Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Wakati mwenda zake anatumia nguvu kupambana na upinzani mbona ulikua unashangilia au akili hizi zimekujia leo?Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
2025 Samia atashinda kwa 99%
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
CCM itaendelea kupeta
2025 Samia atashinda kwa 99%
Hamnaga akili nyingine zaidi ya kuua upinzani? Ukifa wewe unapata nini au mumeo anacheo huko ccm??Tokea mama Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.
Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga.
Mama akiendelea hivi mpaka 2025 upinzani utakua na wakati mgumu hasa kwenye nafasi ya uraisi.
acha kuwadanganya waTanzania. Kifupi jikite kwenye mambo ya kujenga uchumiTokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.
Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga, mama akiendelea hivi mpaka 2025 upinzani utakua na wakati mgumu hasa kwenye nafasi ya Urais.
Tokea mama Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.
Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga.
Mama akiendelea hivi mpaka 2025 upinzani utakua na wakati mgumu hasa kwenye nafasi ya uUpizani si kupinga kila kitu bali kukosoa pale penye hitilafu ili maisha katika jamii yawe bora. Kama Mama anafanya yale ambayo wapinzani wanayapigia kelele, kuwepo upinzani si muhimu.
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
CCM itaendelea kupeta
2025 Samia atashinda kwa 99%
Chama-dola, katiba boya, tume boya, kila kitu boya - serikali aina ya oligarchy.CCM baba lao
Rais Samia Mama lao
Tundu akae kwa kutulia, CCM ipo sanaaaaaa
Ingekuwa sahihi kama haya ma - uchafu ya uonevu, uvunjivu Wa haki za binadamu, mauaji, utesaji watu anayojaribu kuyafuta au kuyarekebisha yasingekuwa yamefanyika kabisa na kusababisha vilio kila mahali....Tokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.
Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga, mama akiendelea hivi mpaka 2025 upinzani utakua na wakati mgumu hasa kwenye nafasi ya Urais.
Unadhani upinzani unakufa kirahisi hivyoTokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.
Kwa maono yangu hivi anavyofanya mama ndio kuua upinzani, sio kuwakamata na kuwatisha na kuwabambikia kesi na kuwafunga, mama akiendelea hivi mpaka 2025 upinzani utakua na wakati mgumu hasa kwenye nafasi ya Urais.
Kutenda haki sio kuua upinzani. Sasa tutaenda kwenye ushindani wa hoja na sera ambao ni msingi wa femokrasia ya vyama. Tunaondokana na siasa za kibabe na kibeberu.Tokea Rais Samia aingie madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Naona kila anachofanya anapata sifa kutoka kwa watu wengi hasa wa upinzani.