Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Hivi Alliens wanakula chakula gani?

Moja imekwenda wapi? Ni ipi?

"Since 1930 when it was first discoved,pluto has been referred to as the ninth planet.However, in the year 2006 the International Astronomical Union (IAU) demote it from being a planet toa dwarf planet..this is because it does not satisfy the third condition of being a planet [ it should have cleared its orbital neighbourhood ] it shares its orbital neighbourhood with the kuiper belt objects"
 
Nadhani kwanza tuestablish kama kweli hao viumbe wapo beyond any reasonable doubt. Vinginevyo kuhangaika na fictions tutakuwa tunapoteza muda tu!!!!! I don't believe in such fictions!!!!
 
Hivi ni vitu visivyotambulika vinavyopaa au kudondoka kutoka angani. Vitu hivi vinatajwa kuwa na uhusiano mkubwa na aliens na wanasayansi wa Kimarekani.
Hizi UFO zipo za aina mbili. Kuna zinazotoka katika uso wa dunia ambako kuna watu waliostaarabika. UFO nyingine ipo nje ya uso wa dunia inawezekana angani au katika sayari nyingine.
Ukiachilia mbali vimondo unaweza ukaona kitu kinang’aa angani na ghafla kikapotea kutokana na spidi yake. Hizo ndizo UFO.
Mara nyingi vitu hivi vimekuwa vikionekana katika rada za duniani akiwemo aliens maarufu waitwao Ashar Sheran na Valiant Thor kutoka Sayari ya Venus.
Inasemekana kuwa nchi zilizoendelea hasa Marekani huwa hawataki vitu kama UFO au hawa aliens wawe na ukjaribu na nchi masikini kwani nazo zitakuwa na nguvu ya kuzifikia au kuzipita kabisa.
Watu wengi hawafahamu kiundani kuhusu UFO. UFO ikipita kwa mdano Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mchana inaweza kusababisha taharuki kwa watu na ajali nyingi kwa wakati mmoja.
Katika kutafuta undani juu ya mambo haya, mtunzi na mwandishi mashuhuri duniani, James Hadley Chase kupitia kitabu chake cha Dooms Day Conspiracy alijaribu kuelezea habari za hawa UFO vizuri, namna serikali kubwa zinavyoficha uwepo wa aliens na UFO kwa kuhofia kuzusha hofu kwa raia.
Ukweli utabaki palepale kuwa kuna viumbe wanaoishi nje ya dunia ambao wana teknolojia kubwa kuliko ya binadamu na kinachotokea mara kwa mara ni kwamba huwa vyombo vyao angani vinakuja duniani.
Unakumbuka kile chombo cha aliens kilichodondoka nchini Mexico? Ilisemekana kuwa kilipodondoka tu ndege za kijeshi za Kimarekani zilifika ndani ya muda mfupi ambapo wanasayansi walikibeba na kukipeleka makao yao makuu, NASA. Wanasayansi watano wa Marekani waliowahi kujishughulisha sana na utafiti juu hawa viumbe walifanikiwa kugundua lugha yao.
Mmoja wa wanasayansi hao alipojaribu kuvujisha siri katika vyombo vya habari, wanasayansi hao walipotea katika mazingira ya kutatanisha na hawakuonekana tena.
Nchi kubwa kama Urusi, Marekani, China, Uingereza na Japan zina hofu kubwa juu ya aliens kwamba wakipata nafasi ya kujitanua kiteknolojia hapa duniani itakuwa ndiyo mwisho wa ustaarabu wa binadamu ndiyo maana zinajitahidi sana kuzuia au kujipa wenyewe teknolojia yao ili itakapotokea aliens wakavamia duniani wao wawe tayari wamejiweka vizuri.
 
Hadithi za kusadikika kama hizi tulikuaga tunahadithiwa enzi hizoo za ujamaa
sitaki kuamini eti karne hii bado kuna wath wanasadiki
 
Alliens ni viumbe kabisa tena vina mifupa kabisa, sema form yao ni tofauti na za kibinadamu, hata wenyewe kuna weupe na weusi kama kulivyo huku duniani
Mkuu acha kuchekesha watu bana we umewaona wapi? Youtube............you must be kidding
 
Mkuu, soma hapa chini, wanamzungumzia Allien maarufu "GREY ALLIEN"

Take the basic look of the Greys to start with. They look very similar to humans but more advanced.

