Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

polygamy............ndoa ya mitala eenh?!?! wake wengi!!!

....gamy.............. waume wengi.....yaitwaje?!?

lugha ngumu eenh!!!

cc: Madame B and the hubbies!

Nipe shule basi namie niwamiliki kama sita na nusu hivi....:A S 39:
 
Last edited by a moderator:

mweeeeeeeh!
hiki kibabu kwa udaku hakijambo.
sasa utasubiri sana manake simba mwenda pole ndiye mla nyama
 

Ha ha ha Erickb52 acha kuchafua watu Madame B ni woman of substance ....Muache afanye uamuzi
 
Last edited by a moderator:

chei chei chei chei chei hongera sana we ni limwanaume muraaaaaa umekomaa sana,Madame B ni wako hadi kufa loh kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
ah ah! nimekumbuka nataka ela tuition, mie mzima!
Nimekukumbuka kweli!
Daaaaahhhhh my mdogo mkorofi wewe!!!yaani uko tayari kutoa pesa yako mfukoni ili kuvunja chama cha wenzio!!!!haya banah!!!ngumi zikianza naomba mi niwe refa.mzima lakini??????
 
This thread deserves to be given the 'sticky' status,mods please do the needful!
Copy: Invisible
 
Last edited by a moderator:
Mhmm wewe Chimbuvu unaubavu wakukwaana na Commandoo??nakuonea huruma ila ningebahatika kumjua Madame B ningekwambia huyu ni mwanamke wa aina gani!!Ila kwa ushahuri naona kuna mtu anampa ushahuri sana humu katika jukwaa jaribu kumfata utaambiwa na kama habari za komando ni zaukweli basi itakuwa mbinde maana hautajua komando kaingiaje kwako!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…