LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #501
Ahsante sana. NitayazingatiaNimesoma kisa chako chote. Kusema kweli wewe kaka /baba una hekima sana Mungu azidi kukupigania na kukutia nguvu kwa hii mitihani unayopitia.Hukustahili haya ila ndo yalishatokea.Cha msingi amka anza upya.Sali sana kwa Mungu wako huyu mwanamke asitumie silaha Pendwa ya wanawake magaidi... UCHAWI.Maana wakishindwaga pote jambo la mwisho wanahamia kwenye kuroga tu.Mungu akuepushie na hili hata kama amekusudia kwako. Zidisha dua na sala Mungu ndiyo mtetezi wako..Binadam tutaongea mengi lakin Mungu ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho ya hatima zetu.
Chaliii babaaaaFanton Mahal mkuu kwahiyo umeruhusu penzi life kizembe hivii?😥😥
Yeah mkuuUlikuja mpa namba za simu?
Kwa mfululizo wa matukio nilichoona ni kuwa ex-shem alikurupukaChaliii babaaaa
Kuji organize upya kaka, kumbuka niliamua kuondoka kabisa na kuhamia mkoa kabisa nikaacha kila kitu ili kuanza kila kitu upyaaaPlan yako kwa sasa ni ipi?
Nakupata chiefUsikurupuke kuoa tena haraka. Hawa viumbe sio kabisa
Kwanini unaamini mkuu.Fanton Mahal mke wako bado anakupenda, kwani tatizo lenu ni lipi lisilosameheka?
Mrudie mkeo.
Haijawa kizembe chief, nilifanya niiioweza kuzuiaFanton Mahal mkuu kwahiyo umeruhusu penzi life kizembe hivii?😥😥
Imetoka, nitaifuata next week nilipigiwa simu na mahakamanakala ya hukumu ulishapata?
Lakini kwa kurejesha penzi pale tena itakuwa mna act tu.. maana imani imesha ondoka.. .. na hamtoishi kama zamani tena.
.. ... ishi maisha yako mkuu.. ..
Pole sana ndugu yangu.Kwanini unaamini mkuu.
UJue mtu mpaka afike hatua ya kukuweka ndani, kufungua kesi ya jinai dhidi yako, bado akaenda mahakamani kuvunja ndoa, kwamba mali zoote zipigwe mnada, halafu bado akishakukufilisi analazimisha mahakama iweke order ya wewe kuendelea kutunza watoto kama kawaida, sasa mkuu wangu huyo mtu hata ukimsamehe (kama ambavyo nimemsamehe), UNAPATA WAPI UJASIRI WA KURUDIANA NAE TENA???
Kama wamevuka miaka 7 walee mwenyewe mkuu. Mama yao ataanza kuwapa sumu ya maneno wakuchukie. Oili huyo mtalaka wako atakufilisi. Tatu mkishaachana na mkeo achana nae kimoja atakuletea magonjwa.Hapana man. Maisha yanaendelea, na hatujarudiana , japo kwasasa naona mzigo wa malezi na ungalizi wa watoto ndio anaanza kuona uzito wake. Simu zimeanza kwa mbaliiii
Kingine unatakiwa upewe nyaraka ya hukumu ikiambatana na kitu kinaitwa DECREE hapo ndiyo unaenda RITA wanakupa cheti cha kuvunjika ndoa. Pambania hiloKama wamevuka miaka 7 walee mwenyewe mkuu. Mama yao ataanza kuwapa sumu ya maneno wakuchukie. Oili huyo mtalaka wako atakufilisi. Tatu mkishaachana na mkeo achana nae kimoja atakuletea magonjwa.
Wanaume tunateteana hadi raha.Kingine unatakiwa upewe nyaraka ya hukumu ikiambatana na kitu kinaitwa DECREE hapo ndiyo unaenda RITA wanakupa cheti cha kuvunjika ndoa. Pambania hilo
MWaisaaPole sana ndugu yangu.
Ex shemeji ni mchaga wa wapi?
Okay, this is new chief. So naipata vipi hii decree? Na kumbe chet cha kuvunjika ndoa nakichukuiia Rita?Kingine unatakiwa upewe nyaraka ya hukumu ikiambatana na kitu kinaitwa DECREE hapo ndiyo unaenda RITA wanakupa cheti cha kuvunjika ndoa. Pambania hilo