mbona wewe uliniachakomaa na ndoa yako Mkuu! Usikubali kuvurugwa na mwanasiasa maana siasa si hasa!
mbona wewe uliniacha
mbona wewe uliniacha
comando keshaleta posa au longolongo tu kama mjeda?ndo hapo sasa.
nipo arusha ujueSijakuacha mpendwa. Nipo naiangalia picha yako hapa!
nipo arusha ujue
Ushawahi kunisikia naenda Meatu?
Wewe ndio kila siku uko njiani kwenda huko kuwaona...unadhani wangekuwa wangu nisingeenda?
Kwanini uwe na upendo wa namna hiyo kwa familia ambayo haikuhusu kwa karibu?
Ni watoto wako na Dena Amsi kama hajui ndio ajue kuwa anateseka kwa ajili ya hao watoto!
Hahahahaaaaa
Acha kujitetea aisee
Unakumbuka yule mama yao alikufungulia kesi ambayo ndio ukienda huwa unakwenda kujibu mashtaka ya kumtelekeza na watoto wako wa damu! lol huna hata huruma kwa familia yako!
Na nakuambia lazma kesi ushindwe na ukae nao hao wanao sasa sijui Dena Amsi utamwambia nini juu ya hao watoto na mama yao!