  • Their heads are larger because of the increased size of the brain.
  • They have grown taller and thinner over time just as we have over time.
  • Their fingers are more slender and longer because of less physical labor and more use with computers and robotics.
  • They have larger darker eyes from being exposed to sunlight remarkably less then we are normally used to and the use of computing equipment.
  • A smaller mouth from not needing to speak because of the use of telepathy and moving from eating meat to smaller easier digestible "fuel".
  • No ears for the similar reasons of not needing the use of hearing as much.
  • The skin of the aliens is a Gray from the mixing of races on Earth turning it into a plain gray mix.

Other things to consider that can be argued but are still worth mentioning are the Gray aliens that visit us seem to have a great understanding of the different languages here on Earth. Did they learn this over time while studying us or is it because it's part of their past? The Grey space ships IE the flying saucers haven't changed over time which could because they are all coming from the same point in the future just visiting different times.
 
Hivi ni vitu visivyotambulika vinavyopaa au kudondoka kutoka angani. Vitu hivi vinatajwa kuwa na uhusiano mkubwa na aliens na wanasayansi wa Kimarekani.
Hizi UFO zipo za aina mbili. Kuna zinazotoka katika uso wa dunia ambako kuna watu waliostaarabika. UFO nyingine ipo nje ya uso wa dunia inawezekana angani au katika sayari nyingine.
Ukiachilia mbali vimondo unaweza ukaona kitu kinang'aa angani na ghafla kikapotea kutokana na spidi yake. Hizo ndizo UFO.
Mara nyingi vitu hivi vimekuwa vikionekana katika rada za duniani akiwemo aliens maarufu waitwao Ashar Sheran na Valiant Thor kutoka Sayari ya Venus.
Inasemekana kuwa nchi zilizoendelea hasa Marekani huwa hawataki vitu kama UFO au hawa aliens wawe na ukjaribu na nchi masikini kwani nazo zitakuwa na nguvu ya kuzifikia au kuzipita kabisa.
Watu wengi hawafahamu kiundani kuhusu UFO. UFO ikipita kwa mdano Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mchana inaweza kusababisha taharuki kwa watu na ajali nyingi kwa wakati mmoja.
Katika kutafuta undani juu ya mambo haya, mtunzi na mwandishi mashuhuri duniani, James Hadley Chase kupitia kitabu chake cha Dooms Day Conspiracy alijaribu kuelezea habari za hawa UFO vizuri, namna serikali kubwa zinavyoficha uwepo wa aliens na UFO kwa kuhofia kuzusha hofu kwa raia.
Ukweli utabaki palepale kuwa kuna viumbe wanaoishi nje ya dunia ambao wana teknolojia kubwa kuliko ya binadamu na kinachotokea mara kwa mara ni kwamba huwa vyombo vyao angani vinakuja duniani.
Unakumbuka kile chombo cha aliens kilichodondoka nchini Mexico? Ilisemekana kuwa kilipodondoka tu ndege za kijeshi za Kimarekani zilifika ndani ya muda mfupi ambapo wanasayansi walikibeba na kukipeleka makao yao makuu, NASA. Wanasayansi watano wa Marekani waliowahi kujishughulisha sana na utafiti juu hawa viumbe walifanikiwa kugundua lugha yao.
Mmoja wa wanasayansi hao alipojaribu kuvujisha siri katika vyombo vya habari, wanasayansi hao walipotea katika mazingira ya kutatanisha na hawakuonekana tena.
Nchi kubwa kama Urusi, Marekani, China, Uingereza na Japan zina hofu kubwa juu ya aliens kwamba wakipata nafasi ya kujitanua kiteknolojia hapa duniani itakuwa ndiyo mwisho wa ustaarabu wa binadamu ndiyo maana zinajitahidi sana kuzuia au kujipa wenyewe teknolojia yao ili itakapotokea aliens wakavamia duniani wao wawe tayari wamejiweka vizuri.

