Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

Hilo jamaa uwe hodari jinga linachuki na waarabu hata mada zake nyingi hadi upande wa michezo na za chuki kwa Waarabu.
Chuki za kijinga badala ya kutafuta pesa.

Au labda aliwaona wale Wasichana wa Kinaijeria waliofanywa Human toilet huko Dubai akafikiri ni Watanzania.?
 
Kwa logic yako sijui kwanini hata tuliamua kupata uhuru tungeendelea tu kuwaacha watu watutawale na kutufanyia kila kitu...

It seems hakuna tunaloliweza...

Badala ya kuweka misingi ya kwenda kuwekeza kwenye nchi nyingine tupo hapa tunapongezana kufungulia milango ili kila kitu kifanywe na so called wawekezaji....;
 
Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.

Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.

Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
Chawa wa kwenye chupi
 
Bunge hoyeeeee!! Taifa mbele ukabila na ukanda wa chadema ziiiii!!!
 
Umeshaambiwa mkataba hauna ukomo unaita chuki? umeambiwa mkataba unatunyima fursa ya kujitoa unaita wivu?wewe umeona ukomo kwenye ule mkataba? kama ndio, tuambie utakuwa wa muda gani? na upo kwenye kifungu kipi?

Kwa ulichoakiandika hapa, umeonesha hujui hata maana ya MoU na Preliminary Agreement, wewe ni mjinga uliyezoea kulamba makal.. ya Samia, kama pangekuwepo na nafasi ya makubaliano mengine unadhani wengi wangelalamika hivi?

Unaambiwa mkataba umeshaanza utekelezaji tangu October 2022, tena kabla hata haujajadiliwa leo na bunge!, halafu wewe kenge wakala wa shetani unaleta utani kwenye mali zetu..

Lord denning mpuuzi usiyejua chochote kwenye sheria, afadhali ubadili hiyo id.
 
Umeshaambiwa mkataba hauna ukomo unaita chuki? umeambiwa mkataba unatunyima futsa ya kujitoa unaita wivu?wewe umeona ukomo kwenye ule mkataba? kama ndio, tuambie utakuwa wa muda gani? na upo kwenye kifungu kipi?

Kwa ulichoakiandika hapa, umeonesha hujui hata maana ya MoU na Preliminary Agreement, wewe ni mjinga uliyezoea kulamba makal.. ya Samia, kama pangekuwepo na nafasi ya makubaliano mengine unadhani wengi wangelalamika hivi?

Unaambiwa mkataba umeshaanza utekelezaji tangu October 2022, tena kabla hata haujajadiliwa leo na bunge!, halafu wewe kenge wakala wa shetani unaleta utani kwenye mali zetu..

Lord denning mpuuzi usiyejua chochote kwenye sheria, afadhali ubadili hiyo id.
Shida yako ni uelewa wako wa mambo unaotokana na ujinga wako tu au chuki tu

Kama pamoja na maelezo yote bungeni leo hujaelewa naamini hata nipewe mwaka nikueleweshe huwezi elewa
 
Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.

Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.

Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
Madalali ya mwarabu muuza watumwa weusi yamelewa rushwa ambayo imesambaa hadi kwa machawa wao mtandaoni.
 
Shida yako ni uelewa wako wa mambo unaotokana na ujinga wako tu au chuki tu

Kama pamoja na maelezo yote bungeni leo hujaelewa naamini hata nipewe mwaka nikueleweshe huwezi elewa
Jibu maswali niliyokuuliza wewe mbuzi si unajidai umeelewa?
 
Kwanza kuna nakala ya mkataba kwa tafsiri ya kiswahili?
Umeelewa pia kuwa huu sio mkataba wa mwisho ? Yaani baada ya hapa sasa pande zote zinaenda kukaa na kukubaliana kuhusu maeneo specific na terms zake?
Hata wakati mkataba wa gas unapitishwa na wabunge wa CCM, utetezi ulikuwa kama huu huu wako. Lakini baada ya JK kutoka madarakani, Magufuli alipoingia akaachana na mradi wa umeme wa gas, akajikita kwenye umeme wa maji kwa maelezo kuwa gas sio yetu imeshauzwa!

Hivyo hapa huleti utetezi mpya, bali unapitapita mlemle walikopita chawa wengine wa kila mtawala.
 
Shida yako ni uelewa wako wa mambo unaotokana na ujinga wako tu au chuki tu

Kama pamoja na maelezo yote bungeni leo hujaelewa naamini hata nipewe mwaka nikueleweshe huwezi elewa
Huko bungeni kwenye bahasha za kaki unapaamini? Anyways, hujawahi kuwa na hoja yenye mantiki isipokuwa uchawa na kujikombakomba ili upate cheo.
 
Umeshaambiwa mkataba hauna ukomo unaita chuki? umeambiwa mkataba unatunyima fursa ya kujitoa unaita wivu?wewe umeona ukomo kwenye ule mkataba? kama ndio, tuambie utakuwa wa muda gani? na upo kwenye kifungu kipi?

Kwa ulichoakiandika hapa, umeonesha hujui hata maana ya MoU na Preliminary Agreement, wewe ni mjinga uliyezoea kulamba makal.. ya Samia, kama pangekuwepo na nafasi ya makubaliano mengine unadhani wengi wangelalamika hivi?

Unaambiwa mkataba umeshaanza utekelezaji tangu October 2022, tena kabla hata haujajadiliwa leo na bunge!, halafu wewe kenge wakala wa shetani unaleta utani kwenye mali zetu..

Lord denning mpuuzi usiyejua chochote kwenye sheria, afadhali ubadili hiyo id.
Na wewe kuwa mtu makini basi hata kidogo? Nani amekuambia sasa hivi kuna mkataba ! Kilichokwenda bungeni ni kuomba ridhaa ya kujadilina na waarabu . Hakuna mkataba bado. Ridhaa ishatoka maisha yanaendelea na wenye wivu wajinyonge.
 
Back
Top Bottom