Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida.
Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na Rami, Meru Deluxe ilikuwa guest bwana duuh zamani ni zamani.
Ni hivyo tu wakuu
Pang Fung Mi
Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na Rami, Meru Deluxe ilikuwa guest bwana duuh zamani ni zamani.
Ni hivyo tu wakuu
Pang Fung Mi