia neno wara na nyaraka?kama hakimu alitoa hukumu kinachofata ataiyandaa nyaraka ya hukumu kama week moja hivi ila atakwambia njoo tarehe fulani atakupa hiyo nyaraka ya hukumu. Jitahidi siku ya kuchukua nyaraka za hukumu uende na mwanasheria muisome kabla hujasaini. Page ya mwisho kwenye nyaraka ya hukumu kuna kitu utakiona kimeandikwa decree
Kama decree haipo usisaini hiyo nyaraka ya talaka watakuwa wamekupiga kanyaboa maana yake mahakama bado haijavunja ndoa. RITA watakuomba nyaraka ya decree. RITA hawakupa cheti cha kuvunja ndoa kama nyaraka ya decree haipo
usijali kuwa na amaniYou sound to be knowledgeable. ......hivi nikwelihuwezi kutambuwa wapi pa kutumia neno wara na nyaraka?