Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
sayari zimebaki nane tu
Moja imekwenda wapi? Ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sayari zimebaki nane tu
Haaa haaa haaaaa! unachunguza kwenye youtube? umetumia nn kuchunguza?
Moja imekwenda wapi? Ni ipi?
Hadithi za kusadikika kama hizi tulikuaga tunahadithiwa enzi hizoo za ujamaaHivi ni vitu visivyotambulika vinavyopaa au kudondoka kutoka angani. Vitu hivi vinatajwa kuwa na uhusiano mkubwa na aliens na wanasayansi wa Kimarekani.
Hizi UFO zipo za aina mbili. Kuna zinazotoka katika uso wa dunia ambako kuna watu waliostaarabika. UFO nyingine ipo nje ya uso wa dunia inawezekana angani au katika sayari nyingine.
Ukiachilia mbali vimondo unaweza ukaona kitu kinangaa angani na ghafla kikapotea kutokana na spidi yake. Hizo ndizo UFO.
Mara nyingi vitu hivi vimekuwa vikionekana katika rada za duniani akiwemo aliens maarufu waitwao Ashar Sheran na Valiant Thor kutoka Sayari ya Venus.
Inasemekana kuwa nchi zilizoendelea hasa Marekani huwa hawataki vitu kama UFO au hawa aliens wawe na ukjaribu na nchi masikini kwani nazo zitakuwa na nguvu ya kuzifikia au kuzipita kabisa.
Watu wengi hawafahamu kiundani kuhusu UFO. UFO ikipita kwa mdano Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mchana inaweza kusababisha taharuki kwa watu na ajali nyingi kwa wakati mmoja.
Katika kutafuta undani juu ya mambo haya, mtunzi na mwandishi mashuhuri duniani, James Hadley Chase kupitia kitabu chake cha Dooms Day Conspiracy alijaribu kuelezea habari za hawa UFO vizuri, namna serikali kubwa zinavyoficha uwepo wa aliens na UFO kwa kuhofia kuzusha hofu kwa raia.
Ukweli utabaki palepale kuwa kuna viumbe wanaoishi nje ya dunia ambao wana teknolojia kubwa kuliko ya binadamu na kinachotokea mara kwa mara ni kwamba huwa vyombo vyao angani vinakuja duniani.
Unakumbuka kile chombo cha aliens kilichodondoka nchini Mexico? Ilisemekana kuwa kilipodondoka tu ndege za kijeshi za Kimarekani zilifika ndani ya muda mfupi ambapo wanasayansi walikibeba na kukipeleka makao yao makuu, NASA. Wanasayansi watano wa Marekani waliowahi kujishughulisha sana na utafiti juu hawa viumbe walifanikiwa kugundua lugha yao.
Mmoja wa wanasayansi hao alipojaribu kuvujisha siri katika vyombo vya habari, wanasayansi hao walipotea katika mazingira ya kutatanisha na hawakuonekana tena.
Nchi kubwa kama Urusi, Marekani, China, Uingereza na Japan zina hofu kubwa juu ya aliens kwamba wakipata nafasi ya kujitanua kiteknolojia hapa duniani itakuwa ndiyo mwisho wa ustaarabu wa binadamu ndiyo maana zinajitahidi sana kuzuia au kujipa wenyewe teknolojia yao ili itakapotokea aliens wakavamia duniani wao wawe tayari wamejiweka vizuri.
Mkuu acha kuchekesha watu bana we umewaona wapi? Youtube............you must be kiddingAlliens ni viumbe kabisa tena vina mifupa kabisa, sema form yao ni tofauti na za kibinadamu, hata wenyewe kuna weupe na weusi kama kulivyo huku duniani
Mkuu acha kuchekesha watu bana we umewaona wapi? Youtube............you must be kidding
Hivi ni vitu visivyotambulika vinavyopaa au kudondoka kutoka angani. Vitu hivi vinatajwa kuwa na uhusiano mkubwa na aliens na wanasayansi wa Kimarekani.
Hizi UFO zipo za aina mbili. Kuna zinazotoka katika uso wa dunia ambako kuna watu waliostaarabika. UFO nyingine ipo nje ya uso wa dunia inawezekana angani au katika sayari nyingine.
Ukiachilia mbali vimondo unaweza ukaona kitu kinang'aa angani na ghafla kikapotea kutokana na spidi yake. Hizo ndizo UFO.
Mara nyingi vitu hivi vimekuwa vikionekana katika rada za duniani akiwemo aliens maarufu waitwao Ashar Sheran na Valiant Thor kutoka Sayari ya Venus.