Mmmh!
Bado sijaamini!
 
Inaelekea hufuatilii hizi habari...jamaa nampata vizuri sana!

Ni kweli sifuatilii hizi habari!
Kuna maswali najiuliza hapa:
wanazaliwa vipi?
Wanakufaje?
...
Mbuna vitabu vya Mungu havijagusia hata chembe kuhusu hivi viumbe?
 
Vitabu vya Mungu vinatuhusu sisi binadamu tunaoishi hii sayari tunayokanyaga na kuringia mafao, hao Alliens wenyewe maisha yao ni huko sayari zingine dunia hii siyo mahala pao!

Wanazaliwa kwa njia ya mbegu alafu wanakufa kama binadamu anavyokufa...
 
Mkuu, soma hapa chini, wanamzungumzia Allien maarufu "GREY ALLIEN"

Take the basic look of the Greys to start with. They look very similar to humans but more advanced.

  • Their heads are larger because of the increased size of the brain.
  • They have grown taller and thinner over time just as we have over time.
  • Their fingers are more slender and longer because of less physical labor and more use with computers and robotics.
  • They have larger darker eyes from being exposed to sunlight remarkably less then we are normally used to and the use of computing equipment.
  • A smaller mouth from not needing to speak because of the use of telepathy and moving from eating meat to smaller easier digestible "fuel".
  • No ears for the similar reasons of not needing the use of hearing as much.
  • The skin of the aliens is a Gray from the mixing of races on Earth turning it into a plain gray mix.

Other things to consider that can be argued but are still worth mentioning are the Gray aliens that visit us seem to have a great understanding of the different languages here on Earth. Did they learn this over time while studying us or is it because it's part of their past? The Grey space ships IE the flying saucers haven't changed over time which could because they are all coming from the same point in the future just visiting different times.
zakuambiwa changanya na zakwako mkuu
internet inafundisha mengi na inadanganya mengi

Hakuna kitu kama hicho zaidi ya theories zilizozagaa kwenye website kibao tena zikiwa na picha na video
anyway amani unavyo amani
 
Hahahahaaaaa, labda umeona MISUKULE mkuu!
Mimi kwenye mitandao wanasema wapo wenye form tofauti tofauti, kuna warefu, wa kati na wafupi, sasa wale wafupi sana inasemekana wanaitwa Grey Alliens, sasa hao ndo wenye akili na wana tabia ya kuchungulia kwa kuinuka juu tu na unaona kichwa kinatokeza kwa juu tofauti na sisi binadamu ambao tunachungulia kwa staili yoyote kulingana na mazingira, hawana nywele popote kwenye miili yao, kinachonipa shida ni kwenye misosi yao
 
MPENZI msomaji ungana nami katika simulizi hii mpya ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana.

Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na binadamu. Viumbe hao waliogundulika karne kadhaa zilizizopita wameshatengenezewa filamu nyingi na wasanii mbalimbali duniani (tutazichambua huko mbele).
Aliens wapo wa rangi tofauti kama kijani, weupe, weusi, njano, zambarau na kila aina ya rangi.
Inaaminika kuwa Aliens wanaoishi angani wana akili nyingi kuliko binadamu. Wana mfumo wa kompyuta uitwao Alien Software na wapo juu kiteknolojia kuliko binadamu, tatizo tu hawavai nguo!

Tofauti na binadamu ambaye anafanya kazi kwa hatua moja kwenda nyingine, Aliens wao hufanya mambo kinyume kabisa. Kwa mfano wakitaka kusema ‘naomba maji’ husema ‘maji naomba’ yaani cha nyuma kinakwenda mbele na cha mbele kinarudi nyuma. Kama tunavyowashangaa, nao pia wanatushangaa na kutuona viumbe wa ajabu.
Wachambuzi wa mambo ya anga walishaandika ripoti nyingi kuhusu viumbe hao ambao huja duniani na kurudi angani.
Swali ni je, viumbe hao wanaishi katika sayari gani? Wataalam hao wanalijibu swali hilo kwa kusema haijulikani moja kwa moja wanaishi sayari gani lakini kwa uhakika siyo kwenye mwezi (kumbuka mwezi siyo sayari).
Inawezekana bado hujaelewa simulizi hii. Bermuda Triangle ni eneo la pembetatu la bahari lililopo kati ya nchi tatu katika Bahari ya Atlantiki. Miaka kadhaa huko nyuma viumbe hao waliwahi kutua eneo hilo na kuweka historia (nitaisimulia huko mbele).

