adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Hilo jamaa uwe hodari jinga linachuki na waarabu hata mada zake nyingi hadi upande wa michezo na za chuki kwa Waarabu.Hawezi kukujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jamaa uwe hodari jinga linachuki na waarabu hata mada zake nyingi hadi upande wa michezo na za chuki kwa Waarabu.Hawezi kukujibu
Chuki za kijinga badala ya kutafuta pesa.Hilo jamaa uwe hodari jinga linachuki na waarabu hata mada zake nyingi hadi upande wa michezo na za chuki kwa Waarabu.
Ona hii mtu nyingine hukuHayo majangili kutoka uarabuni yatatamba kwa muda tu
Bandari itarudi kwenye mikono ya watanzania
Acha mafisadi wale pesa za waarabu
Chawa wa kwenye chupiHongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.
Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
Bunge hoyeeeee!! Taifa mbele ukabila na ukanda wa chadema ziiiii!!!Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.
Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
Shida yako ni uelewa wako wa mambo unaotokana na ujinga wako tu au chuki tuUmeshaambiwa mkataba hauna ukomo unaita chuki? umeambiwa mkataba unatunyima futsa ya kujitoa unaita wivu?wewe umeona ukomo kwenye ule mkataba? kama ndio, tuambie utakuwa wa muda gani? na upo kwenye kifungu kipi?
Kwa ulichoakiandika hapa, umeonesha hujui hata maana ya MoU na Preliminary Agreement, wewe ni mjinga uliyezoea kulamba makal.. ya Samia, kama pangekuwepo na nafasi ya makubaliano mengine unadhani wengi wangelalamika hivi?
Unaambiwa mkataba umeshaanza utekelezaji tangu October 2022, tena kabla hata haujajadiliwa leo na bunge!, halafu wewe kenge wakala wa shetani unaleta utani kwenye mali zetu..
Lord denning mpuuzi usiyejua chochote kwenye sheria, afadhali ubadili hiyo id.
Madalali ya mwarabu muuza watumwa weusi yamelewa rushwa ambayo imesambaa hadi kwa machawa wao mtandaoni.Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.
Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
madalali ya mwarabu yamevamia jf baada ya kuhongwa rushwa.Akikujibu basi .....
Jibu maswali niliyokuuliza wewe mbuzi si unajidai umeelewa?Shida yako ni uelewa wako wa mambo unaotokana na ujinga wako tu au chuki tu
Kama pamoja na maelezo yote bungeni leo hujaelewa naamini hata nipewe mwaka nikueleweshe huwezi elewa
Hata wakati mkataba wa gas unapitishwa na wabunge wa CCM, utetezi ulikuwa kama huu huu wako. Lakini baada ya JK kutoka madarakani, Magufuli alipoingia akaachana na mradi wa umeme wa gas, akajikita kwenye umeme wa maji kwa maelezo kuwa gas sio yetu imeshauzwa!Kwanza kuna nakala ya mkataba kwa tafsiri ya kiswahili?
Umeelewa pia kuwa huu sio mkataba wa mwisho ? Yaani baada ya hapa sasa pande zote zinaenda kukaa na kukubaliana kuhusu maeneo specific na terms zake?
Huko bungeni kwenye bahasha za kaki unapaamini? Anyways, hujawahi kuwa na hoja yenye mantiki isipokuwa uchawa na kujikombakomba ili upate cheo.Shida yako ni uelewa wako wa mambo unaotokana na ujinga wako tu au chuki tu
Kama pamoja na maelezo yote bungeni leo hujaelewa naamini hata nipewe mwaka nikueleweshe huwezi elewa
Na wewe kuwa mtu makini basi hata kidogo? Nani amekuambia sasa hivi kuna mkataba ! Kilichokwenda bungeni ni kuomba ridhaa ya kujadilina na waarabu . Hakuna mkataba bado. Ridhaa ishatoka maisha yanaendelea na wenye wivu wajinyonge.Umeshaambiwa mkataba hauna ukomo unaita chuki? umeambiwa mkataba unatunyima fursa ya kujitoa unaita wivu?wewe umeona ukomo kwenye ule mkataba? kama ndio, tuambie utakuwa wa muda gani? na upo kwenye kifungu kipi?