Inasemekana kuwa nchi zilizoendelea hasa Marekani huwa hawataki vitu kama UFO au hawa aliens wawe na ukjaribu na nchi masikini kwani nazo zitakuwa na nguvu ya kuzifikia au kuzipita kabisa.
Watu wengi hawafahamu kiundani kuhusu UFO. UFO ikipita kwa mdano Dar es Salaam, wakati wa shughuli za mchana inaweza kusababisha taharuki kwa watu na ajali nyingi kwa wakati mmoja.
Katika kutafuta undani juu ya mambo haya, mtunzi na mwandishi mashuhuri duniani, James Hadley Chase kupitia kitabu chake cha Dooms Day Conspiracy alijaribu kuelezea habari za hawa UFO vizuri, namna serikali kubwa zinavyoficha uwepo wa aliens na UFO kwa kuhofia kuzusha hofu kwa raia.
Ukweli utabaki palepale kuwa kuna viumbe wanaoishi nje ya dunia ambao wana teknolojia kubwa kuliko ya binadamu na kinachotokea mara kwa mara ni kwamba huwa vyombo vyao angani vinakuja duniani.
Unakumbuka kile chombo cha aliens kilichodondoka nchini Mexico? Ilisemekana kuwa kilipodondoka tu ndege za kijeshi za Kimarekani zilifika ndani ya muda mfupi ambapo wanasayansi walikibeba na kukipeleka makao yao makuu, NASA. Wanasayansi watano wa Marekani waliowahi kujishughulisha sana na utafiti juu hawa viumbe walifanikiwa kugundua lugha yao.
Mmoja wa wanasayansi hao alipojaribu kuvujisha siri katika vyombo vya habari, wanasayansi hao walipotea katika mazingira ya kutatanisha na hawakuonekana tena.
Nchi kubwa kama Urusi, Marekani, China, Uingereza na Japan zina hofu kubwa juu ya aliens kwamba wakipata nafasi ya kujitanua kiteknolojia hapa duniani itakuwa ndiyo mwisho wa ustaarabu wa binadamu ndiyo maana zinajitahidi sana kuzuia au kujipa wenyewe teknolojia yao ili itakapotokea aliens wakavamia duniani wao wawe tayari wamejiweka vizuri.
Mmmh!
Bado sijaamini!
Inaelekea hufuatilii hizi habari...jamaa nampata vizuri sana!
Ni kweli sifuatilii hizi habari!
Kuna maswali najiuliza hapa:
wanazaliwa vipi?
Wanakufaje?
...
Mbuna vitabu vya Mungu havijagusia hata chembe kuhusu hivi viumbe?
zakuambiwa changanya na zakwako mkuuMkuu, soma hapa chini, wanamzungumzia Allien maarufu "GREY ALLIEN"
Take the basic look of the Greys to start with. They look very similar to humans but more advanced.
- Their heads are larger because of the increased size of the brain.
- They have grown taller and thinner over time just as we have over time.
- Their fingers are more slender and longer because of less physical labor and more use with computers and robotics.
- They have larger darker eyes from being exposed to sunlight remarkably less then we are normally used to and the use of computing equipment.
- A smaller mouth from not needing to speak because of the use of telepathy and moving from eating meat to smaller easier digestible "fuel".
- No ears for the similar reasons of not needing the use of hearing as much.
- The skin of the aliens is a Gray from the mixing of races on Earth turning it into a plain gray mix.
Other things to consider that can be argued but are still worth mentioning are the Gray aliens that visit us seem to have a great understanding of the different languages here on Earth. Did they learn this over time while studying us or is it because it's part of their past? The Grey space ships IE the flying saucers haven't changed over time which could because they are all coming from the same point in the future just visiting different times.
Mimi kwenye mitandao wanasema wapo wenye form tofauti tofauti, kuna warefu, wa kati na wafupi, sasa wale wafupi sana inasemekana wanaitwa Grey Alliens, sasa hao ndo wenye akili na wana tabia ya kuchungulia kwa kuinuka juu tu na unaona kichwa kinatokeza kwa juu tofauti na sisi binadamu ambao tunachungulia kwa staili yoyote kulingana na mazingira, hawana nywele popote kwenye miili yao, kinachonipa shida ni kwenye misosi yao
Kama unaamini binadamu alikua nyani na uwepo wa allies na hivo hivo, hizo ni story tu za wanasayansi. Zamani nilikua naamini uwepo wa zombie na vampire kwa kuwaona tu kwenye movie