Pia waliwahi kuonekana Kisiwa cha Bermuda pwani ya Mashariki mwa Marekani, Kisiwa cha Puerto Rico kilichopo Kaskazini mwa Carrebian na Fort Lauderdale huko Florida, Marekani.
Umewahi kusikia vitu mbalimbali duniani vikisemekana vimepotea katika mazingira ya kutatanisha? Aliens wanahusishwa na upoteaji wa meli baharini hasa za mizigo huku watu wakiamini huwa zinazama lakini uchunguzi ukifanyika meli hizo huwa hazionekani hata ndani ya maji baharini.
Aliens wanatajwa kuhusika na upotevu wa watu duniani ikiaminika kuwa labda watu hao walikufa lakini ukweli ni kwamba huchukuliwa na viumbe hao.
Ndege za kijeshi zimeripotiwa mara nyingi kupotea au kutokuonekana milele katika eneo la Bermuda Triangle ikieleza kuwa Aliens ndiyo wahusika wa upotevu huo.
Ujio wa Aliens katika eneo la Bermuda Triangle ulisababisha kisiwa hicho kupata umaarufu duniani na kupewa jina la Devil’s Sea (Bahari ya Shetani) ambapo binadamu wamekuwa wakiamini au kujenga imani potofu kuwa shetani amekuwa na makazi katika eneo hilo na kuwapoteza wasafiri wa majini. Wengine huhisi ni ushirikina.
Wapo binadamu wanaoamini kuwa Aliens walikuwepo duniani tangu enzi hizo kabla ya binadamu na hawajaondoka.
Si sehemu hizo pekee lakini wamekuwa wakitua maeneo mbalimbali duniani na kuna baadhi ya serikali duniani zinawajua.
Wataalam wa anga wanadai Aliens wako mbali kimaendeleo na wanafanya wanavyotaka.
 
Kama unaamini binadamu alikua nyani na uwepo wa allies na hivo hivo, hizo ni story tu za wanasayansi. Zamani nilikua naamini uwepo wa zombie na vampire kwa kuwaona tu kwenye movie

kwahiyo unamaanisha binadamu wa sasa watapotea na kuja wengine?
 
Hayo ni mambo ya ulimwengu wa kiroho.
Alliens,Ghost UFO's, etc ni vitu ambavyo KAMWE haviwezi kuwa proved kisayansi.
Kwa hiyo wanaoamini uwepo wao mimi hizo ni imani zao.
 
Alliens wapo wanakula nyama za binadamu.

Nimeshawahi kuwaona.
 
Afu kuonyesha kua watu hawajui hata wanaloongelea page 1 karibia wote neno "Alien" wameweka double "ll" kumcopy mleta mada aliyekosea.. Sema mimi huyu aliyesema kaangalia YouTube nampongeza maana kanifanya nicheke sana.. Aliens hawapo na hadi siku evidence ipatikane ndo tutaamini, before that bado.. Hizo UFO videos unaona YouTube ni simply made up kupata views watu watengeneze hela, conspiracy theory mbona tunaanzisha kila siku tunafoji video afu Youtube inalipa vizuri tu.. Hukuona ile ya mermaids ilifojiwa na NatGeo millions of people wakaamini...

Kama unaamini alien wapo basi unaamini pia binadamu alikua sokwe, simply unaamini in science na evolution, basi kama ni hivo subiri evidence ikipatikana tutajua wanakula nini.. Hilo swali mapema sana kuliuliza
 
Back
Top Bottom