Hivi ATCL kufanya safari za ndege Chato, hakutaliletea hasara kibiashara Shirika hilo?

Hivi ATCL kufanya safari za ndege Chato, hakutaliletea hasara kibiashara Shirika hilo?

Kutoka Geita mpaka chato kuna miji midogo midogo inazidi ukubwa Chato. Kwa kweli kule wamebugi. Walishindwa nini kuweka Geita mjini?
Hata wangejenga Katoro ili watu wa migodi wa Bulyanhulu watumie.
Kuliko kujenga CHATO Tena kijijini,ililazimishwa kupewa wilaya.
 
Wananchi wanakwenda kwenye utalii wa ndani Burigi National Pack kupumzika na familiazao!! kaeni kimya CCM ifanye kazi.
 
Huwa natamani baadhi ya wachangiaji kabla ya kuchangia wawe wanataarifa za ziada kuhusu hicho wanachochangia!!

1. je uwanja ni kwa ajili ya kuhudumia kijiji cha CHATO?

2. kuna umbali gani kutoka kijiji cha Chato mpaka uwanja/mbuga ilipo ? (Iliyopewa jina chato)

3. kuna umbali gani wa uwanja ulipo (kwa kilomita) kutoka kiwanja kingine?
NB: pata umbali wa viwanja vya ndege vya KIA na ARUSHA wakati unajibu hili

4. Je maeneo gani mengine yanayohudumiwa na kiwanja husika?
 
1.Kwa Jiografia,uwanja uko kijijini na miji mikubwa kama Geita,Kakola iko mbali!Chato geita kwa barabara unapiga zaidi ya Km 150!
2.Hivi unaendaje kutembelea Mbuga ambayo ndio kwanza wanyama bado wanahamishiwa ili wakazaliane?Unaweza kweli kwenda kushangaa pori?Tuwe serious!
3.Arusha na Kilimanjaro ni miji mikubwa,ni tofauti na Mwanza na Chato!Kiwanja kingejengwa Geita,Kahama kama mbadala wa Mwanza ingeeleweka!
4.Maeneo mengine ndio hivyo labda Kakola ambako nako ni mbali kutoka Chato!

Kiufupi hiyo Route haina faida kiuchumi kwa mazingira ya sasa,labda miaka 20 ijayo!Tena JPM akistaafu na kiwanja ndio kitaota nyasi kabisaa kama cha Sumbawanga kwa Pinda!
 
This clearly shows how a dictatorship can destroy a nation, Magufuli was surely a liability to this country.

He unilaterally invented several white elephant 🐘 projects that are now impoverishing the already disillusioned people of this country.

The national carrier he purportedly revived is now one of the major hallway for draining the national coffers. How can you fly a passenger aircraft to the place where most of the people are mere hustlers who rarely travel even by road?

This can only happen in a country where the decision making apparatus are controlled by only one person using them at his comfort synonymous with the absolute power the late Magufuli was wielding with relish in this country.

Now the report by CAG recently said the national carrier had incurred the loss of Tsh. 60 billion notably for the one year alone and I confidently believe this loss has been caused partly by such commercially unviable routes like the one to Chato in Geita Region.

If the newly sworn in president will not step up effort to scrap these money gurgling projects then the chances are she will be nothing but a lone ranger like her predecessor. Only time will perfect what I say.
 
Back
Top Bottom